PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Nimeona hapo anapohutubu Zitto panapepea bendera ya CCM in contrast inaonyesha Zitto ni nani na nini malengo yake. Too bad baada ya kuisha kwa shamrashamra za kupangwa maisha yataendelea na Zitto ataendelea kuwa msaliti huku chama kinaendelea kushumghulikia kwa kufata Katiba na kanuni za Chama
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

Haaahaaahaaa nan alikuambia kigoma ndio chadema? Umaarufu wa zito unaishia mwandiga
 
inategemea inatukanwa kivip? Kwa wale wanaojifanya wafia dini shauri yao, lakini huwezi kuwa mtetezi wa dini katika mambo ambayo huyajui, kuna watu wengine hutumia dini ya mwenyezi mungu kama kinga dhidi ya maovu yao! Usitegemee kuitetea dini kwa ajili ya maadui wa uislamu waliojivika uswalihina. Uislamu ni dini ya unyenyekevu na sio vurugu! Kila mtu aamini katika dini aitakayo, pia ajiunge na chama akitakacho bila kujali dini, rangi wala kabila la mtu!

Ndio uislamu wako unavyokufundisha hivyo. Muislamu wa wapi wewe au ni betlehem au China?
 
Ahamie CCM kama atapata haya mapokezi, hii yote ni sababu ya CDM....M4C forever bby😀
 
Ni vema akawa mwangalifu kwa kauli zake. Haijawahi kutokea popote dunia mtu binafsi akashindana na taasisi hata iwe ni familia tu. Zito kama mtu kushindana na CDM kwa vyovyote yeye Zito ni best loser. Baada ya kumaliza ziara ya Kigoma what next? Kama atatangaza kujiondoa na kuanzisha chama chake ndipo nitamwona maarufu. Unadhani kwa nini Dr.Kitila ana-maintain low profile in this saga? He is clever definitely.
 
Tabora wanahitaji ufafanuzi wako mh.Zitto juu ya maswala mbalimbali ya kitaifa,vijana wanakuhitaji kuimarisha matawi zaidi ya 30 uliyoyafungua hapa manispaa,fanya ziara nchi nzima na tunaomba utoe namba za M.pesa na tigo pesa wananchi tuchangie mikutano na ziara zako. tupo tayari kugharamia ziara zako .
 
Nakubali Zitto ni zaidi ya CHADEMA kwa haya ebu yasome kwa makini

« on: December 19, 2013, 09:38:07 AM »



Zitto Kabwe,
Nataka ujue kwamba kati ya watu 10 wajinga au wapumbavu, utakuwa mmoja wao. Nakushangaa kila siku unajigamba una akili. Akili gani uliyonayo wakati unanunuliwa na watu wapumbavu kama Mwigulu Nchemba. Unashirikiana na TISS pamoja na makada wakubwa wa CCM, utajuaje kama mimi siyo moja ya hao watu? Au kwa sababu unajuana na Jack Nzoka? Jack ndio nani? Mwigulu pamoja na ushamba wake, amekutega vibaya na ukanasa kama swala. Ona jinsi anavyokutumia na kundi lako la Masalia kwenye mitandao ya kijamii

Zitto umekuja hadharani na propaganda za kijinga na kudai kwamba nimekutishia maisha, nilikutishia wapi wakati nilikuonya tu kwamba uwe mwangalifu na CCM pamoja na TISS unaoshikiana nao? Wakishakuua, watakuja kudai kwamba CHADEMA ndio waliokuua? Hivi wewe ni mzima kweli kijana? Mwisho ukaja kudai mimi mmoja wa vifaranga? Kijana kuwa mwanagalifu umefika pabaya kisiasa. Afadhali utafute njia mbadala. Muulize Mwigulu alifuata nini Uchini na Yule balozi anawasaidia CCM kwenye kazi gani?

Mimi kama mmoja wa watu wanaokujua vizuri na usaliti wako, zaidi yako unavyojijua, nakwambia wazi kabisa kwamba vijana wenye uwezo wa kuliongoza hii nchi tulishawaona. Haumo kabisa kwenye kundi hilo. Hiyo tuliliona siku ulipopokea magari ya Rostam Aziz. Mwenye uwezo mkubwa zaidi kuliongoza Tanzania anaishi nje ya nchi, haeleweki ataingia siasa au hataingia, na wala haeleweki kwamba yumo kwenye chama gani. Mwingine ambaye yuko karibu na anaomeonyesha uwezo, yuko CHADEMA. Wengine wote ni kelele tu kama wewe, Kilaza Nchimbi na Mlevi na Fisadi January Makamba

Bwana Zito, ukitaka kujua ujinga wako, ni pale ulipomparamia mke wa Kagasheki ambaye ameshindana na Nape Nauye. Umeingia kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba pamoja na ushamba wake. Unajua kwamba Catherine Magige ni mke wa Kagasheki. Baada ya Conference yako kuhusu kutimuliwa Chadema, uliondoka na Catherine Magige na Binti yake mdogo mkaenda Dubai siku kadhaa kabla hajaenda uingereza ambako ametoka siku tatu nne zilizopita. Dubai ulifuatwa hadi kwenye hoteli mlikofikia.

Camera zilisetiwa na kurekodiwa mkifanya ngono na sehemu nyingine nyingi. Siyo wewe tu, Nape Nauye pia amerokodiwa akifanya Ngono na Catherine. Ngeleja amerekodiwa akifanya Ngono na Anna Kilango Malechela. Zitto nilishiriki binafsi kukurekodi ukifanya ngono na Eliza Luhanjo Marekani, sasa kazi kwako kijanaMuendelezo wa mitego dhidi ya kuwanasa na kuwazima wapumbavu kama wewe..Tuone. Umerekodiwa na mara nyingi sana na watu tofauti pale Sinza unakolala na kila rangi ya mwanamke Hivi zile plani zako za kijinga Kigoma sasa hivi, unajua kweli baadhi ya wale vijana wanaoratibu ni wana TISS? Simu zote za kijinga unazompigia kakako na misukule mingine yote inarekodiwa, kwa jinsi ulivyompumbavu

Ili kukukomesha baada ya kunitaja hadharani, ninakuhakikishia kwamba ninayo video mkononi. Sasa tuone nani mjanja. Hii kitu ni muda tu tutampa Kagasheki ajionee na baadae viongozi wote wa CCM.hatutakurupuka. tutachukua muda wetu, hasa kabla ya uchaguzi wa 2015, Kwa sababu maneno tu utasema sisi waongo . Ulidhani kwamba wewe mjanja, lakini kumbe ni mtu mwepesi sana. Usichezee watu usiowaona. Mtandao huu ni mkubwa, tuko kila sehemu unakokwenda.Hakuna anayekuopenda TISS wala CCM. --------- tu. Stakabadhi ya fedha ulizotumiwa ujerumani tunazo..Umechokoza watu wenye uwezo zaidi ya TISS. Baada ya malalamiko kupelekwa Ujerumani, sasa hivi EU nzima inaku monitor na huyo ghaidi mshamba Mwigulu ambaye umeshirikiana naye kwembe mambo mengi ya hujuma na ughaidi

Ili CHADEMA ibaki kuwa chama, lazima wakufukuze. Yaani ni lazima wakuvue uanachama kwa maana hata wewe pia hilo unalijua, wamegundua baadhi ya mambo yako lakini siyo yote. Mpango wa TISS kukutumia kuwaua viongozi wake unalijua? CHADEMA watakuwa wajinga sana kama hawata kufukuza na wana mabadiliko hawatawaelewa. Hujuma unazowafanyia zimetosha. Ulishiriki kutaka kumuua Mbowe Arusha, CHADEMA Hawalijui hilo. Zitto wakina Kileo, ni wewe ndiye uliyesuka mpango mzima wa kuwasweka Lwakatare na Kileo. Tunasubiri wakufukuze, alafu na sisi pia tuingilie kati ka kuwaambia wana CCM kwamba hauwafai, mtafuta sifa za kijinga. Na kwa taarifa yako maongezi yako ya hivi karibuni na Andrea tangu sakata la CHADEMA lianze tunayo !

Hii email itapokewa na zaidi ya watu 50.nimefanya makusudi, na kama utabisha haukwenda Dubai na Catherine Magige, niko tayari kuweka scanned copies za ticket zenu na hoteli mliyofikia


Yamekuwa haya hebu tupia hizo clip youtube bana tuone mambo....Bwana Muta
 
Zitto na Mandela wa Tanzania,sijawahi ona mapokezi makubwa Tanzania kama haya ya shujaa Zitto Kabwe,chadema bakini na bendera zitto kabaki na watu,Slaa na Mbowe lazima mfe kwa kihoro,mlidhani Zitto ni Mwanasiasa mchanga kama Mlivyowafanyia aki na Mwampamba na Shonza. Zitto ndio kwanza ameanza mkutano ya kuwaonyesha nguvu zake,hategemei helkopta ili kuita watu yeye hata aende kwa mguu atakuta umati mkubwa umemsubiri,halindwi na Police kama ilivyo kwa slaa na mbowe,analindwa na wananchi wanaojua mchango wake kwa maendeleo ya nchi,huyo ndio zitto kabwe ambae mkutano wa kijijini umehudhuriwa na zaidi ya watu elfu ishirini,sipati picha mkutano wa mwanga center utakuweje,kasulu wameanza maandalizi ya kumpokea kesho,huyo ndio zitto mpigania denokrasia ya kweli.
Kwa umati wa watu hawa,Zitto ndio Rais ajae.
Kweli kabisa!!
Mtu huwezi shinda bila kupingwa,ushindi hupatikana katika upinzani,Viongozi wa CDM mnamuongezea sifa,uwezo wa kushinda juhudi zenu za upinzani dhidi yake. Hakika atakuja kuwa mshindi siku za usoni, historia ya viongozi wengi wa Africa hupitia changamoto nyingi ndan na njee ya nchi au chama anachoongoza,haya ndo yanayomtokea Zitto kwa sasa.
Hivyo acheni chuki binafsi tendeni haki kama mnavyojiita wana-demcrasia,hiv hamjifunzi kwa wale mliowafukuza and then kwa sasa wanapeta mjengoni??? Record mnayo ila bado mwafanya makosa yaleyale sasa Record itavunjwa pale mnapopambana na rais mtarajiwa!!!
 
