PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Kaka umepanda mbona na picha moja tu. Picha zipo nyingi hukuweka zote umetafuta ya kusupport upuuzi wako uliouandika mimi nipo Kigoma mapokezi kayapata makubwa sana tena zaidi ya sana nakushangaa umeweka picha moja tu au tuweke zote
Weka basi, sasa unalialia nini? Au hujui kuweka.
 
Mzima kweli wewe? Maana maelezo yote ya Mtoi hukuelewa na bado unasisitiza mkutano wa mbunge anaetokana na chama cha chadema kuandaliwa na kuratibiwa na UVCCM unaona ni halali? Kwa taarifa yako haramu haiwezi kuhalalishwa na haramu.

tatizo ni kwamba,watu wakihudhuria mikutano ya msiowapenda mnasema wamelipwa,ila wakihudhuria mikutano yenu mnasema hawajalipwa,yaani mazuri yote yanatoka kwenu tu.
Nyie kila jambo jema ni lenu,ila baya la wenzenu,haijawahi tokea ktk hii dunia.
 
Daima mi mpita njia tu,ila nasema huwezi kuzuia mafuriko kwa chandarua,
Bila shaka unajitahidi kuzusha yakwako ila jamii ikuelewe hvo,
Haya mi nasepa nikirejea ntawambie jinsi kongamano walivopanga kumuua kwa mawe mshati wao ktk dhambi,wakaona vema wakamseme kwa kwa yesu ili atoe kauli nao watekeleze hukum,
"ambae toka azaliwe hajawi tenda dhambi,nae akawe wa kwanza kutupa jiwe"
Maandika yanena.
Yesu akainama ,ile kuinuka tu umati wote kila mmoja alitengeneza njia yake,namstakiwa akaponywa.

HAPA NI
CHADEMA-mstakiwa
MAGAMBA-umati
SHERIA-yesu.
Nikirudi ntawadokeza hayo,mi nasepa
 
upuuzi hata ukiunga mkono na dunia nzima utaendelea kuwa upuuzi tu.
Haiwezekani dunia nzima kuunga mkono upuuzi!! Ujue ww unayewezakupinga mawazo ya dunia nzima we ndo mpuuzi!!

Nuru ni nuru tu huwezi ifanya iwe giza,kijana bado anapendwa na wananchi si kigoma tu bali Tanzania nzima!! ndo maana wananchi wote wanafuatilia ukatili anaofanyiwa na chama chake.
 
Nakubali Zitto ni zaidi ya CHADEMA kwa haya ebu yasome kwa makini

« on: December 19, 2013, 09:38:07 AM »


[/FONT][/COLOR]
Zitto Kabwe,
Nataka ujue kwamba kati ya watu 10 wajinga au wapumbavu, utakuwa mmoja wao. Nakushangaa kila siku unajigamba una akili. Akili gani uliyonayo wakati unanunuliwa na watu wapumbavu kama Mwigulu Nchemba. Unashirikiana na TISS pamoja na makada wakubwa wa CCM, utajuaje kama mimi siyo moja ya hao watu? Au kwa sababu unajuana na Jack Nzoka? Jack ndio nani? Mwigulu pamoja na ushamba wake, amekutega vibaya na ukanasa kama swala. Ona jinsi anavyokutumia na kundi lako la Masalia kwenye mitandao ya kijamii

Zitto umekuja hadharani na propaganda za kijinga na kudai kwamba nimekutishia maisha, nilikutishia wapi wakati nilikuonya tu kwamba uwe mwangalifu na CCM pamoja na TISS unaoshikiana nao? Wakishakuua, watakuja kudai kwamba CHADEMA ndio waliokuua? Hivi wewe ni mzima kweli kijana? Mwisho ukaja kudai mimi mmoja wa vifaranga? Kijana kuwa mwanagalifu umefika pabaya kisiasa. Afadhali utafute njia mbadala. Muulize Mwigulu alifuata nini Uchini na Yule balozi anawasaidia CCM kwenye kazi gani?

Mimi kama mmoja wa watu wanaokujua vizuri na usaliti wako, zaidi yako unavyojijua, nakwambia wazi kabisa kwamba vijana wenye uwezo wa kuliongoza hii nchi tulishawaona. Haumo kabisa kwenye kundi hilo. Hiyo tuliliona siku ulipopokea magari ya Rostam Aziz. Mwenye uwezo mkubwa zaidi kuliongoza Tanzania anaishi nje ya nchi, haeleweki ataingia siasa au hataingia, na wala haeleweki kwamba yumo kwenye chama gani. Mwingine ambaye yuko karibu na anaomeonyesha uwezo, yuko CHADEMA. Wengine wote ni kelele tu kama wewe, Kilaza Nchimbi na Mlevi na Fisadi January Makamba

Bwana Zito, ukitaka kujua ujinga wako, ni pale ulipomparamia mke wa Kagasheki ambaye ameshindana na Nape Nauye. Umeingia kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba pamoja na ushamba wake. Unajua kwamba Catherine Magige ni mke wa Kagasheki. Baada ya Conference yako kuhusu kutimuliwa Chadema, uliondoka na Catherine Magige na Binti yake mdogo mkaenda Dubai siku kadhaa kabla hajaenda uingereza ambako ametoka siku tatu nne zilizopita. Dubai ulifuatwa hadi kwenye hoteli mlikofikia.

