Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,981
- 1,013
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini.
Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani Ruvuma.
Pinda '' ni kama vile tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ya petrol, ambayo imetupa fedha nyingi katika mfuko wa barabara, za kuunganisha miji na mikoa''.
Aliongeza '' Nani asiyetaka vijiji vipate umeme kama miji, ili usaidie kuondoa giza, uendeshe viwanda vidogo vidogo na usaidie kukuza uchumi? Wanaopinga tozo hii, hawatutakii mema'' alisema Pinda.
source: Habari leo
mkuu molemo, mi nadhani tuachane na huo uenyekiti wa uvinza. tujipange kwa uchaguzi ujao ili tuje iongoza hiyo council sisi kama sisi. hayo mafungamano na huyo aliepewa viti maalum na jk siyaafiki kabisa mkuu.