Hii ni zaidi ya hatari aisee Zitto ni kiboko.

Hauoni picha vizuri pembeni bendera ya chama cha mizigo(ccm) zindukeni vijana wenzangu???kaandaliwa mkutano na masalia pamoja na vijana wa uvccm,kazi ya maandalizi ilikuwa chini ya walid kaboor msaliti mwenzie ikiratibiwa kwa karibu na maria Sarungi,jitambue kijana huyu kijana hafai ni msaliti wa kutupwa sema watu wa kigoma ndio tabia zao,kama hauamini mcheck kaseja alisaliti timu yake kwa kumcheka ivo mapunda Taifa stars ilipofungwa mpaka maximo akaamua kumtosa because ni wau wa kujikweza na kupenda umaarafu kibinafsi then mchek Diamond full kujikweza na kutumia ndumba kwa saana,hawaaminiki kiuongozi
 
zitto 1.jpg zitto 2.jpg zitto 3.jpg zitto 4.jpg
 
Hauoni picha vizuri pembeni bendera ya chama cha mizigo(ccm) zindukeni vijana wenzangu???kaandaliwa mkutano na masalia pamoja na vijana wa uvccm,kazi ya maandalizi ilikuwa chini ya walid kaboor msaliti mwenzie ikiratibiwa kwa karibu na maria Sarungi,jitambue kijana huyu kijana hafai ni msaliti wa kutupwa sema watu wa kigoma ndio tabia zao,kama hauamini mcheck kaseja alisaliti timu yake kwa kumcheka ivo mapunda Taifa stars ilipofungwa mpaka maximo akaamua kumtosa because ni wau wa kujikweza na kupenda umaarafu kibinafsi then mchek Diamond full kujikweza na kutumia ndumba kwa saana,hawaaminiki kiuongozi

Ni msaliti wa familia ya Mtei ma mpiganaji wa watanzania.
 
Zitto ni msaliti na mleta vulugu kwenye chama chetu, hata kama Tanzania nzima itampa kichwa, ataondoka tu CHADEMA.....
 
This is Rubbish....

Tangu lini Watovu wa nidhamu na wasaliti wakaingia kwenye negotiation table?

CHADEMA hakifanyi kazi kwa mashinikizo ya CCM na vibaraka wake

Wamarekani wanasema "we don't negotiate with terrorists"

Yaani hata iweje mpigeni chini....
 
1530488_635388679856540_836236334_n.jpg


Zitto Kabwe"Nimerudi nyumbani,Nawasshukuru kwa mapokezi mazuri haya ya Kihistoria hapa Kigoma,
Nimerudi Shujaa wenu"....

Kwanza ninampa Hongera sana Zitto kwa kufika salama nyumbani kwao Kigoma ya watanzania. Nina imani ujio wake huko utakuwa na maana sana kwa watanzania wanaoishi huko. Kwa kuangalia viunga vya mahali msafara umepita unaonyesha kabisa Zitto hajamaliza kazi ya kusaidia kuwaletea maendeleo watanzania waishio Kigoma.

Madhumuni ya 'post' hii ni kuonyesha kutofurahishwa na maneno ambayo yasemekana Zitto. Maneno hayo nimeyapaka rangi Nyekundu hapo juu.

Kama kweli Zitto ameyasema , basi amethibitisha kuwa ana udhaifu mkubwa wa kiuongozi. Ni udhaifu mkubwa kwa sababu huwezi kumtofautisha na Idd Amini (aliyekuwa Rais wa Uganda). Ni watu jamii ya Idd Amini waliokuwa wanajikweza kwa kujipa vyeo lukuki mbele ya wale anaowaongoza ni hii ni dalili ya ubinafsi, ambayo haifai kuwa sifa ya kiongozi bora. Sote tunajua alichoifanyia Uganda na Tanzania Idd Amini.

Pia nimesoma baadhi ya mabango kwenye picha yakisema " Zitto kama Mandela, Zitto kama Nyerere". Hao wote waliofananishwa naye hakuna hata mmoja ambaye alikuwa anajikweza juu ya wenzake , kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.

Ni haki ya watanzania waishio Kigoma kumpokea mbunge wao kama walivyofanya, lakini kama wanataka aendelea kuwawakirisha basi hawana budi ku'mfunda' Zitto zaidi kuwa kiongozi mwenye sifa zinazofaa.
 
Na akijitoa leo kesho anateuliwa ubunge na kupewa nafasi ya uwaziri, aingie kwenye Chama cha Mizigo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom