PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Wabeba mabango kama kawaida yao kuficha sura...mmewakodisha wapi hawa akina mama? Kwa nini mtumie dhiki zao kuwalaghai?
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

Hivi wewe ndiye kale kajamaa kafupi nyundo wanakosema ni ka JK?
 
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.

Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu
zako halafu akae kimya.

Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.

Well said kaka
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia

Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Yawezekana ikawa safari yake ya mwisho
 
Hahaaaah maCCM akili zao huniacha hoi, kweli wanatumia raslimali za chama chao kuandaa mkutanovwa Zitto.
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia

Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Mkuu pole na kazi.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Zitto bado ni mwanachadema nini knawafurahisha CCM kwa mwanachadema kupokelewa vizuri jimboni wake?
 
Kamanda Tema Mate mwaga mapicha watu tuchochee kuni.
 
Last edited by a moderator:
hivi hao wakina mama wameyaandika hayo mabango wenyewe,au wamebebeshwa tu?
Inaonyesha jamaa unatokea kijijini sana. Na kijijini kwenu hamna anaejua kusoma wala kuandika, laiti kijijini kwenu wangekuwepo wasomi wengi usingeshangaa mabango hayo kuandikwa na hao akina mama wenyewe.
 
Kweli mkuu hapo ni airport kigoma masalia leo kazi mnayo.
Yeah hapo ni airport ila naona hapajazizima km anavyosema mleta mada, huo uwanja nimeutumia mara nyingi naufahamu, ila najiuliza-tu kuwa wanaandaji na lengo lao, kila la-heri kuwatumikia wananchi.
 
Nadhani busara ni muhimu sana na mtu anatakiwa aombe busara (hekima) na ukipungukiwa na hiki kitu ndipo ule msemo unaosema "aonywae mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla" sasa swali ni hili, anaenda Kigoma kama mbunge, naibu katibu mkuu aliesimamishwa, au mwanachama wa kawaida wa CDM? Au anaenda kumuonyesha Dr. Slaa kuwa yeye ZZK YUKO JUU YA Dr. Slaa? Na kama ni hivyo ili iweje? Mbona anjiharibia kuliko kujijenga? Tuacha ushabiki anachofanya sio sawa wakati huu ambapo tunasubiri kuona utetezi wake. Jamani mshaurini basi naona anatumia nguvu isipopasa.
Ndugu yangu wengine tunaangalia sinema hii itakapoishia,

Angekuwa na busara kama kweli bado anaipenda Chadema asingeonyesha sign yeyote ya kupambana na uongozi hasa kwa kipindi hiki anachosubiri hukumu yake,

Lakini kama ulivyosema acha ashupaze shingo kwa upambe wa muda mfupi.
 
Cha msingi hapa ni kutokufanya jambo kwa ajili ya kumridhisha mtu, ni kufanya jambo kwa ajili ya matakwa yako na jamii kwa ujumla na si kufanya jambo kwa ajili ya kikundi cha watu wachache.
Zitto acheni aende Kigoma, anakwenda kama mbunge na hakuna mwenye uwezi wa kuzuia mbunge kuongea na wapiga kura wake,anaelewa kuwa anamashitaka 11.

Lakini hii haizui yeye kama mbunge kutokujibu hoja zilizosemwa awali ambazo ni za upotoshaji juu yake, atazisema tu maana zilisemwa ktk jimbo lake na yeye anakwenda kuzijibu ktk jimbo lake.maana haiwezekani ukasemee ktk jimbo lake na then umwambie eti unamashitaka 11 na utabidi uyasemehe ktk kikao,mbona wewe umesemea sababu zilizomvua uongozi ktk jimbo lake? Mwacheni tu mbunge aende kuongea na wapiga kura wake na kuweka sawa yale yote yanayoleta sintofahamu juu yake,maana wapiga kura wake wanahitaji kuelewa
 
Ndugu yangu wengine tunaangalia sinema hii itakapoishia,

Angekuwa na busara kama kweli bado anaipenda Chadema asingeonyesha sign yeyote ya kupambana na uongozi hasa kwa kipindi hiki anachosubiri hukumu yake,

Lakini kama ulivyosema acha ashupaze shingo kwa upambe wa muda mfupi.

Hamtaki mtu aende kwao makamanda mbona makubwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom