msaliti ni mbowe aliyesaliti ndoa yake
zitto ni mpambanaji katika siasa
Watu wa kigoma wasikutishe kitu they are very premitive.
nani anahabari na zitto saa hizi?
Baada ya picha iliyojitokeza leo kigoma naishairi chadema imwite Zitto wayamalize mezani laasivyoo chama hakipo tena
Slaa alipo tia timu Kigoma ilikuwa aibu kama siyo polisi kumlinda kama waziri mkuu leo tunhekiwa tunaongea mengine
Mbowe mwenyekiti wetu chadema alipoenda mwanza akapatwa na aibu mzito ilikuwa awenaziara ndefu ikabidi asitishe ziara baada ya mwitikio kuwa mdogo
Pamoja na ITV na gazeti la Tanzania daima kukisaidia kitengo cha proaganda bado jamii ilielewa tunawadanganya maana wastukia picha kuwa zilikuwa za 2010 nyie ni mashahidi mbowe lalipokuwa mwanza vijana wetu walipost picha mbili
mbona hakuna uhusiano si wangeandika Zitto kwanza chama baadaye.
Zitto ana akili kuliko wanachadema wote
Baada ya picha iliyojitokeza leo kigoma naishairi chadema imwite Zitto wayamalize mezani laasivyoo chama hakipo tena
Slaa alipo tia timu Kigoma ilikuwa aibu kama siyo polisi kumlinda kama waziri mkuu leo tunhekiwa tunaongea mengine
Mbowe mwenyekiti wetu chadema alipoenda mwanza akapatwa na aibu mzito ilikuwa awenaziara ndefu ikabidi asitishe ziara baada ya mwitikio kuwa mdogo
Pamoja na ITV na gazeti la Tanzania daima kukisaidia kitengo cha proaganda bado jamii ilielewa tunawadanganya maana wastukia picha kuwa zilikuwa za 2010 nyie ni mashahidi mbowe lalipokuwa mwanza vijana wetu walipost picha mbili
Mafisadi wote km karamagi,lowassa,chenge nk. Wote waliandaa mapokezi makubwa zaidi ya haya. Lkn haikuondoa ukweli kwamba wao ni mafisadi. Zzk hata angepokelewa na watu laki 8 haiondoi ukweli kuwa yeye kuwa ni msaliti.
Leo mtamaliza mifano yote sasa Yesu kaingiaje?Mkuu kama wewe ni christian rejea kipindi Yesu yupo gerezani na mhalifu Baraba,Mfalme Herode aliwauliza watu amtoe nani kati yao,watu wakapiga kelele tufungulie Baraba.Ndiyo ilivo kwa Zitto. Thanx Ben Saanane kwa mfano huu