Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
351
Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.
 
Hatuendeshi nchi kwa kukisia. Nchi inaendeshwa Kisayansi.
 
Mohongo ni mbunge wa kuteuliwa hawezi kuwa waziri mkuu
 
Acha UTAHIRA wewe mpaka leo bado kuna mgawo wa umeme kwa kisingizio cha ukarabati mbona hawakufanya ukarabati kipindi kile walipokuwa wametukatia umeme kwa siku 10 eti sasa ndio wanakata matawi na miti ndo maana kuna mgawo tena ni karibia nchi nzima. Yaani ccm ni kama Mch. Msigwa alivyosema wana tatizo la rasilimali watu hata awekwe nani bado nchi inazidi kudidimia kwenye umaskini hawa watu wanalaana si bure ndo maana wanaongea sana lakini hamna ufanisi wala nafuu yeyote. Dawa yao ni 2015 watatujua watanzania vizuri tumekaa kimya ila wataona

Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.
 
Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.

kuliko huyo jamaa bora hata ya juliana shoza na mtela.
 
Hatuendeshi nchi kwa kukisia. Nchi inaendeshwa Kisayansi.

Kama hapa tulipo ndio tunaongozwa kisayansi kweli tuna safari ndefu kufika kule tunakotaka. Labda kama viongozi wetu wanatumia sayansi ya Bagamoyo.
 
Eti nchi inaendeshwa kisayansi!!!! Sayansi ya wapi hiyo!!!!? Sayansi ya Wakwere!!!!? Dah! acha kuropokaropoka!!!

kisima.jpg

Hatuendeshi nchi kwa kukisia. Nchi inaendeshwa Kisayansi.
 
Mzee wa facts and figures ni moto wa kuotea mbali .... Kwa mdahalo wa last week ata ungefanyika Kwenye office ya Dr Mengi jamaa angeibuka kidedea.... prof: Muhongo ni mtu makini wa siyo wa kubeza kirahisi rahisi
 
Haiwezekani kwa kuwa prof. Muhongo si mbunge wa kuchaguliwa kwa hivyo hakidhi matakwa ya katiba!
 
waziri wa ccm wote wahuni hakuna mwenye afadhali kama raisi ni dhaifu je waliopo chini watakuwaje pinda mwenyewe amepinda kama jina lake ...
 
Back
Top Bottom