PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Wabeba mabango kama kawaida yao kuficha sura...mmewakodisha wapi hawa akina mama?kwa nini mtumie dhiki zao kuwalaghai?
Comment zingine zinaonyesha jinsi gani alie Comment alivyo mpuuzi. Ivi kuna mwenye hela anaeweza kuukodi umati woté huu? CDM wenzangu Pamoja na chuki zetu kwa kijana huyu lakini kiualisia hatumuwezi. Zitto nizadi ya Chama.
 
CHADEMA kwanini msikubali tu kuwa Zitto anakubalika kisiasa?

Ukweli haupigiwi kura jamani!
 
Nilikua timu Mbowe &Slaa lakini leo nabadili maamuzi bila kujali Uchaga wangu.
 
Member
Array
Join Date : 24th April 2013
Posts : 25
Rep Power : 340
Likes Received
23
Likes Given
0
Pigo jingine kwa Zitto na team yake.....mkakati wao wavuja.....
Katika hali ya kutafuta jinsi ya kuweza ama kuibomoa ama kutaka kuonyesha kuwa Ana nguvu ndani ya Chadema na haswa kwenye baraza kuu , mambo yafuatayo yameandaliwa na team Zitto kwa kuratibiwa kwa ukatibu sana na watu wa idara kama ifuatavyo;
1. Ni kuwa leo Kigoma , aliyopewa jukumu la kuratibu ziara nzima ni Mwanamama Maria Sarungi, huyu bila Zitto kujua amejikuta anapandikiziwa huyu mama na Chadema makao makuu na amejikuta kuwa kwenye wakati mgumu kwani mipango wanavyofanya yote ina Julikana na mpaka sasa ni kuwa Makao makuu ya Chadema wanafuatilia kila jambo jinsi linavyokwenda. Maria alipopewa jukumu la kuandika hotuba ya Zitto , aliwasiliana na kiongozi mmoja wa makao makuu ya Chadema , na kiongozi huyo ndio aliandika draft ya kwanza na kumpa Maria ili aweze kuiwasilisha kwa Zitto, na ndio itatolewa leo huko Kigoma.
2. Maria na wenzake wameenda mbali kwa kuandaa kinachokatwa Mkakati wa Baraza kuu kwa kuwa na bajeti na kuandaa petition kwa ajili ya kusainiwa na baadhi ya wajumbe wa Baraza kuu kwa hoja kuwa ni ili kushiriki za kuitwa kwa kikao cha Baraza Kuu, waliokuwa katika utekelezaji wakajikuta kwenye wakati mgumu sana kutoka kwa wajumbe , na ndipo walipoamua kuwadanganya wajumbe kuwa fomu hizo za petition zimeandaliwa na Chadema makao makuu, na hivyo zina Baraka zote kuwa ni jambo halali. Kwa mfano leo viongozi wa kusini wameitwa Masasi na aliyepewa jukumu la kuratibu jambo hilo kwa mujibu wa Maria Sarungi ni Chitanda Ali , ila alipoona kuwa hawezi kukubalika kwa wajumbe waliamua kumpa jukumu la mialiko katibu wa Nachingwea ,na kikao cha Masasi kitafanyika leo jumamosi.

3. Zitto, kwa kutokujua amejikuta akifanya mipango yake ambayo inaratibiwa na Makao makuu ya Chadema kwa mkono wanyama , ndio maana hata mpango wa kujaribu kuwafukuza viongozi wa Chadema walioshiriki MAPOKEZI ya Dr.Slaa huko Kigoma , unaelekea kukwama baada ya Makao makuu kuingilia kati, aliyepewa jukumu hilo la kuratibu Kigoma ni Tabibu Alex , japo huwa anapenda kujita Dr.Alex , na ndio hata leo amepewa fomu za kusaini petition kwenye mkutano wa hadhara, na walivyo panga ni kuwa leo hiyo petition haijawekwa utangulizi ili wajumbe na wananchi was iweze kushtuka na ivyo ndivyo itakayokuwa.

4. Bajeti ya mpango huu ni kubwa kwani kwa awamu ya kwanza itahusisha mikoa ya Mwanza, Tabora,Lindi, Mtwara, Tanga,Katavi ambako Mzee Arfi ndio amepewa jukumu, Mwanza jukumu kapewa Wilson Mushumbusi , Chagulani Adams, Tabora jukumu kapewa kijana mmoja kutoka Kaliua huyu sio mwanachama wa Chadema hivyo jina kampuni, Tanga jukumu kapewa Khalid Rashid.......

