Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

sayansi ipi??? We bimkubwa... Ya jk?? Au..?

Mpaka leo hakuna Rais yeyote wa kabla ya Kikwete abae amefanya hata nusu ya aliyoyafanya Kikwete kwa muda mfupi.

Umeme wakati Kikwete anachukuwa madaraka =10% ya Tanzania nzima. hii ni pamoja na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Mwingereza na Mjerumani, piga hesabu miaka yao yote. Kikwete miaka 8 ameweza kufikisha 21% yaani zaidi ya mara mbili ya wote hao kwa miaka yao yote hiyo. Na ifikapo 2015 itakuwa 30% kwa miradi iliyopo sasa hivi.

Ukimaliza kusoma hayo, niambie nikuletee ya barabara, mashule, vyuo vikuu, afya.
 
mpaka leo hakuna rais yeyote wa kabla ya kikwete abae amefanya hata nusu ya aliyoyafanya kikwete kwa muda mfupi.

Umeme wakati kikwete anachukuwa madaraka =10% ya tanzania nzima. Hii ni pamoja na nyerere, mwinyi, mkapa na mwingereza na mjerumani, piga hesabu miaka yao yote. Kikwete miaka 8 ameweza kufikisha 21% yaani zaidi ya mara mbili ya wote hao kwa miaka yao yote hiyo. Na ifikapo 2015 itakuwa 30% kwa miradi iliyopo sasa hivi.

Ukimaliza kusoma hayo, niambie nikuletee ya barabara, mashule, vyuo vikuu, afya.

mama are you owky upstairs??
 
Eti nchi inaendeshwa kisayansi!!!! Sayansi ya wapi hiyo!!!!? Sayansi ya Wakwere!!!!? Dah! acha kuropokaropoka!!!

barabara.jpg

kijiji.jpg

[h=3]Wanaelekea Karatu[/h]
Ni mabasi yanayofanya safari zake toka mto Wa Mbu au hata Arusha mjini kuelekea Karatu. Karatu ni moja ya maeneo ya mwisho kabla haujaanza kuingia ndani ya eneo la hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. picha toka maktaba ya TembeaTz

Hii ya Karatu aliijenga Slaa?
 
Acha kukurupuka Ajuza!!! Nchi inaeyoendeshwa kisayansi inakuwaje tena na hali tete ndani ya Baraza la Mawaziri!? Hiyo sayansi ya Kikwere imeshindwa vibaya sana

Hali tete baraza la mawaziri

mawaziri+clip.jpg
Rais Kikwete akiendesha kikao cha baraza la Mawaziri siku za hivi karibuni. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, imeanza kuwahoji mawaziri waliotajwa ni ‘mzigo’

Dodoma. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, imeanza kuwahoji mawaziri waliotajwa ni ‘mzigo’ kwa Serikali.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, jana alilithibitishia gazeti dada la Mwananchi, The Citizen juu ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu (CC), lakini hakuwa tayari kuingia kwa undani kuhusu ajenda.

Hata hivyo, habari za ndani zilieleza kwamba miongoni mwa ajenda kuu za CC ni kuwahoji mawaziri wanaolalamikiwa na wananchi, kwamba wameshindwa kutekeleza majukumu yao.

Wakiwa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Nape aliwatupia lawama mawaziri wakati akielezea changamoto zinazowakabili wakulima ambao ni asilimia 80 ya Watanzania, huku mawaziri husika wakikaa kimya.

Mawaziri waliotajwa mzigo ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa; Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza na Naibu wake, Adam Malima, kwamba wameshindwa kazi na alipendekeza wang’olewe.

Hata hivyo, gazeti hili jana lilishuhudia mawaziri kadhaa wakifika na kuingia kwenye mkutano wa CC, taarifa zingine zilisema mawaziri waliofika kwenye kikao hicho walihojiwa na wajumbe wa CC.

Kuhojiwa na CC

Mawaziri waliohojiwa na CC hadi kufikia saa 8:00 mchana jana walitajwa kuwa ni Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza. Mkuya ndiye ambaye kwa sasa anaisimamia Wizara Fedha kutokana na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa kulazwa nchini Afrika Kusini akisumbuliwa na maradhi ambayo hayajatajwa.

Waandishi wa gazeti hili jana waliwashuhudia takriban mawaziri 10 wakiingia katika ofisi za makao makuu ya CCM, Dodoma, maarufu White House, huku baadhi wakiwa si wajumbe wa CC.

Habari zilizotufikia jioni ziliwataja wengine kuwa ni Dk David Mathayo David (Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi), Hawa Ghasia (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-Tamisemi), Dk Kawambwa, Celina Kombani (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma).

