team popo championsmshana jr team popo tumekusikia....I do pillow talk with the pillow!
mr & miss=?????Kwani Mr Natafuta na Miss Natafuta hamfanyi pillow talk?!
Dunno...mr & miss=?????
mr&mrs=?????????????
Kwani Mr Natafuta na Miss Natafuta hamfanyi pillow talk?!
mr & miss=?????
mr&mrs=?????????????
Dunno...
Shenz hawa

Kwani Mr Natafuta na Miss Natafuta hamfanyi pillow talk?!
View attachment 409836neno la mahaba kabisa hili. Unapolitamka hisia hukupeleka mahali fulani pa faragha kwenye kiza fulani chumbani kitandani ukiwa na mwenza wako na viguo vyepesi au tupu kabisa
Ni ngumu sana kwasasa kuielewa dhana nzima ya hii faragha, vijana wanakosa mengi siku hizi smart phones zimechukua nafasi adhimu kabisa ya pillow talk...na ndio maana siku hizi kuna # team popo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwakweli kama chumbani kumekamilika ni ngumu kuikumbuka JF nite kali! Ukikuta mtu yuko live online usiku mwingi...huyo pillow talk ni msamiati uliojaa upweke
![]()
![]()
![]()
View attachment 409851pillow talk ina taratibu na kanuni zake
-shurti kuwe na chachandu la kumbatio ambalo si kindakindaki(kumbatio la hamu)
-hakikisha chumbani ni kusafi na kumepangika, kitanda kikipewa kipaumbele
-jua kwamba taa zifaazo chumbani ni zile zenye mwanga hafifu wa rangi hasa blue au nyekundu
-smart phone mwisho wake ni mlangoni, ukiingia ndani unazima au kuweka flight mode...ukishindwa kabisa weka silence mode
-majasho na harufu za ajabu ajabu za kutwa nzima hakikisha unaondoa zote kwa kuoga na kutakata
-unavaa pyjama na chupi kwani umeambiwa kwenu hapo?![]()
![]()
tupa kule uingie paradiso
-ndani chumbani hakikisha hakuna stress wala kesi za mchana kutwa..hayo yana muda wake
Kumbuka usiku chumbani pekeyenu ndio muda pekee mnaokuwa pamoja mbali kabisa na dunia..na ndio muda pekee wa kufurahiana pamoja hivyo usiichezee hii moment ni very very precious View attachment 409855![]()
![]()
# team popo poleni