Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

HONDA CG 110 ZIPO 4 TU KWA BEI YA MIL 2 TU WATEJA WALIOKUWA WANAZITAFUTA WANITAFUTE KWENYE SIMU KABLA HAZIJAISHA. SIMU 0717-518359, 0689-866100

cg 110 3.jpg

 
Haya mapikipiki shenzy kabisa, HONDA ACE 125 TUF, Sitaki hata kuyaona, moja lilishanigaragaza Mwanza pale nyegezi nimetoka town naelekea buhongwa,

Kidogo nife au kukatika mkono maana nilikuwa kwenye 110 km/h kama sikosei, li mbwa likakatisha barabara nikalifagia, kilichofuata kumbe lilinipiga mtama, niliamka nipo hospitali.

Nilikoma na nikaamua kuacha job baada ya management kukataa kuleta gari badala ya bodaboda.
Haaaa haaaaa! Naona umekikubali chombo kwa mwendo ila pole kwa ajali mbwa,mbuzi huwa tunawakazia mikono tunapiga tu mwendo mdundo
 
Mkuu, naweza kupata spares za Yamaha YBR.?
 
Nahitaji pikipiki zile kubwa ndefu za kichina, mtaani zinaitwa tchangarai, je nitazipata na ni shilingi ngapi?
 
OFA MPYA YA BEI ZA HONDA.

HONDA ACE 125 BEI SASA NI 2,500,000 TU.
BEI YA ZAMANI ILIKUWA 3,000,000. SASA NI 2,500,000 TU WAHI SASA KABLA STOCK HAZIJASHA. SIMU 0717-518359 AU 0689-866100

ace blue 3.jpg
 
HONDA ZIMESHUKA BEI JAMANI, PIGENI SIMU KWA MAWASILIANO. WALE AMBAO WALIKUWA WANASUBIRI OFA HAYA SASA OFA IMEKUJA. MNIPIGIE SIMU KWA BIASHARA 0689-866100. WATU WA MIKOANI TUNSAFIRISHA PIKIPIKI PIGENI SIMU.
 
changamoto kubwa ya Honda bikes ni kuwa ni kick starter,wateja wengi wanalalamika sana kipindi nikiwa Sales Executive wa Quality motors ltd ARUSHA branch 2013-2015 nilikumbana naye pia spea ghali mno,mfano dash board ya honda ace 125 ni tsh 140,000/= wakati ya toyo ni tsh 18,000/ kwa kipindi kile...
 
changamoto kubwa ya Honda bikes ni kuwa ni kick starter,wateja wengi wanalalamika sana kipindi nikiwa Sales Executive wa Quality motors ltd ARUSHA branch 2013-2015 nilikumbana naye pia spea ghali mno,mfano dash board ya honda ace 125 ni tsh 140,000/= wakati ya toyo ni tsh 18,000/ kwa kipindi kile...
mkuu mbona honda za electric starter zipo kitambo tunauza toka mwaka jana na sasa bei imeshuka hadi 2,500,000 kwa honda za starter. spea za honda zipo za bei ya chini na kwasasa hadi wachina wamefyatua spea za honda zipo nyingi kariakoo.
 
OFA OFA KWA BEI MPYA ZA HONDA MNIPIGIE SIMU 0689-866100 AU 0717518359. WAHI SASA KABLA HAZIJAISHA MWEZI HUU
 
Back
Top Bottom