Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,728
- 4,058
Kuna honda used from japan vt250 supersportNaku pm # yangu chief
Kuna honda used from japan vt250 supersportNaku pm # yangu chief
Ipo used honda vt250 supersportHonda XL 250 mnauzaje? Au zaid ya xl mna honda 250 aina gani na bei?
Mkuu honda yenye rejeta ipo vt250 supersportNiliwahi kuona padri mmoja anaendesha pikipiki lenye rejeta,zinapatikana wapi hizi?
Ninayo used vt250 supersport mkuuMnazo honda zenye 250cc , kama zipo mnauzaje?
Ipo vt 250 supersport used from japan ina rejetamimi nitakutafuta mzee mwenzangu...ila nahitaji pikipiki yenye uwezo wa kutembea zaidi ya km 600
Chukua vt250 supersport mkuu250 baja zinauzwaje...?
[emoji116] [emoji116]Picha tafadhari
60 km kwa lita.Asante kwa jibu zuri, ila nazionaona mtaani japo ni chache zinazomilikiwa na makampuni. Unaweza niambia zinatumia km ngapi kwa lita? Asante
Bado zipoo??HONDA CG 110 ZIPO 4 TU KWA BEI YA MIL 2 TU WATEJA WALIOKUWA WANAZITAFUTA WANITAFUTE KWENYE SIMU KABLA HAZIJAISHA. SIMU 0717-518359, 0689-866100
View attachment 642945
baba zimeisha kitambo, huoni hio post ya lini?? post ya toka mwaka jana.Bado zipoo??
can i have your contacts please?Tuna wateja wengi huko mkoani tunawasafirishia piki piki na wanapata piki piki zao bila usumbufu wowote. kwahiyo usiwe na shaka na kampuni yetu kwasababu tunafahamika kwa wadau wengi na ofisi zetu zinafahamika.
Kama njia ya kuagiza piki piki kutoka dar sio salama kwako, basi nakupa njia nyingine, tuna tawi letu hapo hapo kigoma mjini nakupa namba za simu ya jamaa wetu hapo kigoma anaitwa mujuberi, 0717601988. mnaweza kufanya naye biashara.
Kumbuka na dereva pia anachangia... We honda me fekon na utaisoma nambDuh kweli wewe kanjanja ulieathirika na vitu fake vya Kichina,hivi unamjua Mjapani kwenye Piki Piki au unamsikia?Honda ndio kampuni inayoongoza kwa mauzo ya Piki Piki Duniani.
weka pichaNina Honda nx250 nishawahi kui post humu kuwa naiuza Mashine hiyo nliinunua Denmark IPO mpaka sahvi ...bado naiuza ntafutie mteja