Pinda: Wanaopinga kodi ya simu hawana jema

Pinda: Wanaopinga kodi ya simu hawana jema

Huyu mzee siku zote yeye ni panya wa kutumwa kumfunga paka kengele na ikitokea paka akistuka panya wenzake wanakurupuka na kutokomea mbali ilihali yeye anabaki kugaragazwa na paka na kubaki kulia lia!!! wenzake wanapima kwanza nguvu ya upepo ndio waongee yeye ameshakurupuka kutolea utetezi wa kipuuzi kabisa hii kodi ya kishenzi kwanza naomba niite kampeni ya ukusanyaji pesa haramu na sio kodi!!!!! Kuna kamdudu kanaitwa REA na watanzania tunakatwa pesa nyingi sana kupitia huduma ya Mafuta, umeme na maji kuchangia huu mfuko wa wizi wa ccm lakini naona bado hizo hazijatosha na sasa wameamua kutafuta ulaji zaidi kwa kutumia mgongo wa umeme vijijini na kuamua kutuibia fedha zetu kwa kutoza sh. 1000 za line za simu!!!!! shame on you useless government/ccm Tusubiri aibu ya mwaka kwa huyu waziri mkuu pale ambapo wenzake wataamua kuachana na hii njama baada ya kusoma ukali wa upendo na kumuacha Pinda macho yamemtoka na aibu zake usoni!!!! Mzee Pinda huna washauri wa kukuelekeza vitu vya kusema/kufanya kwa wakati gani kwenye jamii??!!! aibu sana ninyi washauri wa huyu mzee!!
 
Nasikia siku hizi jamaa ni mkuu wa nchi kanda maalumu ya kusini akiwa anashughulikia mitafaruku yote ya gesi na kusimamia upigwaji wa wananchi. Lini ulimwona bosi wake anakwenda huko kushughulikia vurugu za gesi? Yeye baada ya kuahidi kuwa kiwanda kitajengwa kule na kila kitu kitakuwa huko baada ya kuwageuka alipoona wananchi wanadai ahadi zake kawatumia polisi na wanajeshi huku M---vu akiwa ni incharge wa kushughulika na wenye kuwekeza kwenye gesi akizindua na kupokea vifaa huku wananchi wasiokuwa na hatia wakiambulia vichapo na vifo. "Wapigeni maana tumechoka!"
 
4467301_orig.png
 
Hii serikali kila mtu anasema lake. Waziri Mkuu anasema hivi, Rais anasema vile.
 
Hivi kweli, do people really take Pinda's comments seriously? Sijawahi kuona mtu asiye na mwamko kama huyu kijana, yeye siku zote kazi kuropoka tu na kuwa kicheko kwa watu.
 
Hivi kweli, do people really take Pinda's comments seriously? Sijawahi kuona mtu asiye na mwamko kama huyu kijana, yeye siku zote kazi kuropoka tu na kuwa kicheko kwa watu.

Pinda bado kijana?

Hivi ile issue ya Jairo imeishia wapi?
 
mkuu wewe sasa umeongea vizuri sana.Hii tatizo litaisha lini.unajua leo hii nimeongea na ndugu yangu mmoja yupo kilosa.anasema kuwa ameshindwa kwenda kuleta mazao kutoka shambani kwani kuna road block kama mbili ,kwa hiyo anaitaji nimemsaidie pesa za ushuru kama elfu 50 ili aweze kuleta mazo nyumbani.Yaani hiyo ni kodi.Jamani huyu mkulima anapeleka mazao nyumbani kwa ajili chakula analipishwa kodi.kwa kweli nimesikitika sana ,na huku vigogo na wafanya biashara wakubwa wanasamehewa kodi huko kwenye bandari mamilioni ya pesa.Hiyo mbiu yao kilimo kwanza ndio hii hapa ya kuwatesa wanakijiji?.
 
wnao toa msamaha ya kodi kwenye migodi na kwa wawekezaji anatutakia mema sisi wananchi
 
Watanzania kuweni macho!! Kodi za laini za simu ni janja ya CCM kuwakamua wananchi ili wapate pesa za kampeni mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom