PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Bilioni aliyovuta kwenye yale mawasiliano na nzoka yakiisha na Zitto kwisha habari yake kwisha.
 
hivi hao wakina mama wameyaandika hayo mabango wenyewe,au wamebebeshwa tu?
Unawalinganishaje hao akina mama na kundi la vijana wahuni waliohudhuria mikutano ya Slaa, mpaka Slaa akaamua aje na ajenda ya Gongo.
Unadhani ajenda ya Gongo ilikuja hivihivi tu eeh, aliwatazama kwanza wafuasi wake wanaomsikiliza na anaowategemea.

Kumbuka "charity starts at home".
 
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.

Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.

Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.
Kipofu huwa haoni, lakini ukimweleza huwa anafaamu. Huwa nashindwa kuelewa watu wa aina yako, lakini milembe ipo.
 
Kuwa uyaone.. .yaani leo CCM wanaungana kumtetea Zitto?????!!!! Haya kila la heri ila mkishindwa kubalini matokeo na mrudi kijijini maana hatokuwepo wa kuwalipa tena kwa ujinga huu
 
CCM mko bizy na ZZK sana?

Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia


Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Nyie watu wa Mbowe na Slaa mnatumiaga kampuni gani?
 
Nadhani busara ni muhimu sana na mtu anatakiwa aombe busara (hekima) na ukipungukiwa na hiki kitu ndipo ule msemo unaosema "aonywae mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla" sasa swali ni hili, anaenda Kigoma kama mbunge, naibu katibu mkuu aliesimamishwa, au mwanachama wa kawaida wa CDM? Au anaenda kumuonyesha Dr. Slaa kuwa yeye ZZK YUKO JUU YA Dr. Slaa? Na kama ni hivyo ili iweje? Mbona anjiharibia kuliko kujijenga? Tuacha ushabiki anachofanya sio sawa wakati huu ambapo tunasubiri kuona utetezi wake. Jamani mshaurini basi naona anatumia nguvu isipopasa.
 
Wanasema Zitto ni msaliti na anatumika na CCM lakini mbona yale mashtaka 11 aliyopewa hayajaandkwa hayo?
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

Wewe zuzu acha nikusaidie kitu... huku CHADEMA hakuna aliye maarufu zaidi ya chama labda huko kwa Magamba yenu mtu ndo bora zaidi ya chama chake... that's why mmeshindwa kumanage uongozi mmekaa kuvunja baraza la mawaziri kila siku.... huyo Zitto ngoja tumvue uanachama halafu huko Kigoma wamtafutie cheo.. maana bila Chadema uanasheria ungempa umaarufu alonao????
 
Nipo Kigoma Airport hapa,Ni kwamba Kigoma imezizima,kila koma ni Zitto Kabwe,Wananchi wanamiminika Airpot kumpokea shujaa Zitto Kabwe..Mwanasiasa Kinda Mwenye kila aina ya sifa za Mwanasiasa Bora.
Picha zote nazipandisha hapa,kwakuanza hali ipo hivi

Wakuu Wuwanja wa AIRPORT umeshaanza Kuwa mdogo eneo la watu,Ni maelfu ya Wananchi wanamiminika Viwanja Hivi,Ndege inakaribia Kutua.

Yaani hapa ni LIVE UPDATES Mwanzo Mwisho,Wenye chuki poleni sana Zitto Kigoma ni Kama Mfalme

Naona mikusanyiko ya watu wa ajabu ajabu hapo.

Sura nyingi ni za wabembe, wabwali, wagoma na watongwe wasiojitambua.
watu wa hovyo hovyo...........

Ama kweli ni mfalme kwa wenye chongo
 
Kuna watu hata hawataki mtu aende kwao kwa ajiri ya sikukuu ya x-mass!.

Kwani kuna watu wamelazimishwa kwenda kumpokea na yeye kuwasalimia wapiga kura wake!.

Kwanza kwa sasa Mh. Zitto siyo GUMZO la mjini. He's of no importance, influence, or power within and outside CHADEMA!. Huyu ni mwanachama wa CHADEMA basi.

Ninashangaa kuna watu kwa sasa wameishakuwa hyper kusikia tu jina lake. Kwa njia nyingine, wanampaisha tena kisiasa bila wao kujitambua.

Ukweli ni kwamba, you can't afford to ignore an important issue or person hata kama hupendi liwepo au awepo. Huu ndiyo ukweli na ikumbukwe kuwa hakufika hapo alipo kisiasa by default. He's smart na anajua kuzicheza siasa za Tanzania.

Aachwe tu afanye mambo yake. Akivunja kanuni na itifaki atashughulikiwa!
 
Mnaelewa maana ya kuZIZIMA,.

Aangalie picha za SUGU alipoenda Mbeya baada ya kusimamishwa bungeni ndo watajua maana ya kuZIZIMA...
 
Okey, hapo naona wanawake tu, inaelekea ilikua ngumu kuwashawishi/kuwanunua wanaume sababu wanajua msaliti hawezi kuwa shujaa au sio?
 
Uliyeweka huu uzi huna nia nzuri na Zitto. Heading inatufanya kuelewa kwamba kulikuwa na watu wengi lakini ukweli hawapo? Mbona sijaona kuzizima kwenyewe? Je picha iliyopo hapo ndio inaashiria Kigoma nzima?

Huu ni uandishi wa kishabiki na ninahisi umetuma na mtu ama kikundi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom