Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

kama Jk amefanya mambo makubwa ya nini kubadili baraza la mawaziri mara ya tano tangu aingie madarakani kwa ushindi wa utata.

na kwenye chama chake ameishabadil secrtaraiti mara ngapi? mambo hayaendi,

na akibadil baraza la mawaziri likashindwa tena kuperforme mtamfanyaje??,

na je? uongozi wa katibu mkuu kinana ukishindwa kuiua CDM kama anavyojigamba, mtaunda secretariti nyingine??,

maana kuna dalili za kushindwa kwa kila mbinu ovu mnayo i plan, kwa kuwasaidia niwaambie kinawafanya mshindwe kuenesha nchi si mawaziri au waziri mkuu ni haya yafuatayo

1. RAISI DHAIFU

2,KATIBA MBOVU ISIYO KIDHI MATAKWA YA NYAKATI

3 RUSHWA AMABAYO IMEWAWEKA MADARAKANI VIONGOZI

4. BIASHARA YA MIHADARATI INAYUMBISHA SERIKALI AMBAYO NDUGU WA KARIBU WA WATAWALA WANAHUSIKA

5. BIASHARA YA MENO YA TEMBO AMBAYO KINANA ANAHUSIKA

6.UKOSEFU WA MAADILI YA UONGOZI, MFANO. KAPUYA, NCHEMBA, NAPE,

7. MITANDAO NDANI YA CHAMA FITNA NA MAJINGU YA CHINI CHINI,

CCM 2015 BYE BYE
Mpaka leo hakuna Rais yeyote wa kabla ya Kikwete abae amefanya hata nusu ya aliyoyafanya Kikwete kwa muda mfupi.

Umeme wakati Kikwete anachukuwa madaraka =10% ya Tanzania nzima. hii ni pamoja na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Mwingereza na Mjerumani, piga hesabu miaka yao yote. Kikwete miaka 8 ameweza kufikisha 21% yaani zaidi ya mara mbili ya wote hao kwa miaka yao yote hiyo. Na ifikapo 2015 itakuwa 30% kwa miradi iliyopo sasa hivi.

Ukimaliza kusoma hayo, niambie nikuletee ya barabara, mashule, vyuo vikuu, afya.
 
Msituni ukafanye nn hiyo nafasi ya muhongo abaki hapohapo hapatakiwi mtu mbabaishaji vinginevyo wale wa dar tatu ya ardhi watanza tena ooo watanzania hawathaminiwa ooo wanapendelea wageni hatutaki hzo nyimbo
 
Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.

watanzania tusiwe wajinga tuwe watu wa kujisomea Muhongo hawezi asilani KWA KATIBA ya sasa, nenda kasome KATIBA
 
[SIZE=1 said:
mliberali;8097200]kama Jk amefanya mambo makubwa ya nini kubadili baraza la mawaziri mara ya tano tangu aingie madarakani kwa ushindi wa utata.

na kwenye chama chake ameishabadil secrtaraiti mara ngapi? mambo hayaendi,

na akibadil baraza la mawaziri likashindwa tena kuperforme mtamfanyaje??,

na je? uongozi wa katibu mkuu kinana ukishindwa kuiua CDM kama anavyojigamba, mtaunda secretariti nyingine??,

maana kuna dalili za kushindwa kwa kila mbinu ovu mnayo i plan, kwa kuwasaidia niwaambie kinawafanya mshindwe kuenesha nchi si mawaziri au waziri mkuu ni haya yafuatayo

1. RAISI DHAIFU

2,KATIBA MBOVU ISIYO KIDHI MATAKWA YA NYAKATI

3 RUSHWA AMABAYO IMEWAWEKA MADARAKANI VIONGOZI

4. BIASHARA YA MIHADARATI INAYUMBISHA SERIKALI AMBAYO NDUGU WA KARIBU WA WATAWALA WANAHUSIKA

5. BIASHARA YA MENO YA TEMBO AMBAYO KINANA ANAHUSIKA

6.UKOSEFU WA MAADILI YA UONGOZI, MFANO. KAPUYA, NCHEMBA, NAPE,

7. MITANDAO NDANI YA CHAMA FITNA NA MAJINGU YA CHINI CHINI,

CCM 2015 BYE BYE[/SIZE]

Hahahaha, soma post uliyoijibu halafu uijibu tena. Naona unaliishi jina lako.
 
unatamani ukweli au unabisha tu kwakuwa ni mfuasi wa headmaster wa janjajanja......huoni watu wanaokufa njaaa?? Au umekulia kwenye appartment na maghorofa ya serikal.....muulize janjajanja yale mahindi anayopewa na mmarekani na kuja kuyagawa bure huwa yanatolewa kwa lengo lip???

Hafi mtu kwa njaa! na maghala ya hifadhi ya chakula yaliyoanzisha na Kikwete yamejaa kuliko wakati wowote ule. msitake kudanganya watu.

Ungekuwa na njaa ungeingia JF saa hizi ukabwabwaja?
 
Mwenye shibe tangu lini akamjua mwenye njaa!? Mgomo wa madaktari uliusikia? Mgomo wa Walimu uliusikia na Serikali ikawatishia kuwafukuza kazi? Malalamiko ya Wafanyakazi kuhusu mishahara isiyokidhi gharama za maisha umeyasikia!? Unaishi Tanzania ya kusadikika unadhani watu wote ni mabilionea kama mafisadi wa Serikali na wauza unga, magaidi na majangili wa rasilimali mbali mbali za Taifa. Eti life expectancy imefikia 62 years!!!! Kipi kilichosababishi hilo ikiwa hali ya Watanzania wengi ni hohe hahe? Na hiyo tathmini ilifanyika lini, ilifanywa na akina nani na walitumia vigezo vipi kuhitimisha kwamba life expectancy katika utawala wa miaka minane wa DHAIFU imefikia miaka 62!? Usiropokeropoke kama huna concrete evidenve ya kuthibitisha kile unachoropoka.

Tanzania total population: 60.76 years
male: 59.48 years
female: 62.09 years
Source: https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/fields/2102.html

Sasa nenda kawaulize CIA wametumia vigezo vipi.

Punguani kweli wewe, hivi hujuwi kuwa vifo vingi vilikuwa vya watoto chini ya miaka 5? na tumepiga hatua kubwa sana, jiburudishe:

Tanzania’s Progress in Maternal and Child Health
Tanzania has made considerable progress in the reduction of child mortality. Under-five mortality rates continue to drop –from 112 deaths per 1,000 live births in 2005 to 81 in 2010. The deaths of infants under one year old also decreased from 68 to 51 per 1,000 live births over the same period.

The continuing decline can be attributed to Government commitments to increase use of key health interventions, such as sustained high coverage of routine under- five immunization, vitamin A supplementation, the use of insecticide treated bednets and better drugs to treat malaria.

Source: http://www.unicef.org/tanzania/Fact_sheet_for_maternal_and_child_health_2012.pdf

Haya kijana, njoo na lingine, mimi nipo hapa, lakini tafadhali usiparaganye mambo kama kawaida yako, njoo tuchambuwe kimoja kimoja.

Mimi nimekuwekea ushahidi kwa yangu, na wewe weka ushahidi kwa yako uzi refute data kwa ushahidi si kwa porojo.

Jaribu bahati yako.
 
Pinda atamalizia muda wake mpaka 2015.kila jambo na wakati wake,haya ndiyo mahitaji ya jamii yetu. Walikuja mawaziri wakuu machachari kama sokoini wakakatishwa ghafla kabla ya kufikia malengo yao. Akaibuliwa tena lowasa mwenye misimamo mikali naye akatafutiwa kila aina ya fitina na hila ili ang'oke na akatolewa kwa fedheha kubwa bila hata kusikilizwa kinyume cha sheria ,katiba na haki za binadamu.sasa ni pinda mtu safi kimaadili lakini anahuruma kupita kiasi. Watanzania walimshangilia na wengi bado tunampenda, lakini kundi la watu wachache linamlazimisha ajiuzulu. Tanzania sio nchi ya watakatifu kwa hiyo kila mtu ana madhambi yake. Pinda ni mtu safi na anastahili kuendelea na wadhifa wake.tumechoshwa na majungu ya watu wenye uchu wa madaraka.
 
Huo ndio ukweli, na ukiwekwa wazi mnakuwa hamna la kusema.

