Pikipiki za honda zinauzwa

jokielias

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,203
359
ok jamani wadau natangaza, kampuni ya quality motors ltd ambayo ndio walikuwa magent wa pikipiki za honda Tanzania, wamesimama kibiashara mwaka 2019. pikipiki za honda hazipatikani sokoni kwasasa mpaka pale agent mpya atakapopatikana. nimejaribu kudelete hii posti kitambo lakini nashindwa. naomba mdau anayejua kudelete post anipe maelekezo hapa ili niweze kuondoa hii post. yaani napigiwa simu sana na wadau kutoka sehemu mbali mbali wanataka pikipiki lakini sasa sina cha kuwasaidia kwasababu pikipiki za honda hakuna kwasasa.

maelezo ya hapo chini ni posti ya zamani toka 2016.

Habari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki Toleo mpya za Honda kutoka Quality Motors ltd. kwasasa nimehamia ofisi zetu za tazara, Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom yetu ya tazara, Dar. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu. Kwa wadau wa mikoani tunawasafirishia mizigo.

Aina za matoleo ya Honda ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;

1. Honda CG 110-Bei mil.1.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.(Zimeisha)
2. Honda Ace 125 CBD- Bei ni mil. 3.2 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda Ace 125 CB- Bei ni mil. 3.2 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda Ace 125 CBD Toleo la Zamani. Bei Mil 3.0 usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil. 3.2 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda XL 125-Bei ni mil.8.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka. (zimeisha)

kwa mawasiliano zaidi, piga simu 0717518359. 0689866100 au fika ofisi zetu za tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Barua pepe- jonelias6@gmail.com

Honda Spare parts zipo tunauza hapo hapo ofisini. Karibuni wateja wetu.
 

Attachments

  • WP_20160118_007.jpg
    WP_20160118_007.jpg
    103.2 KB · Views: 1,728
  • WP_20160108_12_34_10_Pro.jpg
    WP_20160108_12_34_10_Pro.jpg
    130.3 KB · Views: 1,555
  • WP_20160118_003.jpg
    WP_20160118_003.jpg
    101.9 KB · Views: 1,757
je kama nahitaji aina ya fekon au sulg mnaweza kuwa nazo hizo na bei gani?
sisi ni wakala wa piki piki za Honda tu. Kama unahitaji piki piki ya fekon nenda kampuni ya fekon ofisi zao zipo kariakoo ,kituo cha bakhressa. Piki piki za sunlg wanasambaza kishen enterprises ofisi zao zipo buguruni mwananchi au nenda kwa mawakala wao wapo wengi kariakoo na mnazimmoja.
 
Hiyo inayouzwa being ya VITZ 3.4 ML ina nini la pekee! Hebu tupia kapicha kake tuione
mkuu picha hizo hapo nimekutumia. Bei yake ni kubwa kutokana na quality yake na ubora wake ni mkubwa pamoja na uwezo wa kutembea bara bara zote za rough road na uwezo wa kubeba mizigo mizito. wadau wanaoifahamu wanaita piki piki ya shamba. Engine yake tu ni mkataba wa miaka 5 na zaidi. Bei yake mbona sio ya kutisha.
Hivi unafahamu kwamba kuna piki piki za Honda za miliion saba mpaka million kumi na tano. Nenda vile vile kampuni ya Yamaha kaulize Bei za piki piki zao.
 

Attachments

  • WP_20160118_003.jpg
    WP_20160118_003.jpg
    101.9 KB · Views: 1,372
  • WP_20160118_004.jpg
    WP_20160118_004.jpg
    101 KB · Views: 1,460
  • WP_20160118_005.jpg
    WP_20160118_005.jpg
    100.3 KB · Views: 1,321
Niko Shamba huku 3g ni tatizo ivyo sijaona picha . Napenda nijue iyo ya 3.4ml inauwezo kwa kutembea Dar to Songea Direct pasipo lazimika kupumzika? Na ni stater au kiki?
Honda TUF 125 ni kickstarter. kwa Piki piki ya Honda yenye engine ya 125 cc inauwezo wa kutembea mpaka KM 160 au mpaka KM 220 bila kupumzika. zaidi ya hapo utachemsha na kuunguza engine . Honda za engine kubwa kama 200cc mpaka 250 cc hizo zinaweza kutembea umbali mrefu zaidi ya hapo.
Dar mpaka Songea ni umbali wa KM 1000. kwa piki piki ya 125 cc haitaweza safari hio. ni bora upakize piki piki kwenye lori usafirishe ipelekwe huko. Sidhani kama kuna dereva ambaye atakubali kuendesha umbali mrefu wa KM 1000 na piki piki.
kama picha nilizotuma hujaziona basi nipe namba yako ya whatsapp nikutumie. Asante.
 
Tuna stock mpya ya Honda Ace CB 125 zimerudi. Bei ni Mil 2.8 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima. Tazama picha yake hapa. kwa wale wadau waliokuwa wanazitafuta, waje showroom yetu ya tazara au piga simu 0717-518359.
 

Attachments

  • ACE CB125 01 (5).jpg
    ACE CB125 01 (5).jpg
    24.3 KB · Views: 1,341
Nina Honda nx250 nishawahi kui post humu kuwa naiuza Mashine hiyo nliinunua Denmark IPO mpaka sahvi ...bado naiuza ntafutie mteja
 
Back
Top Bottom