Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

IMG_20160701_122610.jpg
 
mnao mawakala wenu mikoani? maana nahitaji sana kumiliki mojawapo ya pikipiki hizi, nipo musoma
 
mnao mawakala wenu mikoani? maana nahitaji sana kumiliki mojawapo ya pikipiki hizi, nipo musoma
Musoma hatuna tawi bosi. sisi tunasafirisha pikipiki kwa wateja wetu wote wa mikoani. tunakupa bank account namba ya crdb utalipia kisha sisi tunakusafirishia. cha muhimu ni mawasiliano ya simu ndio yanahitajika. mzigo unafika bila usumbufu. tuna wateja wengi kutoka halmashauri mbali mbali za serikali, makanisa, mashirika yasiyo ya kiserikali na wateja binafsi tunawasafirishia mzigo. nipigie simu 0689-866100, au 0717-518359.
 
Back
Top Bottom