Huwa pakiwa na mada zinazohusisha wewe kuchangia kuhusu watu wa dini yako against mwalimu au against CDM unakua makini sana! Nadhani uwezo umeishia hapo! Kila la kheri!
 
ukifikiri kwa makini, hili lijamaa litawatukana na kuwashikia fimbo mawaziri wasiokuwa nafacts na figures. Hahahaha, nadhani anaweza
 
Msituni ukafanye nn hiyo nafasi ya muhongo abaki hapohapo hapatakiwi mtu mbabaishaji vinginevyo wale wa dar tatu ya ardhi watanza tena ooo watanzania hawathaminiwa ooo wanapendelea wageni hatutaki hzo nyimbo

mwache tu aende porini akakae na mafisi wenzie
 
Huwa pakiwa na mada zinazohusisha wewe kuchangia kuhusu watu wa dini yako against mwalimu au against CDM unakua makini sana! Nadhani uwezo umeishia hapo! Kila la kheri!

Kusoma huwezi hata picha huoni?

Hapo mwenyewe unajiona umechangia kitu cha maana kweli kweli?
 
Sishangai unachosema maana hata mchezo wa karata tatu huendeshwa kisayansi.

Hizi hapa karata tatu zako:

4-6.jpg

Kusoma huwezi, hata picha huoni?
 
Nikujibu au nikuonee huruma tu kwa upup- ulioandika? Ajuza usipende kuokotaokota inacurrate facts toka mtandaoni kisa zimeandikwa na CIA!!!!! Hahahahahah lol! nimecheka sana mpaka nikaulizwa unaanza kupata ukichaa!? nikasema kwa nini nikaambiwa tunakuona unacheka pekee yako na screen ya pc. Nikajibu kuna Ajuza kule JF kanichekesha sana kwa vitu alivyoandika na source yake ni CIA na wao wakaanza kucheka, source yake CIA basi tukaanza kucheka wote tuliokuwapo. Nimekwambia acha kukurupuka ama hapa JF utaumbuka. Sasa kama unataka nikujibu sema ili nifanye hivyo kabla ya game la Totts na L'pool maana huo mpira ukishaanza itakuwa kazi kupata muda wa kukujibu. Tengeneza mahanjumati nakuja kuchukua 🙂🙂

Tanzania total population: 60.76 years
male: 59.48 years
female: 62.09 years
Source: https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/fields/2102.html

Sasa nenda kawaulize CIA wametumia vigezo vipi.

Punguani kweli wewe, hivi hujuwi kuwa vifo vingi vilikuwa vya watoto chini ya miaka 5? na tumepiga hatua kubwa sana, jiburudishe:

Tanzania’s Progress in Maternal and Child Health
Tanzania has made considerable progress in the reduction of child mortality. Under-five mortality rates continue to drop –from 112 deaths per 1,000 live births in 2005 to 81 in 2010. The deaths of infants under one year old also decreased from 68 to 51 per 1,000 live births over the same period.

The continuing decline can be attributed to Government commitments to increase use of key health interventions, such as sustained high coverage of routine under- five immunization, vitamin A supplementation, the use of insecticide treated bednets and better drugs to treat malaria.

Source: http://www.unicef.org/tanzania/Fact_sheet_for_maternal_and_child_health_2012.pdf

Haya kijana, njoo na lingine, mimi nipo hapa, lakini tafadhali usiparaganye mambo kama kawaida yako, njoo tuchambuwe kimoja kimoja.

Mimi nimekuwekea ushahidi kwa yangu, na wewe weka ushahidi kwa yako uzi refute data kwa ushahidi si kwa porojo.

Jaribu bahati yako.
 
ni vyema kabla ya kutoa maoni na mapendekezo ukasoma katiba, waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa na wananchi na sio wakupewa na rais kishikaji. muhongo au muongo hana jimbo
 
Kama sikosei sidhani kama kikatiba MUHONGO anaruhusiwa kuwa PM, kama nakumbuka vizuri, katiba inasema "PM atateuliwa kutoka kwenye chama chenye wabunge wengi katika bunge la JMT na atapigiwa kura na wabunge. PM atapaswa kuwa muwakilishi toka kwenye JIMBO LA UCHAGUZI" sasa huyo Muhongo si ni mbunge wa viti maalumu sijui wa kuteuliwa? Hawezi, afterall sidhani km CCM wako tayari kuvunja serikali kwasasa manake upepo siyo mzuri kisiasa hasa towards them.

Gene!
 
Back
Top Bottom