Dk Kawambwa wakati akitoka kwenye kikao cha CC aliulizwa na waandishi wa habari kilichotokea na yeye alijibu kwa kifupi; “Mawaziri mizigo ndiyo tunatoka.”

Mawaziri ambao si wajumbe wa CC ni Mkuya, Chiza, Dk Kawambwa, Hawa Ghasia na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Utawala Bora, George Mkuchika ambaye naye taarifa zilidai alihojiwa.

Hali tete baraza la mawaziri - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Pinda: Nipo tayari kung
Hatuendeshi nchi kwa kukisia. Nchi inaendeshwa Kisayansi.
 
Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.

Mh wahi home ukapate chakula cha jioni inawezekana mchana umepiga pasi ndefu,au kunywa maji kwanza upumue ndugu.Waziri Mkuu lazima atokane na mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kwa kifupi awe na jimbu.Ni katiba yetu ndo inataka si mm dereva wa lori
 
Tungempa dr. Magufuli hata miezi 6 tu awe PM, then arudishwe wizara ya miundo mbinu akaendelee na barabara zake
 
Dharau ipi? Acha maneno ya kishekunaku. Kama huna akili asikwambie
I know that fool all way back to UDSM when he was a head of department, he is very arrogant. So shut up n respect my opinion. I did not ask you to kiss my @$$
 
Yani ww ni moja kati ya wajinga na wasiokua na akili yule mzigo anafaa kuwa pm wkt umeme umekua shida kila... Hakika ww ni chizi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Uwe una tafakari kwa kina kabla ya kuropoka. Una akili ya kutosha kuweza kufanya hivyo badala ya kuandika pumba. Unaishi nchi ipi wewe usiyoelewa hali halisi ya Tanzania!?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ala-kwa-watanzania-kuandamana-nchi-nzima.html

Hao walioandika na wewe unaeshididia, Mhongo anasema kazi yenu ni kukatisha watu tamaa kila kukicha. Sisi tunachanja mbuga, ilikuwa 10% Kikwete alipochukuwa nchi, sasa hivi ni 21% na mpaka mwisho wa 2014 kuna uwezekano ikawa 30% kwa miradi iliyopo sasa.

Mhongo akauliza, hivi ni mkoa upi hakuna kazi za kusambaza umeme kwa sasa? mpaka vijijini? unaijuwa REA?

Fata link: Home
 
Acha kukurupuka Ajuza!!! Nchi inaeyoendeshwa kisayansi inakuwaje tena na hali tete ndani ya Baraza la Mawaziri!? Hiyo sayansi ya Kikwere imeshindwa vibaya sana

Hali tete baraza la mawaziri

mawaziri+clip.jpg
Rais Kikwete akiendesha kikao cha baraza la Mawaziri siku za hivi karibuni. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, imeanza kuwahoji mawaziri waliotajwa ni ‘mzigo'

Dodoma. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, imeanza kuwahoji mawaziri waliotajwa ni ‘mzigo' kwa Serikali.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, jana alilithibitishia gazeti dada la Mwananchi, The Citizen juu ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu (CC), lakini hakuwa tayari kuingia kwa undani kuhusu ajenda.

Hata hivyo, habari za ndani zilieleza kwamba miongoni mwa ajenda kuu za CC ni kuwahoji mawaziri wanaolalamikiwa na wananchi, kwamba wameshindwa kutekeleza majukumu yao.

Wakiwa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Nape aliwatupia lawama mawaziri wakati akielezea changamoto zinazowakabili wakulima ambao ni asilimia 80 ya Watanzania, huku mawaziri husika wakikaa kimya.

Mawaziri waliotajwa mzigo ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa; Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza na Naibu wake, Adam Malima, kwamba wameshindwa kazi na alipendekeza wang'olewe.

Hata hivyo, gazeti hili jana lilishuhudia mawaziri kadhaa wakifika na kuingia kwenye mkutano wa CC, taarifa zingine zilisema mawaziri waliofika kwenye kikao hicho walihojiwa na wajumbe wa CC.

Kuhojiwa na CC

Mawaziri waliohojiwa na CC hadi kufikia saa 8:00 mchana jana walitajwa kuwa ni Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza. Mkuya ndiye ambaye kwa sasa anaisimamia Wizara Fedha kutokana na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa kulazwa nchini Afrika Kusini akisumbuliwa na maradhi ambayo hayajatajwa.

Waandishi wa gazeti hili jana waliwashuhudia takriban mawaziri 10 wakiingia katika ofisi za makao makuu ya CCM, Dodoma, maarufu White House, huku baadhi wakiwa si wajumbe wa CC.

Habari zilizotufikia jioni ziliwataja wengine kuwa ni Dk David Mathayo David (Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi), Hawa Ghasia (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-Tamisemi), Dk Kawambwa, Celina Kombani (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma).

