
Kuna mshkaji wangu wa Mkuzi sasa ni marehemu utakuwa unamjua.. Tulienda miaka hiyo Tang ren restaurant pale Moroko kulikuwa na sherehe ya wavimba machoNyoka! Over my dead body 😮💨
Mkuu nimewahi ishi ASIA, nimekula sana nyoka, kobe, chura (sio wale wa jangwani😃)? Mijusi ile mikubwa yenye rangi. Trust me, uoga wetu ni mapokeo tu ya jamiiNani atakuamini mkuu
Daaaah siyo uoga tu bali hata body reaction baada ya kula hayo matakataka kama siyo kutapika wiki nzimaMkuu nimewahi ishi ASIA, nimekula sana nyoka, kobe, chura (sio wale wa jangwani😃)? Mijusi ile mikubwa yenye rangi. Trust me, uoga wetu ni mapokeo tu ya jamii
Nilikuwa na mtazamo huo kabla sijaonja.Daaaah siyo uoga tu bali hata body reaction baada ya kula hayo matakataka kama siyo kutapika wiki nzima
Unaijua ile gereji ya wachina pale tazara?Tz hii hii au tanzania nyingne
Ni kama vile unaamua kula nyama ya kuku ukaacha bata.Hivi ni kukosa vitoweo vingine vya kula ama hao nyoka wana upekee katika ladha na faida zingine...
Naamu 🥰🥰🥰.
Kwa hio nyoka ni watamu sana..Ni kama vile unaamua kula nyama ya kuku ukaacha bata.
Ladha ya kibabe sana.
Nilitaka kukukumbusha hili.Inasemekana watanzania waliozaliwa miaka ya 80 hadi 1999 hivi walikula sana nyama za nyoka zilikuwaga tamu huku kwetu tulikuwa tunaziita nyama za kwenye makopo
Ndio mkuuKwa hio nyoka ni watamu sana..