Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

Haya mapikipiki shenzy kabisa, HONDA ACE 125 TUF, Sitaki hata kuyaona, moja lilishanigaragaza Mwanza pale nyegezi nimetoka town naelekea buhongwa,

Kidogo nife au kukatika mkono maana nilikuwa kwenye 110 km/h kama sikosei, li mbwa likakatisha barabara nikalifagia, kilichofuata kumbe lilinipiga mtama, niliamka nipo hospitali.

Nilikoma na nikaamua kuacha job baada ya management kukataa kuleta gari badala ya bodaboda.
.
Hahaha nimecheka sana kwa comment aseee eti limbwa limekukata mtama
 
IMG_20160720_174835 (1).jpg
 
Back
Top Bottom