Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

Mpaka leo hakuna Rais yeyote wa kabla ya Kikwete abae amefanya hata nusu ya aliyoyafanya Kikwete kwa muda mfupi.

Umeme wakati Kikwete anachukuwa madaraka =10% ya Tanzania nzima. hii ni pamoja na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Mwingereza na Mjerumani, piga hesabu miaka yao yote. Kikwete miaka 8 ameweza kufikisha 21% yaani zaidi ya mara mbili ya wote hao kwa miaka yao yote hiyo. Na ifikapo 2015 itakuwa 30% kwa miradi iliyopo sasa hivi.

Ukimaliza kusoma hayo, niambie nikuletee ya barabara, mashule, vyuo vikuu, afya.

Mapenzi ni kama upofu!!
 
Baeleze Mkuu, ndio maana MACCM yamewamwaga Buku 7 hapa ili kupotosha mijadala ya ukweli halisi kuhusu hii Serikali dhalimu.

Acha UTAHIRA wewe mpaka leo bado kuna mgawo wa umeme kwa kisingizio cha ukarabati mbona hawakufanya ukarabati kipindi kile walipokuwa wametukatia umeme kwa siku 10 eti sasa ndio wanakata matawi na miti ndo maana kuna mgawo tena ni karibia nchi nzima. Yaani ccm ni kama Mch. Msigwa alivyosema wana tatizo la rasilimali watu hata awekwe nani bado nchi inazidi kudidimia kwenye umaskini hawa watu wanalaana si bure ndo maana wanaongea sana lakini hamna ufanisi wala nafuu yeyote. Dawa yao ni 2015 watatujua watanzania vizuri tumekaa kimya ila wataona
 
Umeona eeh!!!! Huyu Ajuza amezeeka vibaya sana...Eti DHAIFU kafanya mengi kuliko hata Mwalimu!!!!! Naona kusema uwongo ni jadi yake kwa siku nyingi sasa tena bila hata aibu dah!!!!!

Mapenzi ni kama upofu!!
 
Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.
nimekumbuka hiki ulichokiandika ndicho ulichokiandikia siku pinda anateuliwa kuwa waziri mkuu.......
 
Mnachanja mbuga kwenda kuficha mabilioni nchi za nje wakati nchi inaangamia!!!

Donors rap Tanzania over slow grand corruption fight: News-africareview.com

Speaking on behalf of donors, Swedish ambassador Lennarth Hjelmaker noted that there has been stagnation in the fight against corruption.

The envoy, who is also the chair of donors who fund the government's budget, said: "Lack of movement on specific anti-corruption cases in key sectors like health, the port and energy is worrying. We strongly encourage the government to intensify the war on corruption."

The ambassador was referring to high-profile corruption allegation levelled against directors from the Tanzania Ports Authority, the Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) and the permanent secretaries of the ministries of Energy and Minerals and Health.

Hao walioandika na wewe unaeshididia, Mhongo anasema kazi yenu ni kukatisha watu tamaa kila kukicha. Sisi tunachanja mbuga, ilikuwa 10% Kikwete alipochukuwa nchi, sasa hivi ni 21% na mpaka mwisho wa 2014 kuna uwezekano ikawa 30% kwa miradi iliyopo sasa.

Mhongo akauliza, hivi ni mkoa upi hakuna kazi za kusambaza umeme kwa sasa? mpaka vijijini? unaijuwa REA?

Fata link: Home
 
Hatuendeshi nchi kwa kukisia. Nchi inaendeshwa Kisayansi.

kweli kwa hoja yako mama tumefika kwenye utabiri wa Albert Einstein alisema sayansi hii itapelekea siku moja jamii yote kuwa yawapumbavu.....kumbe ccm wanaendesha nchi hivyoooo
 
Eti tunakatisha watu tamaa!!!! Ulishasikia kuhusu EPA, Meremeta, Kagoda, Richmond/Dowans, Rada, Ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Mikataba ya uchimbaji dhahabu na gas ambayo haina maslahi na nchi!? Usiropoke wale Botswana madini yao yameinua sana nchi yao kimaendeleo siyo sisi tunaoambaulia 4% na kuwaacha wachukuaji 96% wapeleke kwao. Kwa mikataba ya hivi kamwe Tanzania haitapata maendeleo yoyote na kuwa na viongozi mafisadi ambao wanakwapua pesa za walipa kodi na kuzificha katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo UAE, Uswiss na kwingineko.

Hizi percentage ulizoweka hapo ni alinacha tu, wanaochanja mbuga ni mafisadi tu ambao wanandelea kuwa mabilionea kwa kiwango cha kutisha lakini asilimia ya Watanzania walio wengi wanaishi katika kiwango cha umaskini wa kutisha, tembelea vijjini ukaone kama hukutokwa a machozi weye ajuza. Umeme, maji shida tupu kuanzia mijini hadi vijijini, mahospitali yanatisha pia hayana madawa, Elimu Mulugo halafu unadai mnachanja mbuga!!!!

Weye unazijua hizi kauli? Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya? Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana? Kilimo kwanza? Tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele? Kauli zote hizi ni upuuzi mtupu!!!!

Isingekuwa Kikwete ungeyasikia yote hayo? si madudu yaliofanywa na jamaa yenu au umesha sahau? unaonesha ni mfinyu wa kusahau.

Naona la umeme limekuingia sasa unarudia nyimbo iliyopitwa na wakati.

Wewe, kuhusu maisha bora kwa kila Mtanzania ni nani aliyefanya zaidi ya Kiwete, pata darsa dogo;

Nyerere; life expectancy ya Mtanzania miaka 43

Mwinyi na Mkapa; Life expectancy ya Mtanzania miaka 48

Hao wote wawili kwa miaka 20 wamezidisha miaka 5 tu.

Baba lao, Kikwete kachukuwa nchi 45 life expectancy ya Mtanzania, leo hii ni zaidi ya miaka 62 life expectancy. Ni miaka mingapi hiyo ya maisha tumeongezewa? Kama si maisha bora kwa kila Mtanzania ni nini hicho? utajaza mwenyewe.

Haya unataka kusema nini kingine? maana umechanganyikiwa mpaka ukaanza kubwabwaja kila kitu bila mpangilio maalum.

kama kusoma husomi basi hata picha hutazami? : https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ali-ya-kikwete-imefanya-nini-2005-2015-a.html
 
You must be a fool to think that way......kuongoza ni ishu tofauti kabisa na mambo yenu ya uanazuoni....ni tofauti kabisa na kuwa na PHD, uprofesa nk ....huyo muongo ndio hafai kabisaaa...ila darasani atakuwa ni mzuri kutujengea wataalam nk lakini siyo kuongoza nchi c'mon!
 
Acha kuandika uongo wewe!!!! Ni aibu kwa mtu wa makamo yako kuandika uongo. Eti nyimbo iliyopitwa na wakati wakati umeme unaendelea kusuasua miaka nenda miaka rudi. Hizo namba ulizoweka hapo ni alinacha tu. Kwanini Kikwete anajulikana kwa majina ya msanii na DHAIFU!? Kwanini bado Watanzania wengi tunamuenzi Mwalimu kwamba alikuwa kiongozi bora kuliko wote waliomfuatia!? Udini unaharibu akili yako kiasi cha kushindwa hata kutafakari kwa kina. Kama Kikwete alikuwa ni kiongozi bora iweje 2005 atumie mabilioni ya pesa ili kununua Urais!? Alijijua hana sifa ya kuwa Rais ndio maana yeye na kundi lake la mtandao wakatumia mabilioni kununua Urais vinginevyo Ikulu angeisikia mtaani tu.

Umeme wakati wa Mwalimu ulikuwa wakumwaga,elimu ilikuwa bomba, hakukuwa na mafisadi akina Mkapa, Kikwete na wengineo amba wanaingia mdarakani ili wajitajirishe

Weka opinion poll hapa jamvini kati ya DHAIFU na Mwalimu ni nani ni kiongozi bora badala ya kuandika p-mba zako, "Kikwete kafanya mengi." ili ujue ukweli ni upi.

Isingekuwa Kikwete ungeyasikia yote hayo? si madudu yaliofanywa na jamaa yenu au umesha sahau? unaonesha ni mfinyu wa kusahau.

Naona la umeme limekuingia sasa unarudia nyimbo iliyopitwa na wakati.

Wewe, kuhusu maisha bora kwa kila Mtanzania ni nani aliyefanya zaidi ya Kiwete, pata darsa dogo;

Nyerere; life expectancy ya Mtanzania miaka 43

Mwinyi na Mkapa; Life expectancy ya Mtanzania miaka 48

Hao wote wawili kwa miaka 20 wamezidisha miaka 5 tu.

Baba lao, Kikwete kachukuwa nchi 45 life expectancy ya Mtanzania, leo hii ni zaidi ya miaka 62 life expectancy. Ni miaka mingapi hiyo ya maisha tumeongezewa? Kama si maisha bora kwa kila Mtanzania ni nini hicho? utajaza mwenyewe.

Haya unataka kusema nini kingine? maana umechanganyikiwa mpaka ukaanza kubwabwaja kila kitu bila mpangilio maalum.

kama kusoma husomi basi hata picha hutazami? : https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ali-ya-kikwete-imefanya-nini-2005-2015-a.html
 
Pinda atimuliwe kwa kosa gani? Yupo makini alimjibu -------- kwa Kadri ya upumbavu wake. Uwaziri Mkuu sio kazi ya kuomba sio lelemama, sio mchezo.

Katika Serikali ufanyi unayofikiria wewe na mkeo na pengine unafanya unayoambiwa hata kama huyataki ndio uongozi wa Serikali. Unadhani kwanini analindwa!?. Huyo mbunge wa CUF mbona hamuulizi Seif mbona ni Makamu wa Rais Zanzibar mbona hafurukuti? Mbona kawaida kawa mzigo kwa CUF, mbona hatumsikii tena porojo zake za awali za kuikataa Muungano?
 
Weye ndio taahira wa kutupa. Hivi ulishawahi kutafakari kwa kina kwamba miaka hii mlo mmoja tu kwa siku kwa Watanzania walio wengi ni shida, ajira hakuna, hospitali zinatisha na hazina madawa, kiwango cha kutojua kusoma kimeongezeka kwa kasi, Watanzania walio wengi wanaishi maisha ya ufukara kuliko katika kipindi chochote kile tangu tupate uhuru sasa pamoja na matatizo yote haya inakuwaje life expectancy iongezeke!? Nini kinaongeza hiyo life span ya Watanzania kama siyo namba za kupikwa ili kuipaisha hii Serikali dhalimu!? Tafakari kwa kina kisha chukua hatua muafaka badala ya kukurupuka na kuweka namba ambazo hazina maana yoyote ile zaidi ya usanii kama ule wa "sasa tunalivua gamba."

Isingekuwa Kikwete ungeyasikia yote hayo? si madudu yaliofanywa na jamaa yenu au umesha sahau? unaonesha ni mfinyu wa kusahau.

Naona la umeme limekuingia sasa unarudia nyimbo iliyopitwa na wakati.

Wewe, kuhusu maisha bora kwa kila Mtanzania ni nani aliyefanya zaidi ya Kiwete, pata darsa dogo;

Nyerere; life expectancy ya Mtanzania miaka 43

Mwinyi na Mkapa; Life expectancy ya Mtanzania miaka 48

Hao wote wawili kwa miaka 20 wamezidisha miaka 5 tu.

Baba lao, Kikwete kachukuwa nchi 45 life expectancy ya Mtanzania, leo hii ni zaidi ya miaka 62 life expectancy. Ni miaka mingapi hiyo ya maisha tumeongezewa? Kama si maisha bora kwa kila Mtanzania ni nini hicho? utajaza mwenyewe.

Haya unataka kusema nini kingine? maana umechanganyikiwa mpaka ukaanza kubwabwaja kila kitu bila mpangilio maalum.

kama kusoma husomi basi hata picha hutazami? : https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ali-ya-kikwete-imefanya-nini-2005-2015-a.html
 
Weye ndio taahira wa kutupa. Hivi ulishawahi kutafakari kwa kina kwamba miaka hii mlo mmoja tu kwa siku kwa Watanzania walio wengi ni shida, ajira hakuna, hospitali zinatisha na hazina madawa, kiwango cha kutojua kusoma kimeongezeka kwa kasi, Watanzania walio wengi wanaishi maisha ya ufukara kuliko katika kipindi chochote kile tangu tupate uhuru sasa pamoja na matatizo yote haya inakuwaje life expectancy iongezeke!? Nini kinaongeza hiyo life span ya Watanzania kama siyo namba za kupikwa ili kuipaisha hii Serikali dhalimu!? Tafakari kwa kina kisha chukua hatua muafaka badala ya kukurupuka na kuweka namba ambazo hazina maana yoyote ile zaidi ya usanii kama ule wa "sasa tunalivua gamba."

Hiyo shida unaisema wewe. Tanzania hafi mtu kwa kukosa kula, Labda awe mvivu wa kutua au hana akili timamu kama unavyojionesha wewe.

Mi fursa iliyojaa Tanzania unambie mtu mlo mmoja tu shida? huyo itakuwa babuyo huko kijijini na umemkimbia kufata mji.
 
Utafiti umefanya ktk mikoa mingapi?
 
Mwenye shibe tangu lini akamjua mwenye njaa!? Mgomo wa madaktari uliusikia? Mgomo wa Walimu uliusikia na Serikali ikawatishia kuwafukuza kazi? Malalamiko ya Wafanyakazi kuhusu mishahara isiyokidhi gharama za maisha umeyasikia!? Unaishi Tanzania ya kusadikika unadhani watu wote ni mabilionea kama mafisadi wa Serikali na wauza unga, magaidi na majangili wa rasilimali mbali mbali za Taifa. Eti life expectancy imefikia 62 years!!!! Kipi kilichosababishi hilo ikiwa hali ya Watanzania wengi ni hohe hahe? Na hiyo tathmini ilifanyika lini, ilifanywa na akina nani na walitumia vigezo vipi kuhitimisha kwamba life expectancy katika utawala wa miaka minane wa DHAIFU imefikia miaka 62!? Usiropokeropoke kama huna concrete evidenve ya kuthibitisha kile unachoropoka.
Hiyo shida unaisema wewe. Tanzania hafi mtu kwa kukosa kula, Labda awe mvivu wa kutua au hana akili timamu kama unavyojionesha wewe.

Mi fursa iliyojaa Tanzania unambie mtu mlo mmoja tu shida? huyo itakuwa babuyo huko kijijini na umemkimbia kufata mji.
 
Joto la kisiasa linaloendelea dhidi ya w/mkuu Pinda,likifikia kilele litamg'oa. Binafsi napendekeza prof.Muhongo ashike nafasi kwa sababu ni mtu mwenye msimamo usioyumba,asiyetazama uso wa mtu,jasiri na mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja nzito.
Ni mtu pekee ndani ya chama cha mapinduzi mwenye uwezo mkubwa wa kuisimamia serikali na kujibu hoja kwa weledi.

Muhongo mimi namkubali lkn si mbunge wa kuchaguliwa hivyo kikatiba hawezi kuwa PM
 
Hiyo shida unaisema wewe. Tanzania hafi mtu kwa kukosa kula, Labda awe mvivu wa kutua au hana akili timamu kama unavyojionesha wewe.

Mi fursa iliyojaa Tanzania unambie mtu mlo mmoja tu shida? huyo itakuwa babuyo huko kijijini na umemkimbia kufata mji.

unatamani ukweli au unabisha tu kwakuwa ni mfuasi wa headmaster wa janjajanja......huoni watu wanaokufa njaaa?? Au umekulia kwenye appartment na maghorofa ya serikal.....muulize janjajanja yale mahindi anayopewa na mmarekani na kuja kuyagawa bure huwa yanatolewa kwa lengo lip???
 
Katiba haimruhusu Muhongo kuwa PM, Muhongo ni Mbunge wa kuteuliwa na PM lazima awe wa kutoka Jimboni.... Pole kaka kama ni mpambe wa Muhongo tafuta mwingine! Probably "Mwakyembe" anaweza kusimamia kiti hiki....
 
Back
Top Bottom