PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
I have to be honest, i expected more people

Hapo naona zaidi akina mama na watoto

Something is wrong, yawezekana Kigoma wameshachoka na siasa rasmi; They are tired of burying potential politicians sababu ya usaliti unaojirudia... ITS LIKE A CURSE

Wasubiri tu kugeuzwa Dubai
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia

Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Haahaaa! Nimeipenda hii. Halafu unajua hata mwizi akifanikiwa kuwachomoka Police akirudi kwenye Camp yake anaonekana shujaa, tena anaweza kupata cheo. Ndio maana hata uchagani wanaporudi kwao December kutoa taarifa za mapato hasa ya wizi HUONEKANA SHUJAA hata kama umeiba kanisani
 
Ha ha mnafiki anarudi ile ishu ya pesa za uswizi limeishia wapi
 
Nadhani kwa mara ya kwanza watu watasombwa kwa magari kwenye mkutano wa mbunge wa CHADEMA. Mh. Zitto CCM si watu wa kuwaamini, jifunze toka kwa waliokutangulia kuhamia CCM toka CHADEMA.
 
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?

Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.


Ha ha haaaa siasa zitawaua nyie!!!!!!

Yaaani yote haya kwa mtu kwenda kwao tu?????!!!!!!
 
Kua uyaone.. .yaani leo ccm wanaungana kumtetea Zit to?????!!!!haya kila la heri ila mkishindwa kubalini matokeo na mrudi kijijini maana hatokuwepo wa kuwalipa tena kwa ujinga huu

Wewe nawe, mbona CHADEMA walipoungana na AG kumsulubu ZZK hukuona. Huo nao ni ukilaza
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.
Huu ndio utoto wa fikra, kufikiri ki-mihemko kuliko facts, vijana mtakomaa lini? Mnasumbuliwa na mihemko ya kikekike tu. Get matured.
 
"Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia"

Hilo limenikera!!, basi hata Slaa alipoenda Kigoma watu walikodishwa pia, who cares hata watu wakikodishwa?
 
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?

Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.

Zitto ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, anaenda jimboni kwake! Kwani ile safari ya Dr. Slaa ilikuwa na maslahi gani kwa Chama?
 
Hivi kweli mtu na akili zako timamu, unasema mtu binafsi (nina maana yeyote yule - ila hapa umemtaja Zitto) anazidi institution iliyo na wanachama mamilioni, unamaanisha nini haswa

Ushabiki unakubalika, lakini ongea kitu kinachomake sense angalau kidogo hata kwa nafsi yako. Hivi unapoandika
Zitto ni zaidi ya Chadema, unachotaka kuachieve haswa ni nini ? Kwamba kuna watu watasoma hiyo statement yako halafu watakuwa convinced au hata sielewi unamlenga nani haswa !

Wewe mwenyewe haumini hiyo statement kama ukiwa mkweli kwa nafsi yako, sasa unaandika ili iweje ? Jamani kama mnafanya propaganda angalau hizo propaganda ziwe basi zimekwenda hata shule kidogo tu (angalau zifike darasa la saba)......Hizi sidhani hata darasa la nne zimefika !
Unahangaika na huyo mburula hajui A wala Z.
 
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.

Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.

Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.
Akimaliza Kigoma, nae akafanye mwingine Arusha, Mwanza na Mbeya ili upime vizuri. Ukipevuka utafikiri tofauti.
 
usiwe unaongea kama umejinyea sasa unatype vitu harakaharaka kwa kuogopa nzi wanakusumbua ..Zitto pimbi tu chadema ..nyie mnayemuona ni bora si mumchukue na uwaziri mumpe ..maana jana misukule yenu mi 4 imetawanyika
Bavicha umeishakunywa gongo lako unaropoka tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom