Tulikuwa nazo Honda CT 200 na Honda Xl 250 lakini hazipo sasa kwenye stock zimeisha kitambo. Tunasubiri stock mpya.Honda XL 250 mnauzaje? Au zaid ya xl mna honda 250 aina gani na bei?
xrl hamna ila kuna xl 125l zipo zimebaki chache kwenye stockxrl vipi jamaa mnazo?
Haya mapikipiki shenzy kabisa, HONDA ACE 125 TUF, Sitaki hata kuyaona, moja lilishanigaragaza Mwanza pale nyegezi nimetoka town naelekea buhongwa,mkuu picha hizo hapo nimekutumia. Bei yake ni kubwa kutokana na quality yake na ubora wake ni mkubwa pamoja na uwezo wa kutembea bara bara zote za rough road na uwezo wa kubeba mizigo mizito. wadau wanaoifahamu wanaita piki piki ya shamba. Engine yake tu ni mkataba wa miaka 5 na zaidi. Bei yake mbona sio ya kutisha.
Hivi unafahamu kwamba kuna piki piki za Honda za miliion saba mpaka million kumi na tano. Nenda vile vile kampuni ya Yamaha kaulize Bei za piki piki zao.
nimekutumia namba za simu kwenye pm yako.Naomba kujuzwa bei ya shaft ya XL 125
kweli wewe division5,kwa akili yako ya kamasi unaona wingi wa bidhaa fulani ndio ubora wake,hivi simu ya techno na iPhone ipi ni simu bora zaidi?
Lakini tunazo Honda Cg 110 bei milliion 1.9 picha yake ipo hapo juu. zipo bara barani zinaonekana nyingi tu na wapo madereva wa boda boda wanazitumia nafikiri promotion haijawafikia watu wengi vizuri.Niliwahi muuliza dereva wa boda boda kwanini hamnunui Honda akasema zile bei ghali sana ila zinadumu sana
Kwa biashara hazifai kwani hela yako kuirudisha itachukua muda sana ila kwa matumizi binafsi ni mkataba
Kama zile za Mangi unakuta zimebeba mzigo ila zinatembea tu 110
Cg 110 ni ipi kati ya hizo picha?Habari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki za Honda kutoka Quality Motors ltd. Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom ya Msasani karibu na Hospitali CCBRT, Msasani. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu.
Aina za piki piki ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;
1. Honda CG 110 - Bei ni mil.1.9 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.
2. Honda Ace 125 cbd- Bei ni mil. 2.8 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil.3.4 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.
kwa mawasiliano zaidi fika showroom yetu ya Honda, Eneo la Msasani. Au piga simu 0717 518359. Barua pepe- jonelias6@gmail.com
Honda Spare parts zipo tunauza hapo hapo ofisini. Karibuni wateja wetu.
Honda CT 110 mpya zipo tunazo chache zilizobaki stock. Bei ni million 7.3.
NDIO kampuni yetu inaagiza kutoka kampuni ya honda ya Japan. Zilikuwepo Honda baja 250, honda xlr 200, Honda cbr 250, Honda xl 125S. hizi zote zilikuwepo zinauzwa miaka ya nyuma.Hizo Honda ni kampuni moja na Zile 250 za zamani za Japan?
sawa ntakutumia utazipata.
nimekutumia message kwenye PM.Mie nahitaji Honda Dio 60cc,naweza kupata?
Kwa kiasi gani hasa?