Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

Kwa taarifa yako hicho chombo cha kijasusi mara nyingi sana chochote kilichomo katika records zake hakina accuracy yoyote. Wao huokota okota facts kutoka kwa yeyote yule hata kama mtu huyo au watu hao hawana credibility yoyote na kuzitumia bila wao kufanya H/W yoyote ili kuthibitisha accuracy ya hizo facts walizopewa. Wakikosa watu wakuwapa facts wanazozitaka basi hata huingia mtandaoni na chochote wanachopata mtandaoni hukichukua na kukifanya ni sehemu ya records zao.

Kwa hiyo hilo la kuonyesha kwamba life expectancy ya Watanzania ni uongo mkubwa. Life expectancy huongezeka pale viwango cha maisha (standard of living) vya wananchi katika nchi husika vinapoongezeka. Viwango hivyo vya maisha huongezeka kwa kupanda kwa uchumi, kuongezeka kwa vipato vya wananchi wa nchi husika, upatikanaji wa huduma muhimu zikiwemo maji safi, elimu bora, ajira zenye mishahara na marupurupu inayokidhi gharama za maisha, matibabu ikiwemo kuwa na madaktari wa kutosha, vifaa vya kileo katika mahospitali nchini, upatikanaji wa madawa ya ukweli na si dawa fake. Hivyo vyote vikiwepo ndivyo vinavyochangia kuongezeka kwa LE. Nchini kwetu vyote hivyo havipo labda kama unatumia numbers za kupikwa na hii Serikali dhalimu (Tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele, ukweli ni kwamba wanasonga mbele kuzimu)

Asilimia kubwa ya Watanzania wanaishi vijijini. Kule wakulima wanakopwa mazao yao ya msimu huu kulipwa msimu ujao tena kwa bei ya kulaliwa. Hivyo wengi wao maisha yao ni ya dhiki kubwa sana. Wajawazito hawapati chakula bora wakati wa ujauzito hivyo kujifungua watoto wenye afya duni maziwa ya mama nayo kwa kukosa milo ya uhakika yanakuwa hayana ubora unaotakiwa hivyo watoto kuwa na afya duni, maji ya shida na mazingira machafu huchangia magonjwa mbali mbali kwa watoto hao, ukosefu wa madaktari na madawa ya uhakika huchangia vifo vya watoto kuwa vingi hata kabla ya kufikisha umri wa miaka mitano.

Hicho chombo cha ujasusi huchukua kila aina ya pumba hata kama hazina ukweli wowote. Kwa mfano Mandela walimuona ni gaidi wakati nchi nyingi duniani walimuona ni mpigania haki kwa Wananchi wa nchi yake toka kwa utawala dhalimu wa makaburu. Mandela pamoja na kutolewa jela tangu mwaka 1990 hiyo taasisi ya ujasusi ambayo umeitumia kama source yako iliendelea kuweka jina lake katika kundi la magaidi duniani mpaka mwaka 2008 ndiyo jina la Mandela kama gaidi liliondolewa rasmi. Katika Afrika miaka ya utawala wa Mwalimu wenyewe walidai Marekani katika Afrika hawana rafiki mkubwa kama Mobutu, wote tunajua jinsi Mobutu alivyoifilisi Zaire na kuficha utajiri wake katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo kununua majumba ya kifahari.

Ushahidi ambao haukuwa na ukweli wowote wa hiyo taasisi ya ujasusi wa Marekani walioupata kwa njia mbali mbali ikiwemo toka kwa taahira mmoja ndio ulitumika katika kuidanganya dunia kwamba Rais wa Iraq ana silaha za maangamizi zenye athari kubwa sana na wanajua kazificha wapi na hivyo ushahidi wao fake wakautumia kuivamia Iraq. Hicho hicho chombo cha majasusi kikadai kwamba vita ile ingeigharimu Marekani $30 million tu kitu ambacho hakikuwa na ukweli kwani vita ile iligharimu zaidi ya $1.4 Trilion. Hivyo utaona jinsi takwimu zao pamoja na facts zao zilivyojaa uongo wa hali ya juu.

Hata hao UNICEF data zao ni za kupikwa kwa kushirikiana na hii Serikali dhalimu, wakiandika kitu cha ukweli Serikali dhalimu itawajia juu kwa "kuingilia mambo ya ndani ya Serikali ya Tanzania" kama ambavyo Membe alivyowahi kuziambia balozi za nchi za magharibi zilipotoa kauli kuhusu udhaifu wa Serikali kwenye kupambana na ufisadi na rushwa vyote vimekithiri nchini. Ukiwauliza UNICEF data za kuonyesha LE ya Watanzania imepanda hadi kufikia miaka 60 wamezitoa wapi watang'aa macho kwa sababu hawajawahi kufanya tathmini hiyo nchini.

Uwe unafanya H/W yako ili kuweka data ambazo ziko accurate badala ya kuchukua mizoo ya mtandaoni ambayo imejaa pumba tupu. Ukiwauliza hao CIA wamepata wapi data zinazoonyesha kwamba LE ya Tanzania ni above 60 years wataanza kung'aa macho.

Tanzania total population: 60.76 years
male: 59.48 years
female: 62.09 years
Source: https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/fields/2102.html

Sasa nenda kawaulize CIA wametumia vigezo vipi.

Punguani kweli wewe, hivi hujuwi kuwa vifo vingi vilikuwa vya watoto chini ya miaka 5? na tumepiga hatua kubwa sana, jiburudishe:

Tanzania's Progress in Maternal and Child Health
Tanzania has made considerable progress in the reduction of child mortality. Under-five mortality rates continue to drop –from 112 deaths per 1,000 live births in 2005 to 81 in 2010. The deaths of infants under one year old also decreased from 68 to 51 per 1,000 live births over the same period.

The continuing decline can be attributed to Government commitments to increase use of key health interventions, such as sustained high coverage of routine under- five immunization, vitamin A supplementation, the use of insecticide treated bednets and better drugs to treat malaria.

Source: http://www.unicef.org/tanzania/Fact_sheet_for_maternal_and_child_health_2012.pdf

Haya kijana, njoo na lingine, mimi nipo hapa, lakini tafadhali usiparaganye mambo kama kawaida yako, njoo tuchambuwe kimoja kimoja.

Mimi nimekuwekea ushahidi kwa yangu, na wewe weka ushahidi kwa yako uzi refute data kwa ushahidi si kwa porojo.

Jaribu bahati yako.
 
Dr asharose migiro nahisi km atakuwa waziri mkuu ngoja tuone
 
Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.

Napenda kutoa dukuduku langu kwa wachangiaji
  1. Mnchangia kufuata ueneo (mfano huyu katoka kwetu basi unamwelezea kama kweli huku ukijua hupati chochote)
  2. Mnachangia kufuata dini (huku mkijua ndio wauza unga , pombe,mafisadi, wabakaji dini iko wapi?)
  3. Mnachangia kufuata Chama (uku mkijua kuwa kazi iliyopo kwenye chama kila mtu anatetea tumbo lake)

Ombi langu tuwe wakweli kuhusu nchi yetu ni nani asiyejua ukiwa kiongozi mkuu na unasimamia shughuli zako kwa kufuata utaratibu uliowekwa basi kila mfanyakazi chini yako anakuchukia na kukuona wewe sio mtu mzuri utasikia anabana sana. Tubadilike kwanza sisi kabla pinda hajafanya uamuzi wa kujiuzuru
KAZI NJEMA MHESHIMIWA PINDA NAOMBA USJIUZURU (Kila mtu abadilike kwanza yeye katika fikra zake)
 
Kwa taarifa yako hicho chombo cha kijasusi mara nyingi sana chochote kilichomo katika records zake hakina accuracy yoyote. Wao huokota okota facts kutoka kwa yeyote yule hata kama mtu huyo au watu hao hawana credibility yoyote na kuzitumia bila wao kufanya H/W yoyote ili kuthibitisha accuracy ya hizo facts walizopewa. Wakikosa watu wakuwapa facts wanazozitaka basi hata huingia mtandaoni na chochote wanachopata mtandaoni hukichukua na kukifanya ni sehemu ya records zao.

Kwa hiyo hilo la kuonyesha kwamba life expectancy ya Watanzania ni uongo mkubwa. Life expectancy huongezeka pale viwango cha maisha (standard of living) vya wananchi katika nchi husika vinapoongezeka. Viwango hivyo vya maisha huongezeka kwa kupanda kwa uchumi, kuongezeka kwa vipato vya wananchi wa nchi husika, upatikanaji wa huduma muhimu zikiwemo maji safi, elimu bora, ajira zenye mishahara na marupurupu inayokidhi gharama za maisha, matibabu ikiwemo kuwa na madaktari wa kutosha, vifaa vya kileo katika mahospitali nchini, upatikanaji wa madawa ya ukweli na si dawa fake. Hivyo vyote vikiwepo ndivyo vinavyochangia kuongezeka kwa LE. Nchini kwetu vyote hivyo havipo labda kama unatumia numbers za kupikwa na hii Serikali dhalimu (Tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele, ukweli ni kwamba wanasonga mbele kuzimu)

Asilimia kubwa ya Watanzania wanaishi vijijini. Kule wakulima wanakopwa mazao yao ya msimu huu kulipwa msimu ujao tena kwa bei ya kulaliwa. Hivyo wengi wao maisha yao ni ya dhiki kubwa sana. Wajawazito hawapati chakula bora wakati wa ujauzito hivyo kujifungua watoto wenye afya duni maziwa ya mama nayo kwa kukosa milo ya uhakika yanakuwa hayana ubora unaotakiwa hivyo watoto kuwa na afya duni, maji ya shida na mazingira machafu huchangia magonjwa mbali mbali kwa watoto hao, ukosefu wa madaktari na madawa ya uhakika huchangia vifo vya watoto kuwa vingi hata kabla ya kufikisha umri wa miaka mitano.

Hicho chombo cha ujasusi huchukua kila aina ya pumba hata kama hazina ukweli wowote. Kwa mfano Mandela walimuona ni gaidi wakati nchi nyingi duniani walimuona ni mpigania haki kwa Wananchi wa nchi yake toka kwa utawala dhalimu wa makaburu. Mandela pamoja na kutolewa jela tangu mwaka 1990 hiyo taasisi ya ujasusi ambayo umeitumia kama source yako iliendelea kuweka jina lake katika kundi la magaidi duniani mpaka mwaka 2008 ndiyo jina la Mandela kama gaidi liliondolewa rasmi. Katika Afrika miaka ya utawala wa Mwalimu wenyewe walidai Marekani katika Afrika hawana rafiki mkubwa kama Mobutu, wote tunajua jinsi Mobutu alivyoifilisi Zaire na kuficha utajiri wake katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo kununua majumba ya kifahari.

Ushahidi ambao haukuwa na ukweli wowote wa hiyo taasisi ya ujasusi wa Marekani walioupata kwa njia mbali mbali ikiwemo toka kwa taahira mmoja ndio ulitumika katika kuidanganya dunia kwamba Rais wa Iraq ana silaha za maangamizi zenye athari kubwa sana na wanajua kazificha wapi na hivyo ushahidi wao fake wakautumia kuivamia Iraq. Hicho hicho chombo cha majasusi kikadai kwamba vita ile ingeigharimu Marekani $30 million tu kitu ambacho hakikuwa na ukweli kwani vita ile iligharimu zaidi ya $1.4 Trilion. Hivyo utaona jinsi takwimu zao pamoja na facts zao zilivyojaa uongo wa hali ya juu.

Uwe unafanya H/W yako ili kuweka data ambazo ziko accurate badala ya kuchukua mizoo ya mtandaoni ambayo imejaa pumba tupu. Ukiwauliza hao CIA wamepata wapi data zinazoonyesha kwamba LE ya Tanzania ni above 60 years wataanza kung'aa macho.

Umekuja na blah blah blah bila ushahidi, tuoneshe kuwa uchumi umeshuka. Tuoneshe kuwa maisha ya Mtanzania leo hii yameshuka kutoka yalivyokuwa miaka minane tu.

Mimi nimekuonesha kwa ushahidi wa takwimu za uchumi ulivyo kua na unavyo kua.

Wewe wacha porojo, lete ushahidi wako. kama hauna kaa kimya. Sema unataka ushahidi wa nani zaidi ya wa CIA ili uamini hizo takwimu mimi ntakuletea.
 
Pamoja na kwamba Muhongo ni ndugu yangu but hafai kuwa PM.....atauza kilichobaki kwa hao wanye pesa zaidi ya kuuzia juisi
 
Hii nafasi inamfaa Prof. J.Kapuya ili aanze mazoezi mapema maana nasikia awamu ijayo zamu yake kua headboi wa mjengoni kuongoza baraza.
 
Muhongo akiwa PM mnipeleke kwa mkopo hata Somalia kwa mkopo kwenye dirisha dogo la usajili.
 
Prof Muhongo ni bonge la muongo duniani! Jamaa hana akili timamu yule, ni kama punguani tu. Ukiachilia huo ukweli kwamba jamaa hana jimbo, baadhi ya vioja vingine alivyowahi kutoa kwa kipindi kifupi cha mwaka mmoja tangu awe waziri ni pamoja na vifuatavyo:

1. Miezi miwili tu tangu ateuliwe, Bunge lilimtia hatiani kwa kuropoka, kupotosha, kuwazushia uwongo baadhi ya wabunge. Ilibidi Serikali ifanye kazi ya ziada kumuokoa huyu chizi pale bungeni kwa kulainisha taarifa ya ile Kamati teule ya Bunge.

2. Yeye na Maswi walipiga deal ya kununua mafuta PUMA kinyume na sheria. Ishu hiyo ilimfanya PM Pinda akiri mbele ya caucus ya wabunge wa CCM pale dom, ila akawaombea msamaha kwani ingekuwa aibu sana kumfukuza kazi just 2 months tangu wamchakachue Ngeleja, ambaye alipigwa zengwe tu la kisiasa!

3. Jamaa ni muumini wa wawekezaji wa nje balaa, haheshimu na kuthamin hata kidogo wawekezaji wa ndani, ndo maana amekuwa akiwabeza sana kwenye ishu za gesi na mafuta

4. Amekuwa anawakashifu viongozi wa dini
5. Jamaa aliishawahi kuudanganya umma kwamba mgawo wa umeme ulikuwa unatengenezwa mezani na kwamba tangu aingie kusingetokea mgawo tena, sasa ameumbuka mno!
6. Jamaa alishawahi kudanganya kwamba Tanesco walikuwa wanaagiza nguzo nje ya nchi kihujuma, lakini sasa amebaini kwamba Tanesco walikuwa sahihi na ndo maana hata sasa wanaagiza toka nje ya nchi
7. Jamaa hajafanya lolote la maana tangu aingie wizarani zaidi ya propaganda tu, yote anayotekeleza yalianzishwa na Ngeleja
8. Alipoingia tu aliwaamnisha watu kwa uwongo kwamba Tanesco haitapandisha bei lakini sasa yeye na simbachawene wanasema umeme shurti upande
 
....Na mafisadi wa kutupa!!!

waziri wa ccm wote wahuni hakuna mwenye afadhali kama raisi ni dhaifu je waliopo chini watakuwaje pinda mwenyewe amepinda kama jina lake ...
 
Ajuza unaleta ubishi wa kipumbavu. Bunge la CCM miaka miwili iliyopita lilimshinikiza DHAIFU afukuze kazi mawaziri na sasa hivi tena kuna shinikizo lingine sasa kama utendaji wa kisayansi kwanini DHAIFU ashinikizwe!? Elimu MULUGO, umeme wa kusuasua, ajira hakuna, huduma muhimu kama maji na matibabu hovyo na hospitali hazina vifaa na madawa lakini bado yote haya huyaamini Ajuza wewe na kushikilia kutaka kuandika uongo wako. Uongo wako peleka huko huko kwa MACCM wenzio hapa si mahala pake tutauanika hadharani.

Umekuja na blah blah blah bila ushahidi, tuoneshe kuwa uchumi umeshuka. Tuoneshe kuwa maisha ya Mtanzania leo hii yameshuka kutoka yalivyokuwa miaka minane tu.

Mimi nimekuonesha kwa ushahidi wa takwimu za uchumi ulivyo kua na unavyo kua.

Wewe wacha porojo, lete ushahidi wako. kama hauna kaa kimya. Sema unataka ushahidi wa nani zaidi ya wa CIA ili uamini hizo takwimu mimi ntakuletea.
 
Ajuza unaleta ubishi wa kipumbavu. Bunge la CCM miaka miwili iliyopita lilimshinikiza DHAIFU afukuze kazi mawaziri na sasa hivi tena kuna shinikizo lingine sasa kama utendaji wa kisayansi kwanini DHAIFU ashinikizwe!? Elimu MULUGO, umeme wa kusuasua, ajira hakuna, huduma muhimu kama maji na matibabu hovyo na hospitali hazina vifaa na madawa lakini bado yote haya huyaamini Ajuza wewe na kushikilia kutaka kuandika uongo wako. Uongo wako peleka huko huko kwa MACCM wenzio hapa si mahala pake tutauanika hadharani.

Naona umeshindwa kuja na ushahidi na takwimu zinazoonesha kuwa uchumi wa Tanzania umeshuka kama ulivyodanganya kwanza.

Sasa umekuja na viroja unavyojidai vya miaka miwili iliyopita.

Huo wako ndio ubishi wa kiakili? Huoni kuwa unajidhihirisha upumbavu wako?

Leta ushahidi wa uchumi kushuka kama ulivyodanganya. Mimi nimekuwekea ushahidi huko juu wa uchumi kupanda. Kama umeshindwa kuja na ushahidi kubali kuwa wewe ni muongo na --------.
 
Umeamua kujitia upofu kuona hali halisi ya mambo nimekuwekea ushahidi wa kutosha na kuonyesha hao majasusi walivyo na data ambazo ni uongo mtupu lakini bado unaruka huku na kule kutaka kuonyesha ulichoandika wewe ndiyo kiko accurate. Hata akishuka mungu kukupa ukweli bado utaukataa ili kutetea MACCM. Hahahaha mie na weye kamwe siwezi kuwa -------- kwako weye Ajuza unaokotezaokoteza mtandaoni na kudai huo ndio ukweli ukiulizwa DHAIFU kafanya lipi katika miaka minane kilichosababisha LE ya Watanzania ipande hivyo unang'aa macho.

Eti maana ya ajuza ni nini?
 
Umekuja na blah blah blah bila ushahidi, tuoneshe kuwa uchumi umeshuka. Tuoneshe kuwa maisha ya Mtanzania leo hii yameshuka kutoka yalivyokuwa miaka minane tu.

Mimi nimekuonesha kwa ushahidi wa takwimu za uchumi ulivyo kua na unavyo kua.

Wewe wacha porojo, lete ushahidi wako. kama hauna kaa kimya. Sema unataka ushahidi wa nani zaidi ya wa CIA ili uamini hizo takwimu mimi ntakuletea.

Siku hizi CIA si mabeberu tena?
 
Umeamua kujitia upofu kuona hali halisi ya mambo nimekuwekea ushahidi wa kutosha na kuonyesha hao majasusi walivyo na data ambazo ni uongo mtupu lakini bado unaruka huku na kule kutaka kuonyesha ulichoandika wewe ndiyo kiko accurate. Hata akishuka mungu kukupa ukweli bado utaukataa ili kutetea MACCM. Hahahaha mie na weye kamwe siwezi kuwa -------- kwako weye Ajuza unaokotezaokoteza mtandaoni na kudai huo ndio ukweli ukiulizwa DHAIFU kafanya lipi katika miaka minane kilichosababisha LE ya Watanzania ipande hivyo unang'aa macho.

Bado unaleta porojo. Mambo siku hizi ni "facts and figures". Porojo peleka Kinondoni.

Hujaweka figure wala fact hata moja na kui-back na source yoyote ile zaidi ya kubwabwaja tu. Unazidi kuuonesha umma jinsi ulivyo punguani.
 
Huna jipya wewe unaleta ubishi wa kipumbavu ambao hauna kichwa wala miguu.
Fact: Kikwete kapewa jina la msanii na dhaifu kwa utendaji mbovu
Fact: Kikwete kashinikizwa mara mbili kuhusu kufukuza mawaziri tena na Wabunge wa CCM, sasa kama utendaji wake ni bora wa kuweza kuongeza life expectancy kufikia 62 iweje tena wabunge wa CCM wamshinikize mara mbili katika miaka minane kuhusu utendaji wa baraza lake la mawaziri.
Fact: kabla ya uchaguzi wa 2010 Watanzania wengi walitaka DHAIFU ajiuzulu kwa utendaji wake mbovu hadi ikabidi malecela amtetee kwa kudai, "CCM tuna utaratibu wetu wa kuachiana Rais akae madarakani kwa awamu mbili." Iweje tena kiongozi bora ashinikizwe kuachia ngazi hadi aanze kutetewa kwamba CCM hata kama Rais wa kutoka chama chenu cha wauza unga anavurunda kiasi gani mna utaratibu wenu wa kuachiana mpaka amalize awamu zake mbili!? Huna jipya wewe Ajuza unabwabwaja tu na kutoa povu na huo ushahidi wako bomu wa kutoka kwa hao majasusi. Jifunze kupanga hoja kutetea kile unachoandika na kuja na ushahidi unaoeleweka siyo huo wa kuokoteza mtandaoni. Nenda kamwekee gozigozi maji ya kuoga kabla hujamtayarishia kifungua kinywa.

Hizo ni fact au porojo zako? Soma fact zenye ushahidi, tena kutoka kwa Mwenyekiti wako:

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

Bado nangoja figures za uchumi wa Tanzania kuwa umeshuka kama ulivyodanganya mwanzo, vipi hauna? Kama hauna unazidi kudhihirisha kuwa wewe ni muongo wa kutupwa.

Jiburudishe kwa kusoma zaidi:

Economic Overview: Performance and Outlook
Tanzania's economy has been growing steadily for the past 10 years. In 2012, the economy expanded by 6.9%, which is close to its more recent historical average. Most top business leaders believe that the economy is performing better in 2013 than in 2012 and are positive about the prospects for 2014, as revealed by a recent World Bank/KPMG survey.
The rapid and stable growth of the Tanzania's economy over the past few years, in spite of turbulence in world and regional markets, is explained by three factors. First, five crucial sectors have been expanding rapidly, with these five sectors driving almost 60% of growth in gross domestic product (GDP) since 2008. These sectors include the communications sector, whose contribution to GDP has doubled since 2008. The growth of this sector has transformed how Tanzanians trade and do business by facilitating a revolution in banking. With the rapid spread of mobile banking services, an estimated 45% of Tanzanian adults use their phone to receive and transfer money, with the cumulative value of these transfers reaching an estimated USD 1.4 billion per month. Second, economic growth has been fueled by a steady increase in domestic demand, with this increased demand resulting from the rapid rate of population growth. With its current, constant rate of population growth of 2.7% per year, Tanzania's population is doubling every 25 years. Third, Tanzania's economic performance has been fairly independent from net external trade, which is explained by the country's relative isolation from world markets.
Since early 2012, inflation has declined, dropping to 9.8% in March 2013. Lower food prices and prudent monetary policy have been the main contributors to this welcome development. However, this inflation rate is still double that of Uganda's and Kenya's. Furthermore, local food prices are significantly higher in Tanzania than in a sample of comparable developing countries. This specifically harms Tanzania's poorest citizens, as basic foodstuffs constitute more than half of poor households' consumption baskets.

Source: http://www.worldbank.org/en/country/tanzania/overview

Tunataka "facts and figures" si porojo maji taka. Unatuletea porojo maji taka za wapinzani? unafikiri wapinzani kama hawajapinga kila kitu kazi yao itakuwa nini?
 
Back
Top Bottom