POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli?

HECHEKITIMA.JAN08.2026.jpg
i​
 
Tunachokijua
Kumekuwapo na picha inayosambazwa mtandaoni ikiambatana na taarifa inayoeleza kuwa January 6, 2026 padre Charles Kitima katibu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) alikutana na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) John Heche na walifanya mazungumzo yaliyoanza saa 5:05 asubuhi na kumalizika saa 7:17 mchana.

Aidha taarifa hiyo iliongeza kuwa katika kikao hicho, John Heche alimpa mrejesho wa mipango ya CHADEMA kwa mwaka 2026, kubwa zaidi likiwa maombi ya fedha yaliyowasilishwa na John Mnyika na Amani Golugwa kwa lengo la kutekeleza mikakati yao ya mwaka huu.

Je, ni upi uhalisia wa picha na taarifa hiyo?

JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hiyo si halisi.

Aidha kwa kutumia nyenzo za kidigitali imebainika kuwa picha hiyo haijarekodiwa kwa camera bali imetengenezwa kwa kutumia programu ya kuhariri Picha inayoitwa Photoshop.

Kadhalika picha imebainika kuwa na viashiria vya Akili unde hasa katika eneo la uso jambo linaloonesha kuhusika kwa teknolojia ya Akili unde kutengeneza picha husika.
screenshot-2026-01-08-162445-png.3527114
screenshot-2026-01-08-162404-png.3527116

screenshot-2026-01-08-162108-png.3527118

John Heche makamu mwenyekiti CHADEMA alitafutwa kuzungumzia picha na taarifa hiyo amesema:

Kwanza si kweli kwamba hiyo picha imepigwa jana (Januari 7, 2026), kwa kuwa mimi sipo Dar es Salaam na sijaonana na Padre Kitima muda mrefu, nadhani tangu ashambuliwe nilionana naye mara moja tu kumpa pole.

Pia, mimi kukutana na Kitima hata kama ingekuwa kweli tumekutana kuna tatizo gani kwani? Huyo ni Mwalimu wangu, amenifundisha, hivyo kukutana naye na kuzungumza naye wala siyo tatizo na nimeshakutana naye mara nyingi tu.

Kuhusu hiyo picha kama ni halisi au la kwa kweli sikumbuki, kama ni picha halisi basi ina takribani miaka 10, kama sijakosea ilipigwa nilipokuwa nimeshinda Ubunge au nilienda kumtembelea, nasema hivyo sababu nimekutana mara kadhaa na Padre Kitima katika mazingira ya kukaa na kunywa chai.”

Akaendelea “Hata ukitazama uso wangu wa sasa na huo unaoonekana kwenye picha kuna utofauti, haupo hivyo. Kwa hiyo sikumbuki kama ni picha ya kweli au imetengenezwa.”​
Asante kwa taarifa JamiiCheck .ila nina swali unawezaje kutambua picha ambayo imehaririwa au kutengenezwa kupitia photoshop
Habari mkuu! Kama una picha au video halisi kutoka chanzo cha awali, unaweza kuangalia taarifa zilizofichwa (metadata).

Unaweza kubaini picha iliyotengenezwa au kuhaririwa kwa 'Photoshop' kupitia uchambuzi wa metadata. Metadata wakati mwingine inaweza kuonesha kama programu za kitaalamu za uhariri zilitumika.
 
Siku hizi watu wazuiliwa kukutana? Ina maana mpaka wapate kibali kutoka kwa Rais? Tumekuwa taifa la kipumbavu!
 
Habari mkuu! Kama una picha au video halisi kutoka chanzo cha awali, unaweza kuangalia taarifa zilizofichwa (metadata).

Unaweza kubaini picha iliyotengenezwa au kuhaririwa kwa 'Photoshop' kupitia uchambuzi wa metadata. Metadata wakati mwingine inaweza kuonesha kama programu za kitaalamu za uhariri zilitumika.
Nashukuru Kwa Maelezo Na Ufafanuzi
 
Siku ya juzi January 6, 2026 PADRI CHARLES KITIMA alikutana na JOHN WEGESA HECHE na walifanya mazungumzo yaliyoanza saa 5:05 asubuhi na kumalizika saa 7:17 mchana.

Katika kikao hicho, JOHN HECHE alimpa mrejesho wa mipango ya CHADEMA kwa mwaka 2026, Kubwa zaidi likiwa maombi ya fedha yaliyowasilishwa na JOHN MNYIKA na AMANI GOLUGWA kwa lengo la kutekeleza mikakati yao ya mwaka huu.

HECHE amemuhakikishia PADRI KITIMA kuwa mpango wao wa kununua misiba ya wana TARIME pamoja na maandalizi ya maandamano ya wakatoliki inatekelezwa kwa ufasaha na kwamba kuingia kwa DKT. SLAA kwenye Kamati yao ya ushauri ndani ya CHADEMA kama kivuli cha Baraza la Maaskofu kutazaa matokeo chanya hasa kwa vile DKT. SLAA ana uwezo mkubwa wa kushawishi kwa maoni ya JOHN HECHE.

Pia HECHE alimshauri KITIMA watumie mvutano uliopo baina ya BAKWATA na SHURA YA MAIMAMU kujipenyeza ndani ya Dini ya Uislamu hasa ikiwa atakuwa tayari kutoa kiasi cha fedha ambacho SHEIKH ISSA PONDA amekiomba kwa ajili ya kutekeleza kazi zake. hata hivyo hakikuweza kubainishwa ni kiasi gani kimeombwa na SHEIKH PONDA.

katika kuonyesha kuwa ameridhika na taarifa aliyoipata kutoka kwa JOHN HECHE, Jana hiyo hiyo, PADRI KITIMA alitoa Kiasi Kikubwa cha fedha ambacho hata hivyo hakikubainika ni kiasi gani lakini inakadiriwa kuwa ni zaidi ya milioni 100 za kitanzania.

Aidha, PADRI KITIMA amemuhakikishia JOHN HECHE kuwa yupo serious na mipango yote hiyo na amemtaka aisimamie kwa umakini mkubwa ili isije kufeli wakaumbuka.

Baada ya hapo wakafunga kikao chao, msaidizi wa PADRI KITIMA akalipa Bili, kisha HECHE akatangulia kuelekea katika gari lake, na baadae PADRI KITIMA na msaidizi wake wakaondoka pia.

Maswali ya kujiuliza ni haya?
1. Kwanini PADRI KITIMA amekuwa akikutana na Viongozi wa CHADEMA kwa siri na kuwapatia Fedha. Je Fedha hizo zinatoka katika chanzo kipi cha Mapato?

2. Huu mikakati inayopangwa kutekelezwa ina malengo gani juu ya usalama wa nchi yetu?

3. Ni kikao kipi cha Kanisa kilikaa na kupitisha mkakati huu wa PADRI KITIMA kumkabidhi Fedha JOHN HECHE tena kikiwa ni kiasi kikubwa cha fedha?

Taarifa hii inanisikitisha sana hasa baada ya kuona mtu mmoja anayeaminika na Kanisa anatoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo bila shaka zinaweza kuwa ni sadaka zetu waumini zinakwenda kutumika kufanyia Uhaini, utapeli wa kisiasa na kutafuta madaraka kwa manufaa binafsi!. Mimi nadhani ifike mahali kama Baraza la Maaskofu linataka kuwa chama cha siasa, lijisajili kwa sheria zetu za nchi.

NB: Naomba niweke sawa kuwa taarifa hii haina lengo la kumchafua mtu fulani. Ila ina lengo la kurekebisha mwenendo wa kanisa letu.
kwa sababu kama muumini ninapata maumivu makali, yanayonifanya nijiulize kwanini Kanisa litumike kwa maslahi ya watu wachache kama PADRI KITIMA?
 
Attachments

  • IMG_4995.jpeg
    IMG_4995.jpeg
    160.9 KB · Views: 11

Kuna waliochafua nchi...siyo serikali tu zaidi ya huyo mama mwenye kichwa kama chupaki...yaani kichwa kama cha mbuzi? Wewe unaona kuua watu si kuchafua nchi?
 
Rubbish hata kwa mbolea haifai
 
hapa samia akipanga mipango gani ya siri dhidi ya uislam na serikali?

Mtoa mada ni takataka, utasombwa sio muda ukatupwe.
 
Attachments

  • downloadfile-11.jpg
    downloadfile-11.jpg
    35.2 KB · Views: 7
Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli?

yaani hapo kuna mtu atakulipa mapesa kibao kwa kuandika huu UJINGA?
MWIGULU NA KITIMA WALIPOKUTANA ULIKUWEPO? WALIKUTANA KUPANGA NINI NAO?
kwahiyo ni sawa PM kukutana na Kitima ila ni haram kitima kukutana na HECHE?
UKIWA MWANA CCM AUTOMATICALY UNAKUWA MJINGA NA MPUUZI KWA PAMOJA
JINGA KABISA WEWE
 
Mashambulizi yanazidi kuelekezwa kwa kasisi Dr kitima, baada ya majuzi 'waumini' wakatoliki kwenda kushitaki ubalozi wa Vatican hapa nchini kwamba kasisi huyo amegeukia siasa na kusahau kuhubiri neno la Bwana, video imeibuka ya sheikh mwaipopo akidai kasisi huyo alikutana na mwanasiasa wa chadema,heche na kumkabidhi kitita cha TSH 100m

Mwaipopo anaendelea kwa kudai kuwa heche alimtaka kasisi kuhakikisha linapatikana fungu pia kwa ajili ya sheikh ponda Ili kuweza kulimega kundi kubwa la waislam toka BAKWATA
 
Attachments

  • Screenshot_2026-01-09-16-00-12-924.jpg
    Screenshot_2026-01-09-16-00-12-924.jpg
    98.8 KB · Views: 14
  • IMG_20260109_152422.jpg
    IMG_20260109_152422.jpg
    156.6 KB · Views: 11
Back
Top Bottom