zerobalance
Member
- Apr 22, 2017
- 15
- 5
Sema nikuletee!
Mkuu ninaweza kupata injini ya XL au XLR 250 mpya katika show room yenu na ni sh ngapiHabari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki Toleo mpya za Honda kutoka Quality Motors ltd. kwasasa nimehamia ofisi zetu za tazara, Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom yetu ya tazara, Dar. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu. Kwa wadau wa mikoani tunawasafirishia mizigo.
Aina za matoleo ya Honda ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;
1. Honda CG 110-Bei mil.1.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.(Zimeisha)
2. Honda Ace 125 CBD- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda Ace 125 CB- Bei ni mil. 3.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda Ace 125 CBD Toleo la Zamani. Bei Mil 3.0 usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil. 3.5 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda XL 125-Bei ni mil.7.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka. (zimeisha)
kwa mawasiliano zaidi, piga simu 0717518359. 0689866100 au fika ofisi zetu za tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Barua pepe- jonelias6@gmail.com
Honda Spare parts zipo tunauza hapo hapo ofisini. Karibuni wateja wetu.
XLR au XL 250 ENGINES MNAZO KWENYE SHOW ROOM YENU?sisi ni wakala wa piki piki za Honda tu. Kama unahitaji piki piki ya fekon nenda kampuni ya fekon ofisi zao zipo kariakoo ,kituo cha bakhressa. Piki piki za sunlg wanasambaza kishen enterprises ofisi zao zipo buguruni mwananchi au nenda kwa mawakala wao wapo wengi kariakoo na mnazimmoja.
hizo honda tuf zina beba mzigo hata ya kilo 200 na barabara ya vumbi inahimili vishindo vyote vya barabara. Honda TUf inavumilia shida zote za kijijini, ndio maana wadau wengi wanapenda kuzitumia hizi pikipiki, kwa mfano halmashauri za wilaya na watu binafsi huko mikoani wanatumia sana hizi pikipiki.Kwenye ubebaji wa mizigo na barabara ya vumbi vip? Inavumilia kama izi sunlg mchina
Spea za honda origino ni bei zake ziko juu. lakini ni bora ununue spea origino ili udumu nayo kwa muda mrefu.Nilukwenda quality motors pale kununua switch ya honda ace 125 cbd.bei yake ni mkasi ,elfu 88.
Haina shida ukipata pesa we nipigie simu ili nikuelekeze ofisini kwetu. 0717-518359, 0689-866100. Mr John.Nkipata pesa nitasogea hapo macho
Nipe namba yako ya simu tuwasiliane mkuu. simu yangu 0717-518359.XLR au XL 250 ENGINES MNAZO KWENYE SHOW ROOM YENU?
Post sent using JamiiForums mobile app
No yangu ni 0625677622/0688939892 mkuuNipe namba yako ya simu tuwasiliane mkuu. simu yangu 0717-518359.
mkuu sijakusoma, niambie ulikuwa unahitaji pikipiki?? nipigie simu 0717-518359. 0689-866100. au nipe namba yako ya simu tuwasiliane.Sema nikuletee!
HONDA CR 600 Hamna. honda tunazoletewa ni honda CTX 200 na hizo zinaletwa kwa oda maalum.Nataka Honda CBR 600 mpaka 1000.unayo?