PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?

Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.
Mkuu avatar yako inaonyesha wewe ni mdogo, pengine huna uzoefu wa maisha......unapopata misukosuko yoyote ile watu wa nyumbani wakikulaki unafarijika sana.....pia ameenda sababu kule ni nyumbani. Naamini kwao wasingempokea ungekuja na post ya kuaminisha watu kwamba hapendwi hata nyumbani, Pia yeye ni mbunge wao au umechukia? manake tabia za kitoto ni kwamba ukimchukia mtu unataka wote wamchukie ndo ufurahi....Ndio maana akilia tunamwambia ''tema mate tumpige'' basi anaurahiii!!!! ha ha ha ha!!!
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

Mfamaji haishi
 
mbona mapokezi ya karamagi alipoenda bukoba vijijini yalikua makubwa sana?unajua umati kiasi gani ulimpokea chenge?unajua kwa rostam watu hadi wa kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia

unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za mwenyekiti wa ccm mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa ccm,mhusika mkuu au kwa chadema kata ya mwandiga?maana kata ya mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake
Umeniwahi kamanda.
 
Vipi inshu yako ya sumu, hivi bado unabebeshwa sumu
 
Hivi kweli mtu na akili zako timamu, unasema mtu binafsi (nina maana yeyote yule - ila hapa umemtaja Zitto) anazidi institution iliyo na wanachama mamilioni, unamaanisha nini haswa

Ushabiki unakubalika, lakini ongea kitu kinachomake sense angalau kidogo hata kwa nafsi yako. Hivi unapoandika
Zitto ni zaidi ya Chadema, unachotaka kuachieve haswa ni nini ? Kwamba kuna watu watasoma hiyo statement yako halafu watakuwa convinced au hata sielewi unamlenga nani haswa !

Wewe mwenyewe haumini hiyo statement kama ukiwa mkweli kwa nafsi yako, sasa unaandika ili iweje ? Jamani kama mnafanya propaganda angalau hizo propaganda ziwe basi zimekwenda hata shule kidogo tu (angalau zifike darasa la saba)......Hizi sidhani hata darasa la nne zimefika !

Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

Unajidanganya wewe, kweli "jambo usilolijua ni kama usiku wa giza"Hauyajui yaliyo ndani ya chama ndo maana unashabikia tu.Halafu kwann vyama vingine viumie zito kuvuliwa uongozi ndani ya chama? Ni swl la kujiuliza sana hilo.
 
Cha muhimu ni misingi na sio mfumo.Kuna kile kisa cha Yesu na Baraba(aliyekua mwizi na Mnyang'anyi).Katika eneo lile ambalo misingi haikufuatwa ni nani alipata mashabiki wengi kati ya Yesu na Barabara hadi akafunguliwa Baraba?Je,ukweli ulibadilika?
Usimuingize Yesu kwenye hizi harakati zenu za Chadema.
 
Kamanda unajitoa ufahamu?
Mtabaki mnajidefence kila leo, kila mara kujiuzulu mpaka benchi wazuri wameisha. Tatizo ni chama cha mapinduzi. Baada ya miezi 8 LEMBELI atashuka na skandal nyingine VIPINDUPINDU wengine wataondoka na maji.
 
Leo Mtela yupo Kigoma kwani anapost picha nyingi kupitia FB yake. Pia ni msemaji wa Zitto Kigoma.
kanifurahisha pale alipoandika. Zitto ni shujaa ndani ya CHADEMA kuliko DK SLAA.

Kwanini Zitto asiwatumie BAVICHA kama kweli anataka kuisambaratisha CHADEMA?
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

Hivi unaijua TANZANIA KWELI? Hata mimi kwetu huwa napokelewa zaidi ya hapo! Mbona naona masalia na maccm ndo yamejazana hapo? Hukumbuki hata Karamagi alivyovuliwa madaraka alipokelewa hivyo hivyo lakini leo hii yupo wapi? CHADEMA ni zaidi ya hao mbulumundu wasiojitambua.
 
Zito tulimpenda lakini CCM ilimpenda zaidi, karibu sana huku hata wezi wa rasilimali zetu, wauza unga, wauaji, majangili, wala rushwa na mafisadi tuwakaribisha nyote mjumuike tujenge chama chetu twawala
 
Unajidanganya wewe,kweli "jambo usilolijua ni kama usiku wa giza"Hauyajui yaliyo ndani ya chama ndo maana unashabikia tu.Halafu kwann vyama vingine viumie zito kuvuliwa uongozi ndani ya chama? ni swl la kujiuliza sn hilo.
Mimi si shabikii, uhalisia unaoneka wazi hayo maneno yako kawambie hao wanaomsubiri Zitto.
 
Mkuu Tema Mate vp ZZK hajatua tu? Tuongezee picha zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Usimuingize Yesu kwenye hizi harakati zenu za Chadema.

"Bibi Neema Moses yy alilazimishwa kufanya mapenzi na WAKWE zake kisha kuingizwa chupa sehemu zake za siri"

"Huko Meatu kijana bubu aitwae Machumbe alienda kwenye sehemu ya mahojiano kumtafuta baba yake,kwa sababu ni bubu akawa anawauliza maaskari kwa ishara wakachukia wakamchukua wakampeleka sehemu wakampiga risasi 3"

"Huko Mara babu wakalazimishwa kufanya mapenzi na mizoga ya ng'ombe"

"Huko Serengeti kikongwe alirushwa kichura"

Hizi ndiyo habari za kitaifa zenye mashiko!CCM ni makatili zaidi hata ya utawala wa Makaburu
 
..kinachonishangaza ni jinsi watu wanvyoweza kutumiwa bila kuwa na akili timamu na piia watu kujenga mazingira yakujitahidi kuwa waongo ila wanashindwaa kukidhi hilo...ukiangalia hizo picha utaona kabidha kuna vikundi vya watu vimetoka sehemu moja...angalia hao kina mama halafu ngalia na wale vijana pale na pembeni kuna pikipiki nyingi sana na kuna hiace hawa wamebebwa mahali wamepelekwa pale na pia inaonekana kabisa hao kina mama wamebebeshwa hayo mabango.....

Babu kwani tatizo nini hapo...!! Mtu akiwa anarudi nyumbani kwake mama yake, watoto, mkewe, mfanyakazi, jirani lazima wampokee.... mimi sioni shida ya wao kwenda kumpokea mtu wao.
 
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?

Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.

Jamani kwani watu wakiandamana kumpokea Mbunge wao na "shujaa" wao kuna tatizo gani? Tofauti na Wabunge wengi, Zitto ni alama ya mkoa wake wa Kigoma!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom