Pingu ya Muro

Nimeshaandika.

Ziko hapa nyingi tu zinauzwa.

http://everythingelse.shop.ebay.com...dcuffs&_catref=1&_fln=1&_trksid=p3286.c0.m283

Ebay wanatoa na risiti na ushahidi kuwa uliagiza EBAY upo.

Hivi KOVA nguo na viatu vya kiraia alivyonavyo ana Risiti? Mie sina risiti ya vitu vingi tu. Hivi PINGU ni silaha?

ndo maana nimemwambia cousin wangu akuulize coz i knw u knw that i know u knw!!!!!!!!!

B agiza online sasa of your choice tena nyingine zina manyoya ya sufi......

mkuu suala zima la kudai risiti kwa wabongo ni tatizo!!! mtu hata ukimpa risiti anakwambia aah mi sihitaji kaa nayo mwenyewe

(ila si kwa issue kama ya kununua silaha i hope)
 
Raia ya kawaida siku hizi ruksa kumiliki pingu ukimata kibaka unampiga pingu mpaka sentro

Fide wats wrong with your key board lakini??????????? unanipa kazi bana mi nimechoka!!!!!!
 
Pingu ile ya mapenzi
wala si ya ujambazi
polisi Muro hamumwezi
yupo juu kama mkwezi

Polisi lazima mtaumbuka
kwa kushindwa mashtaka
miguu juu mtaanguka
kama mende anavyokauka

Jerry wewe ni shupavu
na wala si mpumbavu
Polisi hawana ubavu
watakuzidishia mashavu

Na wakimaliza kesi yao
Kawafungulie na wao
Uwadai mamilioni yao
Na kudhalilisha jeshi lao

Kamanda punguza sifa
kwa kushabikia yasiyofaa
utakuja kuumbuka
Siku Muro atakapotoka

Pingu ile ya mapenzi
Mwanakijiji ayaenzi
polisi fanya chunguzi
utakuja kumaizi

To be continued....
mbongo tz umenena na utenzi wako umetulia,na yale uloyasema hakika yatatokea,ada ya mja hunena muungwana ni vitendo
 
Kawaida Polisi wakikukamata na kosa hili na kuikuta kosa lingine basi ujue utawajibika kwa yote.mbona mtu akipekuliwa mfano labda nyumbani kwake wakiisi kitu wakikuta bangi na wakikuta Gongo pia wakikuta Bastola hayo yote ni makosa tofauti walikuja kusaka bangi wakakuta na makosa mengine yoote unashtakiwa nayo. hiyo ndio Sheria ya Nchi ilivyokaa nyie si mnapiga kura tuu sheria hamuijui sasa ndo hiyo na yeye kosa lililompeleka ni Rushwa na amekutwa na kosa la kukutwa na pingu sasa yote atapelekwa mahakamani. kwani si sheria kuwa na pingu bila kibali. Nawashauri msinunue pingu bila kuwa na kibali. mimi nimetoka keko kulivyoo du usiombe upelekwe asante.


Nipeleke kwenye Sheria inayosema ni kosa kwa mtu asiyekuwa Polisi kumiliki pingu,
 
ndo maana nimemwambia cousin wangu akuulize coz i knw u knw that i know u knw!!!!!!!!!

B agiza online sasa of your choice tena nyingine zina manyoya ya sufi......

mkuu suala zima la kudai risiti kwa wabongo ni tatizo!!! mtu hata ukimpa risiti anakwambia aah mi sihitaji kaa nayo mwenyewe

(ila si kwa issue kama ya kununua silaha i hope)

Wahi mapema maana Valentine day is around the corner.

Nyumba ndogo za MAPOLISI zinunuliwe hizi zawadi.

20071311633155.JPG


bed_handcuffs.jpg
 
mbona mwingine yuko nje ya mabano? isije ikawa mambo ya MAGAZIJUTO!


Au kwa kimombo BODMAS!!!!
Tuacheni utani. Issue ya JM ni ya kuchonga!! Tusubiri game litinge mahakamani!! Na mashahidi nao watakuwa wa kuchonga!! Na wale watu wawili wanaounganishwa na kesi hii si wa kununua kweli?? Tusikie habari yake hapo baadaye!! Halafu dhamana hawapati maane eti ni matapeli sugu!!! Yaani JM anajihusisha na matapeli sugu!!!?? Tangu lini???!!! Tanzania inaharibiwa na viongozi wasio waadilifu!!!
 
Kakutwa mtu na pingu
Sasa yazua majungu
Imeleta kiwingu
Polisi waja na rungu
Kumbe pingu ya mapenzi!!-Polisi wamechemsha!

Akisharudi nyumbani
Muro na wake mwandani
Wakijifunga chumbani
Uwanja wa kitandani
Kumbe pingu ya mapenzi! - Polisi wamechemsha!

Afungwa mtu mkononi
Upande mwingine kichagani
Sisemi chafuata nini
Ni mambo ya mtimani
Kumbe pingu ya mapenzi- Polisi Wamechemsha

Swali: Ni kosa kukutwa na pingu ya mapenzi kwenye gari?



wewe mkuu naona umechanganyikiwa yaani sina mbavu!

ila ulichosema ni kweli kabisa hakina ubishi.
 
Haki ya nani Mwanakijiji sikuwezi...nilikuwa nashangaa Pingu ya Muro yafata nini Jukwaa la Mapenzi.Unazidi kunimaliza baba wewe aa natania babu wewe..
 
Malenga wa bara,
huu sasa uwanja wenu.
Inafurahisha pale thread hii,
inapochangiwa kishairi,
kama muanzilishi alivyo anza.
Si lazima kuweka vina kitaalamu.
 
Akisharudi nyumbani
Muro na wake mwandani
Wakijifunga chumbani
Uwanja wa kitandani
Kumbe pingu ya mapenzi! - Polisi wamechemsha!


Hiyo pingu ya mapenzi,
Walahi yanishangaza,
Wake anaye muenzi,
amfunge kwa kukaza?
Kioja pingu ya penzi.

Mwanakijiji nijuze,
Mila hii ni ya wapi?
Kwa pingu mwili ukaze,
utazihitaji ngapi?
Kioja pingu ya penzi.

Uanze kufunga miguu,
Kisha wende mikononi?
Halafu domo la juu,
hayo yote kulikoni?
Kioja pingu ya penzi.
 
pingu anafungwa bwana
Chali alazwa kijana
Wawili walopendana
Wapeana kiaiana
Bila ya kuzuiana
Pingu uhuru kwa sana!
 
Pingu kwangu inanisaidia sana nikilala na kimada nisicho kiamini amini kinaweza niibia usiku tunakubaliana tu nakipiga pingu tu kitandani kikitaka kwenda kujisaidia kinaniambia tu nataka kwenda haja. Hii ni kulinda masrahi.

yani imekaa vzuri kama hiyo ndo moja ya kazi ya pingu basi nakwenda kununua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom