PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Zitto na Mandela wa Tanzania,sijawahi ona mapokezi makubwa Tanzania kama haya ya shujaa Zitto Kabwe,chadema bakini na bendera zitto kabaki na watu,Slaa na Mbowe lazima mfe kwa kihoro,mlidhani Zitto ni Mwanasiasa mchanga kama Mlivyowafanyia aki na Mwampamba na Shonza. Zitto ndio kwanza ameanza mkutano ya kuwaonyesha nguvu zake,hategemei helkopta ili kuita watu yeye hata aende kwa mguu atakuta umati mkubwa umemsubiri,halindwi na Police kama ilivyo kwa slaa na mbowe,analindwa na wananchi wanaojua mchango wake kwa maendeleo ya nchi,huyo ndio zitto kabwe ambae mkutano wa kijijini umehudhuriwa na zaidi ya watu elfu ishirini,sipati picha mkutano wa mwanga center utakuweje,kasulu wameanza maandalizi ya kumpokea kesho,huyo ndio zitto mpigania denokrasia ya kweli.
Kwa umati wa watu hawa,Zitto ndio Rais ajae.
teh teh, mkuu rais ajaye kwa chama kipi? Na nchi ipi?
 
Nyinyi Mlianza naye anamalizia, sasa kilio cha nini, muiteni lema basi amisaidie kwani nyinyi hamuwezi kitu mbele ya Hounerable ZITTO THE GREAT, THE CONQUEROR OF ALL MICKEY MOUSE POLITICIANS, THE ROBIN HOOD OF THE POOR, THE MANDELA OF OPPRESSED, THE FATHER THERESA OF THE ORPHANS, THE BUILDER OF DEMOKRASI, THE POWER BEHIND THE PARLIAMENT, THE HEARTBURN FOR MTEI, NA SHUBIRI YA KINA MBOWE/SLAA/LEMA/MNYIKA NA TUNDU.

ZITTO IS PEOPLES POWER, ZITTO IS PEOPLES HOPE

Anamaliza kwa aibu kubwa ya mwaka ha ha inachekesha sana yaani hata kwao tu na fedha bilioni moja ya TISS bado ameshindwa kufua dafu, anapambana na miti ya transforma huyo amejiadhiri kuliko kawaida anasema Baraza kuu litamtendea haki si amesema yeye ndie alfa na omega hakuna wa kumzidi chadema analia nini sasa mbele ya wana CCM aende kwao wakamsaidie ha ha
 
Hahahahaha

zzk hatafanikiwa kamwe

kwa sababu n mnafk,mwongo,anaetumia elimu yake vibaya

sipendezwi na tabia zake mimi

chadema mfkuzen huyu mtu

Atleast umetambua kuwa ana elimu. swala la matumizi inategemea kipimo chako unachotumia na mtazamo. Kibaya kwako kwa mwenzio kizuri. Hata wewe wako wengi hawapendezwi na tabia zako. Hata mimi sipendezwi nayo
 
Shemeji yetu kwa nani Mkuu? Na anahusikae hapa?

Naanza kuamini kuwa Div 5 ni ya muhimu sana iwepo, Maana kwa akili mizigo za watu kama ww zinahalalisha hoja ya Div 5.
Kamanda jana ulituambia Zitto hakubaliki hata kwao Kigoma vipi tena kulikoni?
 
Anamaliza kwa aibu kubwa ya mwaka ha ha inachekesha sana yaani hata kwao tu na fedha bilioni moja ya TISS bado ameshindwa kufua dafu, anapambana na miti ya transforma huyo amejiadhiri kuliko kawaida anasema Baraza kuu litamtendea haki si amesema yeye ndie alfa na omega hakuna wa kumzidi chadema analia nini sasa mbele ya wana CCM aende kwao wakamsaidie ha ha

Mbowe na Slaa pia wanawapenda wanaCCM ndio maana kwenye mikutano wanatambua uwepo wao na hata Sabodo anawaunga mkono. Wanademokrasia hawabaguani kwa vyama wanapima hoja na kutetea hoja bila kujali itikadi zao na ndio wito kwa Watanzania wote kuelekea uchaguzi Mkuu. Mkutano wenye wanaChadema peke yao unafanyikiaga ndani ya Ukumbi sio nje.
 
Nyinyi Mlianza naye anamalizia, sasa kilio cha nini, muiteni lema basi amisaidie kwani nyinyi hamuwezi kitu mbele ya Hounerable ZITTO THE GREAT, THE CONQUEROR OF ALL MICKEY MOUSE POLITICIANS, THE ROBIN HOOD OF THE POOR, THE MANDELA OF OPPRESSED, THE FATHER THERESA OF THE ORPHANS, THE BUILDER OF DEMOKRASI, THE POWER BEHIND THE PARLIAMENT, THE HEARTBURN FOR MTEI, NA SHUBIRI YA KINA MBOWE/SLAA/LEMA/MNYIKA NA TUNDU.

ZITTO IS PEOPLES POWER, ZITTO IS PEOPLES HOPE

Mkuu kingereza kibovu sana hiki kama cha Mlugo,

grammar mbovu sana mpaka kichefuchefu,

Orthography yenyewe mahututi kabisa bora utumie hata cockney language.

ziiTO is fool's hope and not People's hope.
 
Last edited by a moderator:
Hakukuwa na mwanachadema pale wale ni CCM wanaowezeshwa na CCM mkoa na taifa ha ha halafu zitto anajiita mwana chedema chadema wa wapi aisee jamaa hata kwao wamemstukia unatia huruma matayarisho yote ya wiki tatu ndio idadi hii ya watu siku za mwizi kweli huwa arubaini

Kwani CHadema wanawatafuta watu gani katika harakati zao? Nadhani ni WanaCCM. Kama ameweza kuwakusanya wanaCCM wengi namna hii kumsikiliza basi anafaa kuongoza Chama maana ana mvuto. Misahafu inasema wenye afya hawahitaji daktari bali walio wagonjwa.
 
Ndio uislamu wako unavyokufundisha hivyo. Muislamu wa wapi wewe au ni betlehem au China?
utajua wewe, kama unadhani wewe ni muislamu zaidi ya wengine endelea kuamini hivo, endelea kutumia dini ya mwenyezi mungu kutetea uovu wako huo, usifikiri kila mtu anashikiwa akili kama wewe! Sisi tunasonga mbele, uislamu hautaondoka duniani kwa mawazo yako hayo potofu, ccm imekufisha huko muda wote uwaze ubaguzi, utabagua hata ndugu zako!
 
Kamanda jana ulituambia Zitto hakubaliki hata kwao Kigoma vipi tena kulikoni?

Mkuu Zitto katumia fedha za ujerumani kununua vijana wanywa viroba na wamama wanya gongo wasiojitambua ili kufunika aibu.
 
Slaa alipokelewa Kigoma na rafiki zake wapenzi:

slaa-k4.jpg

slaa-kigoma.jpg

cc Dr.W.Slaa, Josephine, Godbless J Lema, Ben Saanane. Yericko Nyerere
Gwiji la siasa kilachomb cha usalama lazima waseme ndio afande jamaaa amwambia DR Wabeba viroba vya mawe ni MACCM tumewadhibiti
 
utajua wewe, kama unadhani wewe ni muislamu zaidi ya wengine endelea kuamini hivo, endelea kutumia dini ya mwenyezi mungu kutetea uovu wako huo, usifikiri kila mtu anashikiwa akili kama wewe! Sisi tunasonga mbele, uislamu hautaondoka duniani kwa mawazo yako hayo potofu, ccm imekufisha huko muda wote uwaze ubaguzi, utabagua hata ndugu zako!

Nimekusoma we hizbunnari.
 
zitto ni mwanasiasa aliyekomaa anajua anachokifanya yuko makini zaidi ya unavyo dhania so leave him alone kama ni majanga ni yake kama ni mafanikio ni ya kwake hakuna jipya mpanda ngazi hushuka so hata akifirisika kisiasa ye sio wa kwanza men.
 
ZITTO ASIKATE TAMAA KABISA SIMSHAURI AJITOE AVUMILIE HIKI Ni KIPINDI CHA MPITO TU KITAPITA NA MAADUI ZAKE WATAUMBUKA NO LONGER "AKOMAE"

Marehemu wa kisiasa kafunikwa sanda nyeupe mnamtia moyo ATAAMKA?
 
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti? :A S-baby:
Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.
Mapokezi hayo yasikushangaze, yametokana na matendo ya uongozi wa CHADEMA dhidi ya Zitto. Demokrasia inahitajika sio Ufalme ulio ndani ya CHADEMA. ZITTO NI MZITO, mapokezi yake yamethibitisha, KIGOMA HOYEE!
 
Kwani CHadema wanawatafuta watu gani katika harakati zao? Nadhani ni WanaCCM. Kama ameweza kuwakusanya wanaCCM wengi namna hii kumsikiliza basi anafaa kuongoza Chama maana ana mvuto. Misahafu inasema wenye afya hawahitaji daktari bali walio wagonjwa.

Talking nonsense.
 
hawa wananchi hamnazo kweli,yani wamesahau kuwa adui ni ccm?Halafu umasikini ulivyobobea!
 
nani anahabari na zitto saa hizi?

tazama hizo picha utajua nani ana habari na Zitto....isitoshe yeye ni mbunge wa kigoma siyo moshi wala arusha, ni wazi waliomchagua wana habari na Zitto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom