mr. loner
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 168
- 229
Bado zipo ama zimeshaisha?OFA OFA KWA BEI MPYA ZA HONDA MNIPIGIE SIMU 0689-866100 AU 0717518359. WAHI SASA KABLA HAZIJAISHA MWEZI HUU
Bado zipo ama zimeshaisha?OFA OFA KWA BEI MPYA ZA HONDA MNIPIGIE SIMU 0689-866100 AU 0717518359. WAHI SASA KABLA HAZIJAISHA MWEZI HUU
Kuna namba hapo, mpigie..Bado zipo ama zimeshaisha?
Hii CB110 inatumia km kwa lita?
Sorry kuingilia uzi ila kuna honda 250cc used toka japan inauzwa 3.8milNiko Shamba huku 3g ni tatizo ivyo sijaona picha . Napenda nijue iyo ya 3.4ml inauwezo kwa kutembea Dar to Songea Direct pasipo lazimika kupumzika? Na ni stater au kiki?
Kuna honda 250cc,speed 160,starter only used toka japan bei 3.8mil0717285186 ni namba yangu lkn pia kama una Honda hizo za CC 200 au 250 nitumie picha zake na being pia nishauri vyema na upatikanaji wa spea zake
Mkuu Nna pikipiki yangu ya miguu mitatu....used Toka Denmark ntumie namba yako ya whatsap nkutumie najua Una connection na wazungu hyo itawafaaa si unajua wao ni watu wa kujiachia.....Hizo Zimeshaisha bosi kitambo na kiwanda hakitengenezi tena toka mwaka jana. Umechelewa mkuu.
Asante kwa jibu zuri, ila nazionaona mtaani japo ni chache zinazomilikiwa na makampuni. Unaweza niambia zinatumia km ngapi kwa lita? AsanteHizo Zimeshaisha bosi kitambo na kiwanda hakitengenezi tena toka mwaka jana. Umechelewa mkuu.
Ipo wapi hiyo kiongozi?Sorry kuingilia uzi ila kuna honda 250cc used toka japan inauzwa 3.8mil
Dar mkuuIpo wapi hiyo kiongozi?
Unapatikana wapi?Kuna honda 250cc,speed 160,starter only used toka japan bei 3.8mil
Maeneo gani kiongozi nami pia nipo DarDar mkuu
Dar mkuuUnapatikana wapi?
Kiluvya mkuu!Maeneo gani kiongozi nami pia nipo Dar
Mimi nipo kimara, basi tutawasiliana nami niione chombo nijiridhishe mkuu ila nikiona japo hata picha si mbaya kwa kuanzia tuKiluvya mkuu!
Karibu sana mkuuView attachment 778136Mimi nipo kimara, basi tutawasiliana nami niione chombo nijiridhishe mkuu ila nikiona japo hata picha si mbaya kwa kuanzia tu
Hii honda ni model gani? Nilidhani ni xrl, hii inaonekana inakimnia sana ila ni ya kimjini mjini zaidi ama sivyo? Ni model gani hii kiongozi?Karibu sana mkuuView attachment 778136View attachment 778138
Vt250 supersportHii honda ni model gani? Nilidhani ni xrl, hii inaonekana inakimnia sana ila ni ya kimjini mjini zaidi ama sivyo? Ni model gani hii kiongozi?
Hizi hakuna mkuu ipo ya miguu mitatu 200cc250cc XLR ngapi mnauza