Dk Kawambwa wakati akitoka kwenye kikao cha CC aliulizwa na waandishi wa habari kilichotokea na yeye alijibu kwa kifupi; "Mawaziri mizigo ndiyo tunatoka."

Mawaziri ambao si wajumbe wa CC ni Mkuya, Chiza, Dk Kawambwa, Hawa Ghasia na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Utawala Bora, George Mkuchika ambaye naye taarifa zilidai alihojiwa.

Hali tete baraza la mawaziri - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Pinda: Nipo tayari kung

Wewe ndio katika watu finyu sijawahi kuona zaidi yako. Ni baraza lipi la Mawaziri duniani ambalo haliwi na hali tete? unajuwa maana ya baraza la mawaziri lakini? unafikiri pale kuna kuchekeana? pale ni hali ni tete vikao vyote. Kumbuka hilo usije ukachekwa.

Hiyo quote ya Pinda niliisikia live bungeni, akimwambia Bi rukia. Mbunge wa wapi sijui. "kama unaona sifai unaweza kuongea na wabunge wenzako mkanitoa, nami ntafurahi kweli kweli, hivi unafikiri hii ni kazi ya kuomba?"

Thats it. Mkiona hawafai, si kuna kanuni? si Zitto wenu alijaribu? kulikoni?

Kuna yupi kwenye Serikali ambae nyinyi mnaona anafaa zaidi ya Werema juzi? umesahau?
 
Last edited by a moderator:
pinda pamoja na mapungufu yake huwa ana busara sana,ni bora tuendelee nae mpaka 2015
 
Eti tunakatisha watu tamaa!!!! Ulishasikia kuhusu EPA, Meremeta, Kagoda, Richmond/Dowans, Rada, Ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Mikataba ya uchimbaji dhahabu na gas ambayo haina maslahi na nchi!? Usiropoke wale Botswana madini yao yameinua sana nchi yao kimaendeleo siyo sisi tunaoambaulia 4% na kuwaacha wachukuaji 96% wapeleke kwao. Kwa mikataba ya hivi kamwe Tanzania haitapata maendeleo yoyote na kuwa na viongozi mafisadi ambao wanakwapua pesa za walipa kodi na kuzificha katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo UAE, Uswiss na kwingineko.

Hizi percentage ulizoweka hapo ni alinacha tu, wanaochanja mbuga ni mafisadi tu ambao wanandelea kuwa mabilionea kwa kiwango cha kutisha lakini asilimia ya Watanzania walio wengi wanaishi katika kiwango cha umaskini wa kutisha, tembelea vijjini ukaone kama hukutokwa a machozi weye ajuza. Umeme, maji shida tupu kuanzia mijini hadi vijijini, mahospitali yanatisha pia hayana madawa, Elimu Mulugo halafu unadai mnachanja mbuga!!!!

Weye unazijua hizi kauli? Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya? Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana? Kilimo kwanza? Tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele? Kauli zote hizi ni upuuzi mtupu!!!!

Hao walioandika na wewe unaeshididia, Mhongo anasema kazi yenu ni kukatisha watu tamaa kila kukicha. Sisi tunachanja mbuga, ilikuwa 10% Kikwete alipochukuwa nchi, sasa hivi ni 21% na mpaka mwisho wa 2014 kuna uwezekano ikawa 30% kwa miradi iliyopo sasa.

Mhongo akauliza, hivi ni mkoa upi hakuna kazi za kusambaza umeme kwa sasa? mpaka vijijini? unaijuwa REA?

Fata link: Home
 
Acha UTAHIRA wewe mpaka leo bado kuna mgawo wa umeme kwa kisingizio cha ukarabati mbona hawakufanya ukarabati kipindi kile walipokuwa wametukatia umeme kwa siku 10 eti sasa ndio wanakata matawi na miti ndo maana kuna mgawo tena ni karibia nchi nzima. Yaani ccm ni kama Mch. Msigwa alivyosema wana tatizo la rasilimali watu hata awekwe nani bado nchi inazidi kudidimia kwenye umaskini hawa watu wanalaana si bure ndo maana wanaongea sana lakini hamna ufanisi wala nafuu yeyote. Dawa yao ni 2015 watatujua watanzania vizuri tumekaa kimya ila wataona

In RED BOLD; Naomba nitofautiane na wewe kwamba tatizo la nchi hii ni raslimali watu. Mimi nasema hapana tatizo la nchi yetu mkuu si human resources,tatizo la nchi yetu ni SERA ZILIZOKWISHA KUSHINDWA ZA CHAMA KINACHOONGOZA SERIKALI HII yaani CCM.Kumbuka kuwa sera huzaa mipango
 
Back
Top Bottom