- Thread starter
- #501
natafuta spareHabari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki Toleo mpya za Honda kutoka Quality Motors ltd. kwasasa nimehamia ofisi zetu za tazara, Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom yetu ya tazara, Dar. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu. Kwa wadau wa mikoani tunawasafirishia mizigo.
Aina za matoleo ya Honda ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;
1. Honda CG 110-Bei mil.1.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.(Zimeisha)
2. Honda Ace 125 CBD- Bei ni mil. 3.2 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda Ace 125 CB- Bei ni mil. 3.2 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda Ace 125 CBD Toleo la Zamani. Bei Mil 3.0 usajili na warranty ya mwaka.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil. 3.2 pamoja na usajili na warranty ya mwaka.
4. Honda XL 125-Bei ni mil.8.7 pamoja na usajili na warranty ya mwaka. (zimeisha)
kwa mawasiliano zaidi, piga simu 0717518359. 0689866100 au fika ofisi zetu za tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Barua pepe- jonelias6@gmail.com
Honda Spare parts zipo tunauza hapo hapo ofisini. Karibuni wateja wetu.
piga simu kwa wauzaji wetu wa spea namba hizi hapa- 0653-516681 na 0658-074755.natafuta spare
ok thank youpiga simu kwa wauzaji wetu wa spea namba hizi hapa- 0653-516681 na 0658-074755.
Nimependa maelezo ya umbali unaofaa kutembea kwa uwezo wa 125CC, je 250CC naweza kwenda km ngapi pasipo kupumzika?Honda TUF 125 ni kickstarter. kwa Piki piki ya Honda yenye engine ya 125 cc inauwezo wa kutembea mpaka KM 160 au mpaka KM 220 bila kupumzika. zaidi ya hapo utachemsha na kuunguza engine . Honda za engine kubwa kama 200cc mpaka 250 cc hizo zinaweza kutembea umbali mrefu zaidi ya hapo.
Dar mpaka Songea ni umbali wa KM 1000. kwa piki piki ya 125 cc haitaweza safari hio. ni bora upakize piki piki kwenye lori usafirishe ipelekwe huko. Sidhani kama kuna dereva ambaye atakubali kuendesha umbali mrefu wa KM 1000 na piki piki.
kama picha nilizotuma hujaziona basi nipe namba yako ya whatsapp nikutumie. Asante.
Mhm! Ki vipi mkuu? Ya kichina ni bora sana kuliko ya kijapani?! Jambo jipya hili! Naomba maelezo ya ziada mkuuHizo xl za kijapani nazifahamu ni fake ( I mean hazimalizi safari ) yaani ukitembea km 200 zinataka upumzike masaa 3! Ivyo ni tofauti na hizo za kichina ambazo zenyewe in mwendo mdumbo no kupumzika
kwa makadirio ya honda 250CC inaenda km 600 hadi km 700 bila kupumzika.Nimependa maelezo ya umbali unaofaa kutembea kwa uwezo wa 125CC, je 250CC naweza kwenda km ngapi pasipo kupumzika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kaka.kwa makadirio ya honda 250CC inaenda km 600 hadi km 700 bila kupumzika.
poa mkuuAsante sana kaka.
bei gani hii chombo!
bei gani hii chombo!