Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
We umeshalewa!Shujaa wa usaliti na unafiki!!akakae na wanakigoma wake

Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?
Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia
Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake
Kwa viongozi walilofukuzwa, nadhani hakuna atakayevunja rekodi ya mapokezi ya Chenge.Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa hata jambazi ikitokea amekufa lazima watapatikana wa kumlilia.
Ndio imezizima kwa watu hao? Umelipwa sh ngapi?
Ngoja nitazame, mbivu na mbichi kwa Chadema.
Ila Zitto kaishika pabaya sana Chadema.
Mkuu avatar yako inaenana na Kauli mbu ya Slaa kuhalalisha Gongo.Shujaa wa usaliti na unafiki!!akakae na wanakigoma wake
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

mamba ana nguvu kwenye maji...heche
Mkuu,mashudu
Mithali 4:23-Linda moyo wako kuliko chochoteMbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?
Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia
Mithali 4:23-Linda moyo wako kuliko chochote
Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake
Wewe ni kibaraka, utabaki na sumu zako hapo wakati wenzako wanasonga mbele kulitumikia taifa kwa unyenyekevu mkubwaMbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?
Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia
Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake
watu wa KIGOMA ni wanafiki muda si mrefu zito akikosea kuwahutubia kwa jinsi wao vichwani mwao wanavyofikiri basi itakula kwake , mtu aliyejitahidi ku wa keep watu wa kigoma kimawazo ni dk. walid kabourou tu sijui kama zitto watamuelewa , wa kigoma wanataka zitto aseme mbowe , slaa ni watu wabaya na muda si mrefu nitafanya A- Z hapo watamshangilia kweli kweliShujaa wa usaliti na unafiki!!akakae na wanakigoma wake