5. Timu ya Zitto, imejikuta ikimficha Msafiri Mtemelwa mambo mengi kwani wanafikiri yeye kwa kushirikiana na Mwamnyange ndio wanavujisha siri, pasipokujua kuwa wala sio hao ni watu wa jikoni ndio ambao ni majenti wa Makao makuu,

6. Pigo kubwa zaidi ni baada ya Nchimbi uteuzi wake kufutwa na Rais jana , kwani alikuwa ameshaline up baadhi ya ama ocd kwenye wilaya kuhakikisha kuwa mikutano ya hadhara inalindwa na kupewa ulinzi mkali wa kuonyesha kuwa kuna kitu kikubwa......pigo hili limewaadhiri pia media house ya Msacky kwani mpango ulikuwa kamambe.......

mwisho, Moods, ni najua kuwa mmoja wenu ameshirikishwa kwenye mpango huu na tayari amekuwa akitoa taarifa za watu ambao wamekuwa wakiandika na hata saa nyingine kuondoa post za baadhi ya watu , naomba hii ibaki hapa na kama kuna mtu atabisha nitaweka ushahidi hapa hatua kwa hatua.

stay tuned........hotuba itakayotolewa na Zitto nitaiweka hapa baadae , nusu saa kabla ya hotuba yenyewe kutolewa.
 
Zitto n zaidi ya chadema lakini ukweli unabaki palepale kua ni msaliti...

Mnajidanganya sana kudhani Zitto ni zaidi ya CHADEMA. Na kauli zenu hizi zinazidi kumuweka Zitto pabaya, hamjui tu. Maana kwa kauli hizi Zitto atapata kiburi cha kudhani yeye anakubalika kuliko CHADEMA, na akifukuzwa tu CHADEMA umaarufu wake wote kwisha. Ilikuwa hivyo kwa akina Kaborou, ikawa hivyo kwa akina Kafulila etc. Mwisho wa siku wakajikuta wamepotea kabisa kwenye ramani ya siasa. Wakumbukeni akina Masumbuko Lamwai, wapo wapi hivi sasa? Mbona hawajaweza kusimama peke yao despite umaarufu mkubwa waliojenga kupitia vyama walivyokuwa navyo? Msijidanganye, hakuna mtu anayeweza kuwa maarufu kuliko chama chake.
 
1017221_635304536531621_1219813934_n.jpg
1511350_635304456531629_1156613423_n.jpg
1511284_635303789865029_302401546_n.jpg
1012792_635303879865020_2109801516_n.jpg
996985_635303939865014_623020908_n.jpg
1477968_635304149864993_150542700_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
1517527_635300853198656_907706415_n.jpg
1476353_635300916531983_1629442226_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
379709_635297983198943_1177054915_n.jpg
1521340_635298133198928_77370159_n.jpg
1475958_635298186532256_328583333_n.jpg
1526419_635297946532280_536845726_n.jpg
1501759_635296873199054_603343034_n.jpg
1528579_635269026535172_1142880841_n.jpg
1493147_635298913198850_219639048_n.jpg
1489037_635296829865725_2059314623_n.jpg

Nyumbani ni nymbani,nyumbani pazuri bwana,unaweza kutupwa na wachache,lakini nyumbani kamwe hawawezi kukuacha,home best.
mbaraka mshehe alisema "ugenini tabu"
 
Cha muhimu ni misingi na sio mfumo.Kuna kile kisa cha Yesu na Baraba(aliyekua mwizi na Mnyang'anyi).Katika eneo lile ambalo misingi haikufuatwa ni nani alipata mashabiki wengi kati ya Yesu na Barabara hadi akafunguliwa Baraba?Je,ukweli ulibadilika?

Jibu zuri sana na mfano ni mzuri
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia

Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Zitto kigoma 1.jpg Zitto Kigoma 2.jpg Zitto kigoma 3.jpg

Mkuu Ben usipoteze muda kuangaika na hawa jamaa Picha hizi ni Kiashiria cha wazi kuwa Mapokezi haya yameratibiwa na CCM na hakutakuwa na Jipya ziadi ya ZITTO kuendelea kujichimbia kaburi Kisiasa.
 
Nadhani busara ni muhimu sana na mtu anatakiwa aombe busara (hekima) na ukipungukiwa na hiki kitu ndipo ule msemo unaosema "aonywae mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla" sasa swali ni hili, anaenda Kigoma kama mbunge, naibu katibu mkuu aliesimamishwa, au mwanachama wa kawaida wa CDM? Au anaenda kumuonyesha Dr. Slaa kuwa yeye ZZK YUKO JUU YA Dr. Slaa? Na kama ni hivyo ili iweje? Mbona anjiharibia kuliko kujijenga? Tuacha ushabiki anachofanya sio sawa wakati huu ambapo tunasubiri kuona utetezi wake. Jamani mshaurini basi naona anatumia nguvu isipopasa.
Kwa hiyo alichofanya Padre slaa uliona sawa,mara baada ya kuvuliwa Zitto nyazifa zake yeye moja kwa moja akaenda kigoma lengo lake lilikuwa ni nini,kwa nini asingeanzia sehemu nyingine?kama alikuwa anajaribu kupima upepo basi kaumbuka ngoja nae zitto apime upepo kule ni kwao bwana achani uzandiki
 
Mnajidanganya sana kudhani Zitto ni zaidi ya CHADEMA. Na kauli zenu hizi zinazidi kumuweka Zitto pabaya, hamjui tu. Maana kwa kauli hizi Zitto atapata kiburi cha kudhani yeye anakubalika kuliko CHADEMA, na akifukuzwa tu CHADEMA umaarufu wake wote kwisha. Ilikuwa hivyo kwa akina Kaborou, ikawa hivyo kwa akina Kafulila etc. Mwisho wa siku wakajikuta wamepotea kabisa kwenye ramani ya siasa. Wakumbukeni akina Masumbuko Lamwai, wapo wapi hivi sasa? Mbona hawajaweza kusimama peke yao despite umaarufu mkubwa waliojenga kupitia vyama walivyokuwa navyo? Msijidanganye, hakuna mtu anayeweza kuwa maarufu kuliko chama chake.

unachokisema si cha kweli,kumbuka kuna shibuda,walifukuzwa ccm na bado alipohama chama alipata nafasi ya kuwa mbunge,wapo wengi na bado wanaendelea kuongoza ktk majimbo yao,hata kama zitto atafukuzwa uanachama,hiyo haitasababisha zitto akose nafasi ya ubunge kama atataka kugombea kwa chama kingine,yaani unapomkataa wewe,wenzako wanasema lini watampata.kwa sababu vyama vinahitaji kushika dola na si kulemba na ili kushika dola ni lazima uwe na watu potential watakaoweza kuvuta wapiga kura
 
Makamanda wa Chadema wanajifariji kuwa Zitto kakodisha watu, teh teh teh hatari sana.
 
Member
Array
Join Date : 24th April 2013
Posts : 25
Rep Power : 340
Likes Received
23
Likes Given
0
Pigo jingine kwa Zitto na team yake.....mkakati wao wavuja.....
Katika hali ya kutafuta jinsi ya kuweza ama kuibomoa ama kutaka kuonyesha kuwa Ana nguvu ndani ya Chadema na haswa kwenye baraza kuu , mambo yafuatayo yameandaliwa na team Zitto kwa kuratibiwa kwa ukatibu sana na watu wa idara kama ifuatavyo;
1. Ni kuwa leo Kigoma , aliyopewa jukumu la kuratibu ziara nzima ni Mwanamama Maria Sarungi, huyu bila Zitto kujua amejikuta anapandikiziwa huyu mama na Chadema makao makuu na amejikuta kuwa kwenye wakati mgumu kwani mipango wanavyofanya yote ina Julikana na mpaka sasa ni kuwa Makao makuu ya Chadema wanafuatilia kila jambo jinsi linavyokwenda. Maria alipopewa jukumu la kuandika hotuba ya Zitto , aliwasiliana na kiongozi mmoja wa makao makuu ya Chadema , na kiongozi huyo ndio aliandika draft ya kwanza na kumpa Maria ili aweze kuiwasilisha kwa Zitto, na ndio itatolewa leo huko Kigoma.
2. Maria na wenzake wameenda mbali kwa kuandaa kinachokatwa Mkakati wa Baraza kuu kwa kuwa na bajeti na kuandaa petition kwa ajili ya kusainiwa na baadhi ya wajumbe wa Baraza kuu kwa hoja kuwa ni ili kushiriki za kuitwa kwa kikao cha Baraza Kuu, waliokuwa katika utekelezaji wakajikuta kwenye wakati mgumu sana kutoka kwa wajumbe , na ndipo walipoamua kuwadanganya wajumbe kuwa fomu hizo za petition zimeandaliwa na Chadema makao makuu, na hivyo zina Baraka zote kuwa ni jambo halali. Kwa mfano leo viongozi wa kusini wameitwa Masasi na aliyepewa jukumu la kuratibu jambo hilo kwa mujibu wa Maria Sarungi ni Chitanda Ali , ila alipoona kuwa hawezi kukubalika kwa wajumbe waliamua kumpa jukumu la mialiko katibu wa Nachingwea ,na kikao cha Masasi kitafanyika leo jumamosi.

3. Zitto, kwa kutokujua amejikuta akifanya mipango yake ambayo inaratibiwa na Makao makuu ya Chadema kwa mkono wanyama , ndio maana hata mpango wa kujaribu kuwafukuza viongozi wa Chadema walioshiriki MAPOKEZI ya Dr.Slaa huko Kigoma , unaelekea kukwama baada ya Makao makuu kuingilia kati, aliyepewa jukumu hilo la kuratibu Kigoma ni Tabibu Alex , japo huwa anapenda kujita Dr.Alex , na ndio hata leo amepewa fomu za kusaini petition kwenye mkutano wa hadhara, na walivyo panga ni kuwa leo hiyo petition haijawekwa utangulizi ili wajumbe na wananchi was iweze kushtuka na ivyo ndivyo itakayokuwa.

4. Bajeti ya mpango huu ni kubwa kwani kwa awamu ya kwanza itahusisha mikoa ya Mwanza, Tabora,Lindi, Mtwara, Tanga,Katavi ambako Mzee Arfi ndio amepewa jukumu, Mwanza jukumu kapewa Wilson Mushumbusi , Chagulani Adams, Tabora jukumu kapewa kijana mmoja kutoka Kaliua huyu sio mwanachama wa Chadema hivyo jina kampuni, Tanga jukumu kapewa Khalid Rashid.......

5. Timu ya Zitto, imejikuta ikimficha Msafiri Mtemelwa mambo mengi kwani wanafikiri yeye kwa kushirikiana na Mwamnyange ndio wanavujisha siri, pasipokujua kuwa wala sio hao ni watu wa jikoni ndio ambao ni majenti wa Makao makuu,

6. Pigo kubwa zaidi ni baada ya Nchimbi uteuzi wake kufutwa na Rais jana , kwani alikuwa ameshaline up baadhi ya ama ocd kwenye wilaya kuhakikisha kuwa mikutano ya hadhara inalindwa na kupewa ulinzi mkali wa kuonyesha kuwa kuna kitu kikubwa......pigo hili limewaadhiri pia media house ya Msacky kwani mpango ulikuwa kamambe.......

mwisho, Moods, ni najua kuwa mmoja wenu ameshirikishwa kwenye mpango huu na tayari amekuwa akitoa taarifa za watu ambao wamekuwa wakiandika na hata saa nyingine kuondoa post za baadhi ya watu , naomba hii ibaki hapa na kama kuna mtu atabisha nitaweka ushahidi hapa hatua kwa hatua.

stay tuned........hotuba itakayotolewa na Zitto nitaiweka hapa baadae , nusu saa kabla ya hotuba yenyewe kutolewa.
 
Member
Array
Join Date : 24th April 2013
Posts : 25
Rep Power : 340
Likes Received
23
Likes Given
0
Pigo jingine kwa Zitto na team yake.....mkakati wao wavuja.....
Katika hali ya kutafuta jinsi ya kuweza ama kuibomoa ama kutaka kuonyesha kuwa Ana nguvu ndani ya Chadema na haswa kwenye baraza kuu , mambo yafuatayo yameandaliwa na team Zitto kwa kuratibiwa kwa ukatibu sana na watu wa idara kama ifuatavyo;
1. Ni kuwa leo Kigoma , aliyopewa jukumu la kuratibu ziara nzima ni Mwanamama Maria Sarungi, huyu bila Zitto kujua amejikuta anapandikiziwa huyu mama na Chadema makao makuu na amejikuta kuwa kwenye wakati mgumu kwani mipango wanavyofanya yote ina Julikana na mpaka sasa ni kuwa Makao makuu ya Chadema wanafuatilia kila jambo jinsi linavyokwenda. Maria alipopewa jukumu la kuandika hotuba ya Zitto , aliwasiliana na kiongozi mmoja wa makao makuu ya Chadema , na kiongozi huyo ndio aliandika draft ya kwanza na kumpa Maria ili aweze kuiwasilisha kwa Zitto, na ndio itatolewa leo huko Kigoma.
2. Maria na wenzake wameenda mbali kwa kuandaa kinachokatwa Mkakati wa Baraza kuu kwa kuwa na bajeti na kuandaa petition kwa ajili ya kusainiwa na baadhi ya wajumbe wa Baraza kuu kwa hoja kuwa ni ili kushiriki za kuitwa kwa kikao cha Baraza Kuu, waliokuwa katika utekelezaji wakajikuta kwenye wakati mgumu sana kutoka kwa wajumbe , na ndipo walipoamua kuwadanganya wajumbe kuwa fomu hizo za petition zimeandaliwa na Chadema makao makuu, na hivyo zina Baraka zote kuwa ni jambo halali. Kwa mfano leo viongozi wa kusini wameitwa Masasi na aliyepewa jukumu la kuratibu jambo hilo kwa mujibu wa Maria Sarungi ni Chitanda Ali , ila alipoona kuwa hawezi kukubalika kwa wajumbe waliamua kumpa jukumu la mialiko katibu wa Nachingwea ,na kikao cha Masasi kitafanyika leo jumamosi.

3. Zitto, kwa kutokujua amejikuta akifanya mipango yake ambayo inaratibiwa na Makao makuu ya Chadema kwa mkono wanyama , ndio maana hata mpango wa kujaribu kuwafukuza viongozi wa Chadema walioshiriki MAPOKEZI ya Dr.Slaa huko Kigoma , unaelekea kukwama baada ya Makao makuu kuingilia kati, aliyepewa jukumu hilo la kuratibu Kigoma ni Tabibu Alex , japo huwa anapenda kujita Dr.Alex , na ndio hata leo amepewa fomu za kusaini petition kwenye mkutano wa hadhara, na walivyo panga ni kuwa leo hiyo petition haijawekwa utangulizi ili wajumbe na wananchi was iweze kushtuka na ivyo ndivyo itakayokuwa.

4. Bajeti ya mpango huu ni kubwa kwani kwa awamu ya kwanza itahusisha mikoa ya Mwanza, Tabora,Lindi, Mtwara, Tanga,Katavi ambako Mzee Arfi ndio amepewa jukumu, Mwanza jukumu kapewa Wilson Mushumbusi , Chagulani Adams, Tabora jukumu kapewa kijana mmoja kutoka Kaliua huyu sio mwanachama wa Chadema hivyo jina kampuni, Tanga jukumu kapewa Khalid Rashid.......

5. Timu ya Zitto, imejikuta ikimficha Msafiri Mtemelwa mambo mengi kwani wanafikiri yeye kwa kushirikiana na Mwamnyange ndio wanavujisha siri, pasipokujua kuwa wala sio hao ni watu wa jikoni ndio ambao ni majenti wa Makao makuu,

6. Pigo kubwa zaidi ni baada ya Nchimbi uteuzi wake kufutwa na Rais jana , kwani alikuwa ameshaline up baadhi ya ama ocd kwenye wilaya kuhakikisha kuwa mikutano ya hadhara inalindwa na kupewa ulinzi mkali wa kuonyesha kuwa kuna kitu kikubwa......pigo hili limewaadhiri pia media house ya Msacky kwani mpango ulikuwa kamambe.......

mwisho, Moods, ni najua kuwa mmoja wenu ameshirikishwa kwenye mpango huu na tayari amekuwa akitoa taarifa za watu ambao wamekuwa wakiandika na hata saa nyingine kuondoa post za baadhi ya watu , naomba hii ibaki hapa na kama kuna mtu atabisha nitaweka ushahidi hapa hatua kwa hatua.

stay tuned........hotuba itakayotolewa na Zitto nitaiweka hapa baadae , nusu saa kabla ya hotuba yenyewe kutolewa.
Peleka chooni upumbavu wako huu.
 
Exactly,

Historia ni mwalimu mzuri sana sijawahi ona wala kusikia mtu aliyeshindana na chama akashinda.
Wewe mburula kweli kwenda kuongea na wapiga kura wake ni kushindana na chama?
 
Bwana mdogo nibwana mdogo hatausome mpk shule na vyuo bado utakuwa mdogo
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

CCM Mna Mambo mnashiriki maandamano ya wananchadema. Zitto Kamwe hatakuwa zaidi ya Chadema. Ni CCM pekee ambako kuna wanachama ambao ni zaidi ya CCM. Huku Chadema Zitto ni Mwananchama kama wengine tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom