PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Muislamu anapaswa kuitetea dini yake si kwenye chama tu bali popote. Mimi nimezungumzia hapa jukwaani huyo jamaa anajifanya kipofu pale dini inapotukanwa.
inategemea inatukanwa kivip? Kwa wale wanaojifanya wafia dini shauri yao, lakini huwezi kuwa mtetezi wa dini katika mambo ambayo huyajui, kuna watu wengine hutumia dini ya mwenyezi mungu kama kinga dhidi ya maovu yao! Usitegemee kuitetea dini kwa ajili ya maadui wa uislamu waliojivika uswalihina. Uislamu ni dini ya unyenyekevu na sio vurugu! Kila mtu aamini katika dini aitakayo, pia ajiunge na chama akitakacho bila kujali dini, rangi wala kabila la mtu!
 
Mh.Zitto Kabwe leo ameandika historia kwenye aridhi ya Kigoma baada ya kupata Mapokezi ambayo wenyeji/wazawa wanadai labda Nyerere ndio aliyapata mapokezi haya.Mh.Zitto amerejea leo Kigoma kuzungumza na wananchi wake,wananchi wote wa Kigoma namna mwenendo wa siasa ndani ya CHADEMA unavyorudisha utafutaji wa Demokrasia makini ndani ya Nchi hii,Pia namna wanachadema wenzake wanavyopigilia misumali kwenye mwili wake ilikukwamisha jitihada zake za kupambana na mafisadi,Kupambana na ujenzi wa Taifa letu.
Mh.Zitto Kabwe amaetua Kigoma mnamo saa 3 na Nusu Asubuhi ambapo alikutana na Maelfu ya wananchi wakiwa Nje ya uwanja wa Ndege tayari kwa kumpokea.
Maandamano ya Amani yaliyojumuisha maelfu ya Wanakigoma,kukiwa na pikipiki zaidi ya 240 na magari ya Watu Binafsi wenye mapenzi ya dhati kwa zitto zaidi ya 80 yalianza safari ya kutoa Airport kupitia Ofisi za Mkoa za CHADEMA na hatimaye safari ya kuelekea Kigoma Kaskazini kijiji cha Mwandinga alipozaliwa Zitto Kabwe kwaajili ya Mkutano wa Hadhara kuzungumza na wananchi wake.
Maandamano hayo ya Amani/msafara uliochukua zaidi ya masaa 3 kwa kutembea zaidi ya Kilomita 15 kwa mwendo wa polepole hatimaye ukafika Mwandinga.
Kwwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya Wananchi wakitokea pande zote za Kigoma,Zitto alijikita kwenye mambo Makuu Matatu,Kwanza kueleza kwanini ameamua kurejea Nyumbani (Kuzungumza na waliompatia Ubunge),Pili kuzungumzia hali ya Kisasa anayopitia kwa sasa ambapo amekili yeye bado ni mwanachadema Mtiifu sana,Na anaamini Rufaa yake kwa Kamati kuu chombo cha juu kabisa cha maamuzi ndani ya chama kitamtendea haki,kwa sababu tuhuma zote dhidi yake sizakweli,Pia zimelenga kummaliza kisiasa yeye na wale wanaounga Demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA.
Mwisho kabisa Mh.Zitto amewaahidi wanakigoma kuwa hatafanya maamuzi yoyote kabla hajarudi tena Nyumbani na kushauriana na wananchi wake.
Amesisitiza kuwa Kigoma ya Leo hii ambayo kila mmoja kwa nafasi yake anajisifia kuitwa mzawa wa kigoma ni moja ya jitihada zake,Pia yeye hayupo kwa Msalahi ya CHADEMA tu,Hoja ya Buzwagi ilikuwa ya Kitaifa,Hoja ya kumuwajibisha waziri Mkuu ilikuwa ya Kitaifa,Lakini hata hii hoja ya PAC ya kukagua mahesabu ya Vyama vya siasa ni ya Kitaifa,Hivyo hayupo tayari kuwamnafiki kwa kuitetea CHADEMA kukaguliwa eti kwa sababu yeye ni Kiongozi ndani ya CHAMA.

1511350_635304456531629_1156613423_n.jpg
1511284_635303789865029_302401546_n.jpg
1012792_635303879865020_2109801516_n.jpg
996985_635303939865014_623020908_n.jpg
1477968_635304149864993_150542700_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
1517527_635300853198656_907706415_n.jpg
1476353_635300916531983_1629442226_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
379709_635297983198943_1177054915_n.jpg
1521340_635298133198928_77370159_n.jpg
1475958_635298186532256_328583333_n.jpg
1526419_635297946532280_536845726_n.jpg
1501759_635296873199054_603343034_n.jpg
1528579_635269026535172_1142880841_n.jpg
1493147_635298913198850_219639048_n.jpg
1489037_635296829865725_2059314623_n.jpg
1476179_635319953196746_1447517419_n.jpg
1526514_635327643195977_652225731_n.jpg
1517630_635320039863404_1867375003_n.jpg

1483436_635320136530061_1249857972_n.jpg
1521714_635388783189863_644153184_n.jpg

Hakuna kurudi nyuma hadi kieleweke
1511126_635388819856526_145462687_n.jpg

Vijanaaaaaaaaaaa"nguvu ya Mabadiriko"
945796_635388846523190_1343126095_n.jpg

Msafara unaendelea ukitokea Ofisi za CHADEMA MKOA hapa Kigoma kuelekea Mwandinga kijijini alikzaliwa Zitto kabwe
1517421_635388893189852_301977757_n.jpg

Siasa ni Vijana na hii ndio Nguvu ya Umma ilivyojitokeza kumpokea ZItto kabwe hii leo hapa Kigoma
936628_635388936523181_334474977_n.jpg

Vijana wakiwa wamehamasika vya kutosha sana,hapa wanaimba "Kitimtimu utakiona leo,Kwenye nyumba ya Zitto..Slaa umeingiaje"?
1497665_635388539856554_675661455_n.jpg

Kwa namna msafara ulivyokuwa mkubwa ilimlazimu kila aliyenyumbani kwake kukikimbilia barabarani angalau kupungia mkono kwa Mh.Zitto Kabwe

1486823_635388606523214_107225393_n.jpg

Ulinzi wa wananchi wenyewe umeimarishwa sana,Vijana wamamrinda Mbunge wao.Kubwa zaidi hakuna askari kwenye msafara huu ni wananchi wanajiongoza na wapo salama
1530488_635388679856540_836236334_n.jpg

Zitto Kabwe"Nimerudi nyumbani,Nawasshukuru kwa mapokezi mazuri haya ya Kihistoria hapa Kigoma,Nimerudi Shujaa wenu
1499429_635388713189870_247175874_n.jpg

Zitto"Asanteni sana,nawapenda sanaa"
1476013_635388189856589_659085228_n.jpg

Alipokuwa anakaribia kuingia Mwandinga Mh.Zitto kabwe alilazimika kuteremka na kuanza kutembea kuelekea kwenye Mkutano
1477394_635388266523248_1637787479_n.jpg

Msafara bado unaendelea,Wananchi wanasema hakuna kurudi Nyuma mpaka kieleweke
1521288_635388313189910_544345359_n.jpg

Ni maelfu ya WANANCHI ambao wanatembea kuelekea Mwandinga umbali wa zaidi ya kilomita 15 kwa miguu huku wakiwa na furaha sana ya kukutana na Mbunge wao
1464599_635388359856572_1211223414_n.jpg

Msafara wa magari zaidi ya 100 ukitokea Airpot kumpokea Mh.Zitto kabwe kuelekea Mwandinga,Hapa Shughuli za maendeleo zimesismama kwa muda wananchi wamejumuika kumsindikiza Zitto Mwandinga kuzumngumza na wanakigoma

1533941_635387929856615_2000244501_n.jpg

Ni nyomi ambayo haijawahi kutokea hapa Kigoma
1508041_635388069856601_1839075101_n.jpg

Zitto Kabwe anasema"Nimerudi Nyumbani kuzungumza na nyini kaka,dada,baba na Mama zangu kuhusu maisha yangu ya Kisiasa,Nimerudi Nyumbani kwasababu ndipo nilipokulia na kuanza maisha,Pia nyie ndio mlionifikisha hapa".
1493280_635387573189984_1501343345_n.jpg

Picha inajieleza namna wananchi walivyomiminika Mwandinga kumsikiliza Mtoto wao Zitto Kabwe
1511124_635387633189978_1373755951_n.jpg

Huu ni Upande mmoja wa Sehemu ya Mkutano wananchi wakiwa makini kusikiliza kile Mh.Zitto anaongea kuhusu mwenendo wa Siasa za CHADEMA na namna atakavyokuwa wamwisho kuondoka CHADEMA kwa hiari yake.
1528633_635387669856641_1821197888_n.jpg

Msafara ukiendelea zaidi ya Kilomita 15 kutoa Airport Kuelekea Mwandinga Nyumbani alikozaliwa Zitto Kabwe,Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana haijawahi kutokea.
\
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Mh.Zitto Kabwe akaihutubia Maelfu ya Wananchi katika viwanja vya Mandinga,Kubwa amesisitiza ataendelea kudai Demokrasia ya Kweli ndani ya CHADEMA na inamuuma sana kuona wanaompiga Mishale ni Wanachadema wenzake.
644314_635387223190019_787687789_n.jpg

Maelfu ya Wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano wa Mh.Zitto kabwe hapa Mwandinga Kijijini kwake alikozaliwa Mkoani Kigoma,Bango linasomeka "ZITTO KAMA MANDELA KASORO JELA"

Huu Ni mkutano WA chadema? Maandamano ya yanga?? Ama Ni mkutano WA ccm??
 
Zitto na Mandela wa Tanzania,sijawahi ona mapokezi makubwa Tanzania kama haya ya shujaa Zitto Kabwe,chadema bakini na bendera zitto kabaki na watu,Slaa na Mbowe lazima mfe kwa kihoro,mlidhani Zitto ni Mwanasiasa mchanga kama Mlivyowafanyia aki na Mwampamba na Shonza. Zitto ndio kwanza ameanza mkutano ya kuwaonyesha nguvu zake,hategemei helkopta ili kuita watu yeye hata aende kwa mguu atakuta umati mkubwa umemsubiri,halindwi na Police kama ilivyo kwa slaa na mbowe,analindwa na wananchi wanaojua mchango wake kwa maendeleo ya nchi,huyo ndio zitto kabwe ambae mkutano wa kijijini umehudhuriwa na zaidi ya watu elfu ishirini,sipati picha mkutano wa mwanga center utakuweje,kasulu wameanza maandalizi ya kumpokea kesho,huyo ndio zitto mpigania denokrasia ya kweli.
Kwa umati wa watu hawa,Zitto ndio Rais ajae.
 
So what.
Hivi nyie mbona hamjielewi? Chadema ni Taasisi, Haishindani na mtu bali Taasisi nyingine; Sasa unpokuja hapa with no fact, unainesha ni jinsi ulivo na ufinyu na uelewa wa mambo.

Yaah chadema ni kampuni kubwa sana yenye matawi yafuatayo:
CHADEMA- ya chumbani
CHADEMA-ya Sebureni
CHADEMA- ya nje
 
Baada ya picha iliyojitokeza leo kigoma naishairi chadema imwite Zitto wayamalize mezani laasivyoo chama hakipo tena

Slaa alipo tia timu Kigoma ilikuwa aibu kama siyo polisi kumlinda kama waziri mkuu leo tunhekiwa tunaongea mengine

Mbowe mwenyekiti wetu chadema alipoenda mwanza akapatwa na aibu mzito ilikuwa awenaziara ndefu ikabidi asitishe ziara baada ya mwitikio kuwa mdogo

Pamoja na ITV na gazeti la Tanzania daima kukisaidia kitengo cha proaganda bado jamii ilielewa tunawadanganya maana wastukia picha kuwa zilikuwa za 2010 nyie ni mashahidi mbowe lalipokuwa mwanza vijana wetu walipost picha mbili

This is Rubbish....

Tangu lini Watovu wa nidhamu na wasaliti wakaingia kwenye negotiation table?

CHADEMA hakifanyi kazi kwa mashinikizo ya CCM na vibaraka wake
 
Kigoma wameonyesha Zitto kwanza,kampuni baadae

Umeshajiuliza kwa nini anang'ania kubaki kwenye kampuni unayodai? kama ni kampuni kwa nini hataki kutoka? hata hivyo tutamfukuza tu mkaanzishe naye chama chenu mtuachie kampuni yetu.
 
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?

Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.
Bwana au Ndugu MATAZAMO umempenda saaaana Mbowe mpaka umesahau kuwa Zitto bado ni mwanachama wa CHADEMA aidha kuwa bado ni mbunge wa huko Kigoma? halafu unauliza anafanya ziara kama nani?? kweli huko Kyerwa mnataabu ya kuelewa afadhali kwetu Mabira tunaipatapata. Utake usitake Zitto kwa Kigoma anakubalika sana, siyo kama alivyo-fitiniwa Kaburu, hakuonyesha dalili za kupendwa kama Zitto. Watu wamefunguka ndugu yangu BUURULA OBONE usiangahishwe na maneno yasiyo na hoja.
 
attachment.php

Mbona hamna bendera za chama. Wangekuja tu na za CCM au CUF.
 
Mh.Zitto Kabwe leo ameandika historia kwenye aridhi ya Kigoma baada ya kupata Mapokezi ambayo wenyeji/wazawa wanadai labda Nyerere ndio aliyapata mapokezi haya.Mh.Zitto amerejea leo Kigoma kuzungumza na wananchi wake,wananchi wote wa Kigoma namna mwenendo wa siasa ndani ya CHADEMA unavyorudisha utafutaji wa Demokrasia makini ndani ya Nchi hii,Pia namna wanachadema wenzake wanavyopigilia misumali kwenye mwili wake ilikukwamisha jitihada zake za kupambana na mafisadi,Kupambana na ujenzi wa Taifa letu.
Mh.Zitto Kabwe amaetua Kigoma mnamo saa 3 na Nusu Asubuhi ambapo alikutana na Maelfu ya wananchi wakiwa Nje ya uwanja wa Ndege tayari kwa kumpokea.
Maandamano ya Amani yaliyojumuisha maelfu ya Wanakigoma,kukiwa na pikipiki zaidi ya 240 na magari ya Watu Binafsi wenye mapenzi ya dhati kwa zitto zaidi ya 80 yalianza safari ya kutoa Airport kupitia Ofisi za Mkoa za CHADEMA na hatimaye safari ya kuelekea Kigoma Kaskazini kijiji cha Mwandinga alipozaliwa Zitto Kabwe kwaajili ya Mkutano wa Hadhara kuzungumza na wananchi wake.
Maandamano hayo ya Amani/msafara uliochukua zaidi ya masaa 3 kwa kutembea zaidi ya Kilomita 15 kwa mwendo wa polepole hatimaye ukafika Mwandinga.
Kwwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya Wananchi wakitokea pande zote za Kigoma,Zitto alijikita kwenye mambo Makuu Matatu,Kwanza kueleza kwanini ameamua kurejea Nyumbani (Kuzungumza na waliompatia Ubunge),Pili kuzungumzia hali ya Kisasa anayopitia kwa sasa ambapo amekili yeye bado ni mwanachadema Mtiifu sana,Na anaamini Rufaa yake kwa Kamati kuu chombo cha juu kabisa cha maamuzi ndani ya chama kitamtendea haki,kwa sababu tuhuma zote dhidi yake sizakweli,Pia zimelenga kummaliza kisiasa yeye na wale wanaounga Demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA.
Mwisho kabisa Mh.Zitto amewaahidi wanakigoma kuwa hatafanya maamuzi yoyote kabla hajarudi tena Nyumbani na kushauriana na wananchi wake.
Amesisitiza kuwa Kigoma ya Leo hii ambayo kila mmoja kwa nafasi yake anajisifia kuitwa mzawa wa kigoma ni moja ya jitihada zake,Pia yeye hayupo kwa Msalahi ya CHADEMA tu,Hoja ya Buzwagi ilikuwa ya Kitaifa,Hoja ya kumuwajibisha waziri Mkuu ilikuwa ya Kitaifa,Lakini hata hii hoja ya PAC ya kukagua mahesabu ya Vyama vya siasa ni ya Kitaifa,Hivyo hayupo tayari kuwamnafiki kwa kuitetea CHADEMA kukaguliwa eti kwa sababu yeye ni Kiongozi ndani ya CHAMA.

1511350_635304456531629_1156613423_n.jpg
1511284_635303789865029_302401546_n.jpg
1012792_635303879865020_2109801516_n.jpg
996985_635303939865014_623020908_n.jpg
1477968_635304149864993_150542700_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
1517527_635300853198656_907706415_n.jpg
1476353_635300916531983_1629442226_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
379709_635297983198943_1177054915_n.jpg
1521340_635298133198928_77370159_n.jpg
1475958_635298186532256_328583333_n.jpg
1526419_635297946532280_536845726_n.jpg
1501759_635296873199054_603343034_n.jpg
1528579_635269026535172_1142880841_n.jpg
1493147_635298913198850_219639048_n.jpg
1489037_635296829865725_2059314623_n.jpg
1476179_635319953196746_1447517419_n.jpg
1526514_635327643195977_652225731_n.jpg
1517630_635320039863404_1867375003_n.jpg

1483436_635320136530061_1249857972_n.jpg
1521714_635388783189863_644153184_n.jpg

Hakuna kurudi nyuma hadi kieleweke
1511126_635388819856526_145462687_n.jpg

Vijanaaaaaaaaaaa"nguvu ya Mabadiriko"
945796_635388846523190_1343126095_n.jpg

Msafara unaendelea ukitokea Ofisi za CHADEMA MKOA hapa Kigoma kuelekea Mwandinga kijijini alikzaliwa Zitto kabwe
1517421_635388893189852_301977757_n.jpg

Siasa ni Vijana na hii ndio Nguvu ya Umma ilivyojitokeza kumpokea ZItto kabwe hii leo hapa Kigoma
936628_635388936523181_334474977_n.jpg

Vijana wakiwa wamehamasika vya kutosha sana,hapa wanaimba "Kitimtimu utakiona leo,Kwenye nyumba ya Zitto..Slaa umeingiaje"?
1497665_635388539856554_675661455_n.jpg

Kwa namna msafara ulivyokuwa mkubwa ilimlazimu kila aliyenyumbani kwake kukikimbilia barabarani angalau kupungia mkono kwa Mh.Zitto Kabwe

1486823_635388606523214_107225393_n.jpg

Ulinzi wa wananchi wenyewe umeimarishwa sana,Vijana wamamrinda Mbunge wao.Kubwa zaidi hakuna askari kwenye msafara huu ni wananchi wanajiongoza na wapo salama
1530488_635388679856540_836236334_n.jpg

Zitto Kabwe"Nimerudi nyumbani,Nawasshukuru kwa mapokezi mazuri haya ya Kihistoria hapa Kigoma,Nimerudi Shujaa wenu
1499429_635388713189870_247175874_n.jpg

Zitto"Asanteni sana,nawapenda sanaa"
1476013_635388189856589_659085228_n.jpg

Alipokuwa anakaribia kuingia Mwandinga Mh.Zitto kabwe alilazimika kuteremka na kuanza kutembea kuelekea kwenye Mkutano
1477394_635388266523248_1637787479_n.jpg

Msafara bado unaendelea,Wananchi wanasema hakuna kurudi Nyuma mpaka kieleweke
1521288_635388313189910_544345359_n.jpg

Ni maelfu ya WANANCHI ambao wanatembea kuelekea Mwandinga umbali wa zaidi ya kilomita 15 kwa miguu huku wakiwa na furaha sana ya kukutana na Mbunge wao
1464599_635388359856572_1211223414_n.jpg

Msafara wa magari zaidi ya 100 ukitokea Airpot kumpokea Mh.Zitto kabwe kuelekea Mwandinga,Hapa Shughuli za maendeleo zimesismama kwa muda wananchi wamejumuika kumsindikiza Zitto Mwandinga kuzumngumza na wanakigoma

1533941_635387929856615_2000244501_n.jpg

Ni nyomi ambayo haijawahi kutokea hapa Kigoma
1508041_635388069856601_1839075101_n.jpg

Zitto Kabwe anasema"Nimerudi Nyumbani kuzungumza na nyini kaka,dada,baba na Mama zangu kuhusu maisha yangu ya Kisiasa,Nimerudi Nyumbani kwasababu ndipo nilipokulia na kuanza maisha,Pia nyie ndio mlionifikisha hapa".
1493280_635387573189984_1501343345_n.jpg

Picha inajieleza namna wananchi walivyomiminika Mwandinga kumsikiliza Mtoto wao Zitto Kabwe
1511124_635387633189978_1373755951_n.jpg

Huu ni Upande mmoja wa Sehemu ya Mkutano wananchi wakiwa makini kusikiliza kile Mh.Zitto anaongea kuhusu mwenendo wa Siasa za CHADEMA na namna atakavyokuwa wamwisho kuondoka CHADEMA kwa hiari yake.
1528633_635387669856641_1821197888_n.jpg

Msafara ukiendelea zaidi ya Kilomita 15 kutoa Airport Kuelekea Mwandinga Nyumbani alikozaliwa Zitto Kabwe,Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana haijawahi kutokea.
\
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Mh.Zitto Kabwe akaihutubia Maelfu ya Wananchi katika viwanja vya Mandinga,Kubwa amesisitiza ataendelea kudai Demokrasia ya Kweli ndani ya CHADEMA na inamuuma sana kuona wanaompiga Mishale ni Wanachadema wenzake.
644314_635387223190019_787687789_n.jpg

Maelfu ya Wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano wa Mh.Zitto kabwe hapa Mwandinga Kijijini kwake alikozaliwa Mkoani Kigoma,Bango linasomeka "ZITTO KAMA MANDELA KASORO JELA"

utawalipa shilingi ngapi hawa watu kuja kusikiliza mkutano wako? tuwe na soni wadau,tukubali tu kuwa nyumbani ni nyumbani,sungura aliposhindwa kuzipata ndizi,alisema "sizitaki mbichi hizi" utafika wakati tutakuwa kama sungura na tutasema hatutaki mbichi hizi
 
msaliti ni mbowe aliyesaliti ndoa yake
zitto ni mpambanaji katika siasa
afadhali hata mbowe, kuliko zitto anayepita kufanya ngono na wanawake wa aina mbalimbali, kuanzia catherine magige, eliza luhanjo na wengineo, kwa nini asioe?
 
Sipati picha ya mapenzi na misimamo ya Wanakigoma, mmh...! kweli hawataki bendera wanataka mtu nimeamini.
 
Kiukweli sijaona hata Polisi mmoja kwenye umati mkubwa wa wananchi kama ule, hata serikali watajiuliza kiukweli.
 
Yaani barabara zimefungwa, ila ulinzi wa Polisi. Ama kweli Zitto kiboko, upendo ni kitu kingine kabsaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom