Sema inatamanisha😋
Sema inatamanisha😋
naijua ndugu yangu lakin cjawai iingia ndan kujua kuna machatu yanapikwaUnaijua ile gereji ya wachina pale tazara?
hako kakishundu au😂😂😂... Ah au basi..🤣🙌🏿View attachment 3652060
😀😀😀Sanaaa😋😋😋🤣
Naambiwa tumewala sana kwa jina la samaki wa vipandeNyoka! Over my dead body 😮💨
Mimi.Nani atakuamini mkuu
Sio lazima akung'ate. Ukiwa na jeraha, mikwaruzo au hali yoyote itakayoruhusu sumu yake ikutane na damu yako basi wewe ndo ivo tena imekula kwako.Kuna tofauti mkubwa kati ya venom na poison venom inakudhuru ikiingia kwenye damu, ila poison inakudhuru kwa kuila, nyokhana poison ana venom ni mpaka akung'ate ndio utaona madhara
Nikweli kabisa au akibanikwa vizuri ni mtamu kama samaki maarufu kama mbelele wanaopatikana mto Ruhuhu.Mchemsho wake huchomoi na kama hujaambiwa hutajua au mshkaki wake
Ndiyo- akiandaliwa vizuri utaipenda.Kwa hio nyoka ni watamu sana..
Labda kujitapisha makusudi.Daaaah siyo uoga tu bali hata body reaction baada ya kula hayo matakataka kama siyo kutapika wiki nzima
Ni karembo kweliSamaki nyoka.. Huyu hata last week nilimlaView attachment 3652045
Kama vile Tambi au utumbo almaarufu kama "Turbo".
Halafu uitafune kavu ivo bila mchuzi na ugali wa mhogo.Sema inatamanisha😋