Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

ok jamani wadau natangaza, kampuni ya quality motors ltd ambayo ndio walikuwa magent wa pikipiki za honda Tanzania, wamesimama kibiashara mwaka huu 2019. pikipiki za honda hazipo tena sokoni mpaka pale agent mpya atakapo patikana tena. nimejaribu kudelete hii posti kitambo lakini nashindwa. naomba mdau anayejua kudelete post anipe maelekezo hapa ili niweze kuondoa hii post. yaani napigiwa simu sana na wadau kutoka sehemu mbali mbali wanataka pikipiki lakini sasa sina cha kuwasaidia kwasababu hakuna pikipiki za honda.
Ndio hizo honda manji au zipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji spares za Honda Hero, Karizma.
Shockups na steering, utakua nazo mkuu, au naweza kupata wapi?
IMG-20181218-WA0024.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20181218-WA0025.jpeg
    IMG-20181218-WA0025.jpeg
    53.5 KB · Views: 87
ok jamani wadau natangaza, kampuni ya quality motors ltd ambayo ndio walikuwa magent wa pikipiki za honda Tanzania, wamesimama kibiashara mwaka huu 2019. pikipiki za honda hazipo tena sokoni mpaka pale agent mpya atakapo patikana tena. nimejaribu kudelete hii posti kitambo lakini nashindwa. naomba mdau anayejua kudelete post anipe maelekezo hapa ili niweze kuondoa hii post. yaani napigiwa simu sana na wadau kutoka sehemu mbali mbali wanataka pikipiki lakini sasa sina cha kuwasaidia kwasababu hakuna pikipiki za honda.
Niliona tangazo kwenye gazeti kwamba nyie sio agent tena ..... Nini tatizo
 
tatizo ni watu bado wanapiga simu kuuliza pikipiki za honda kwangu. najaribu kuifuta hili tangazo lakini sasa sehemu ya kudelete post hamna
 
Back
Top Bottom