Nimeziangalia picha zote hapo juu kwa uangalifu.....Cha ajabu sijaona Bendera ya Chadema kabisa ! Sign pekee ya CDM ambayo nimeiona ni jamaa mmoja (narudia tena MMOJA) aliyevaa Tshirt ya M4C......Kama kuna aliyeona tofauti anaweza kunisaidia lakini nadhani hii ni strange !
Kama wanaCDM wa kigoma wangekuwa wameshiriki kwenye hili, nadhani at least tungeweza kuona signs hizo at least kidogo.....Just think about it....hata bendera moja hakuna !......Nadhani CDM kigoma hawajashiriki kwenye hili !
Naanza kukubali kwamba haya mapokezi na mkutano huu umeandaliwa na CCM.