sheikh mwaipopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Hata mimi ningekuwa serikali ningewaita magaidi wenye mipango miovu kwa Nchi

    Sheikh Saidi Mwaipopo akizungumza na waandishi wa habari Agosti 03, 2026. Amekemea mipango miovu inayopangwa na baadhi ya watu kutekeleza miundombinu ya nchi, vitisho dhidi yake pamoja na tabia ambazo amezitambua kama ugaidi. "Gaidi wazungu wanamuita terrorist terrorist ni tishio unatishia watu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo akizeeka atahadithia wajukuu zake yeye ndiye mwanaume pekee aliyezuia maandamano ya 7/7

    Hamjambo! Mimi nawajua waafrika wengi wakizeeka stori zao. Kamba nyingi sana. Kama namwona Mwaipopo akiwa mzee amekaa na wajukuu zake na watoto wa mtaani kwake akiwahadithia enzi zake. Zaidi ni kuwa zama hizo atatumia ushahidi wa video zilizopo mtandaoni jinsi alivyoongoza kikosi cha sijui...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Mwaipopo

    Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Mwaipopo. Kwanza napenda kukusalimu kwa heshima na upendo wa Kiislamu. Nakuandikia barua hii si kwa chuki wala nia ya kukushusha hadhi, bali kwa sababu katika Uislamu wetu tunafundishwa kukumbushana katika haki na mema. Sheikh, historia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tibaijuka punguza uanaharakati wa kujifanya kama sio msomi, Lissu hakuonewa anavuna alichopanda

    Sheikh Said Mwaipopo kupitia Mwaipopo TV chapisho la Julai 14, 2026, amemvaa Professor Anna Tibaijuka baada ya kuchapisha tamko kupitia Mtandao wa X akimtaka Rais Samia kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. Sheikh Mwaipopo amemtaka Professor...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Zitto Kabwe una Masters umeshindwa na mtu mmoja mdogo tena standard seven failure

    "Jambo lingine kuonekana kweli wewe ni mtu wa ajabu wa ovyo sana tu. Ungejifikiri tu. Zitto Kabwe uliingia kwenye uchaguzi, wewe una masters, yaani una digrii mbili, umeshindwa na mtu mmoja mdogo, darasa la saba tu, tena standard seven failures. Darasa la saba Baba Levo amekutoa kamasi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Zitto wewe ni nani katika nchi hii kumtaka Rais amwachie Lissu, huijui sheria?

    "Jambo la pili, kaka yangu Zitto Zuberi Kabwe, jifunzeni hata namna ya kuzungumza. Wewe ni mtu mdogo sana katika nchi hii. Huwezi ukamwambia Rais "tunataka umwachie Lissu. Wewe unamwambia Rais amwachie Lissu, wewe ni nani katika nchi? Wewe kama nani? Hili jambo la Lissu liko mahakamani. Kama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Zitto anahoji kwanini sijakamatwa, wakati kazi yangu ilikuwa kupooza vurugu. Sikuunda kundi la ugaidi

    "Zitto Kabwe ameomba na kumtaka rais, na kumshangaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba, unasema hakuna aliye juu ya sheria mbona mzee wa watu hakamatwi? Ina maana yuko juu ya sheria. Hili jambo nataka nilitolee ufafanuzi na naomba watanzania mnisikilize kwa makini. Hii kitu...
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mchange, Yona wa Chalinze au Sheikh Mwaipopo, ningejifunza kwa Musiba!

    Asiyejua alikotoka, hakika hawezi jua anakoenda! Moja ya urithi ambao awamu ya tano ilituachia ni somo la hatma ya aliyekuwa akijitambulisha kuwa mwanaharakati binafsi wa Rais Magufuli, ndugu Musiba. Nani hakumjua Musiba enzi za JPM? Musiba kwa matendo na maneno yake, ni kama alikuwa ndiye...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh

    Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri. Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Sheikh Mwaipopo amepanga kuwang'oa watu meno bila ganzi na hajakamatwa

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika; "Yaani, MUNGU ainusuru nchi yetu. Maana, bila MSAADA wake, SHEHE SAIDI MWAIPOPO nae amepanga KUWANG’OA WATU MENO BILA GANZI, na mpaka muda huu HAJAKAMATWA" Soma pia PostGE2025 - Sheikh Mwaipopo: Waliopanga kuandamana...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

    Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
  12. M

    JamiiForums Tanzania The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul

    Dar es Salaam - 5 July 2026 In the crowded stalls of Kariakoo and the quiet compounds of Mwanza, Tanzanians are counting down to July 7 in whispers. Saba Saba (the date that once commemorated the founding of the nationalist movement that gave birth to this country) has, this year, become a...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao

    Shekh Mwaipopo amesema kutakuwa na kikundi kinachoitwa "Chui Weusi", ambacho kitakuwa mstari wa mbele (frontline) katika kukabiliana na waandamanaji pamoja na wahalifu siku ya Julai 7. Leo tunacho kikundi cha hatari sana hawa wanaita ni tiger chui weusi... watakaokuwa frontline kupambana na...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kupitia Sheikh Mwaipopo na Kikundi chake , US na EU kuitambua Serikali ya CCM kua yenye kufadhili Makundi ya Kigaidi na uisilam misimamo Mkali !!

    Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??. Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??. Mwigulu huna akili hata kidogo kweli?? Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Maandamano ya 7 Julai hayo si maandamano bali ni uasi, vurugu na ujambazi

    Huyu Jamaa amekuwa anazungumza vitu kwa kutishia amani za watu na vyombo vya dola vipo kimya kabisa! Inaonyesha anapewa nguvu na watu wa juu katika serikali. Ila watambue kuna mwisho wa haya yote ============= Shekhe Mwaipopo anafafanua kuwa kikosi hiki si cha uhalifu bali ni kundi la kujilinda...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini John heche hajatoa pole kifo cha dereva wake?

    Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kauli za Sheikh Mwaipopo; athari zake kwa jamii, ukimya wa polisi na fundisho la Rwanda 1994

    Mjadala mkali unaoendelea hivi sasa nchini Tanzania unamhusu kiongozi wa dini, Sheikh Said Mwaipopo, ambaye ananyoshewa vidole na wananchi wengi, wanaharakati, na wachambuzi wakiamini anatumika kama chombo cha ukandamizaji dhidi ya sauti mbadala. Katika siku za hivi karibuni, kiongozi huyu...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania KAULI ZA SHEIKH MWAIPOPO: ATHARI ZAKE KWA JAMII, UKIMYA WA POLISI NA FUNDISHO LA RWANDA 1994

    Mjadala mkali unaoendelea hivi sasa nchini Tanzania unamhusu kiongozi wa dini, Sheikh Said Mwaipopo, ambaye ananyoshewa vidole na wananchi wengi, wanaharakati, na wachambuzi wakiamini anatumika kama chombo cha ukandamizaji dhidi ya sauti mbadala. Katika siku za hivi karibuni, kiongozi huyu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM huwa tunakaa kimya wakati kuna mtu anatuharibia na kusababishwa kueleweka vibaya maana sisi ndiyo tunaongoza serikali?

    Sheikh Mwaipopo: Tuna kundi la vijana 38,000 wanaojiita Mbwa Mwitu. Ukiandamana Sabasaba wanapita na maini yako kwa kauli hii je ulimwengu unapaswa kujua kuwa huyu ndiye mfadhili wa watekaji waliyomteka POLEPOLE NA KUMPIGA TUNDU LISSU risasi 38? inawezekanaje mtu anajisifia kuwa anakundi la...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: We have 38,000 "Wild Dog" Squad filled with youths deployed for SabaSaba demonstrations

    Sheikh Saidi Mwaipopo, has issued a stern warning to what he described as criminals and announced the deployment of a 38,000-strong youth squad across various regions in Tanzania. Speaking while surrounded by some of the youths, the leader noted that their force has already been deployed and...
Back
Top Bottom