Camera zilisetiwa na kurekodiwa mkifanya ngono na sehemu nyingine nyingi. Siyo wewe tu, Nape Nauye pia amerokodiwa akifanya Ngono na Catherine. Ngeleja amerekodiwa akifanya Ngono na Anna Kilango Malechela. Zitto nilishiriki binafsi kukurekodi ukifanya ngono na Eliza Luhanjo Marekani, sasa kazi kwako kijanaMuendelezo wa mitego dhidi ya kuwanasa na kuwazima wapumbavu kama wewe..Tuone. Umerekodiwa na mara nyingi sana na watu tofauti pale Sinza unakolala na kila rangi ya mwanamke Hivi zile plani zako za kijinga Kigoma sasa hivi, unajua kweli baadhi ya wale vijana wanaoratibu ni wana TISS? Simu zote za kijinga unazompigia kakako na misukule mingine yote inarekodiwa, kwa jinsi ulivyompumbavu

Ili kukukomesha baada ya kunitaja hadharani, ninakuhakikishia kwamba ninayo video mkononi. Sasa tuone nani mjanja. Hii kitu ni muda tu tutampa Kagasheki ajionee na baadae viongozi wote wa CCM.hatutakurupuka. tutachukua muda wetu, hasa kabla ya uchaguzi wa 2015, Kwa sababu maneno tu utasema sisi waongo . Ulidhani kwamba wewe mjanja, lakini kumbe ni mtu mwepesi sana. Usichezee watu usiowaona. Mtandao huu ni mkubwa, tuko kila sehemu unakokwenda.Hakuna anayekuopenda TISS wala CCM. --------- tu. Stakabadhi ya fedha ulizotumiwa ujerumani tunazo..Umechokoza watu wenye uwezo zaidi ya TISS. Baada ya malalamiko kupelekwa Ujerumani, sasa hivi EU nzima inaku monitor na huyo ghaidi mshamba Mwigulu ambaye umeshirikiana naye kwembe mambo mengi ya hujuma na ughaidi

Ili CHADEMA ibaki kuwa chama, lazima wakufukuze. Yaani ni lazima wakuvue uanachama kwa maana hata wewe pia hilo unalijua, wamegundua baadhi ya mambo yako lakini siyo yote. Mpango wa TISS kukutumia kuwaua viongozi wake unalijua? CHADEMA watakuwa wajinga sana kama hawata kufukuza na wana mabadiliko hawatawaelewa. Hujuma unazowafanyia zimetosha. Ulishiriki kutaka kumuua Mbowe Arusha, CHADEMA Hawalijui hilo. Zitto wakina Kileo, ni wewe ndiye uliyesuka mpango mzima wa kuwasweka Lwakatare na Kileo. Tunasubiri wakufukuze, alafu na sisi pia tuingilie kati ka kuwaambia wana CCM kwamba hauwafai, mtafuta sifa za kijinga. Na kwa taarifa yako maongezi yako ya hivi karibuni na Andrea tangu sakata la CHADEMA lianze tunayo !

Hii email itapokewa na zaidi ya watu 50.nimefanya makusudi, na kama utabisha haukwenda Dubai na Catherine Magige, niko tayari kuweka scanned copies za ticket zenu na hoteli mliyofikia
teh teh, kumbe ndo lijamaa halioi? Ni ufuska mtupu! Nimeamini wanasiasa wengi ni wachafu!
 
Haya hizi hapa afu ina elekea umri wako na mambo yako haviendani. Umri upo mbele ila akili ipo nyuma kiaka 10
 
Ni kama una demu Malaya sana harafu hujui, siku moja ukamfumania, NI RAHA SANA MAANA UNAPATA NAMNA YA KUMWACHA, ZZK akitoka nafanya usabodo kwa CDM kwa mara nyingine
 
Huu wajanja tunauita mwisho wa mwisho wa Zitto kabwe, baada ya hapo na baada ya Bunge kinachofuata ni kufutiwa uanachama wake....ajiandae kuwa na maisha nje ya CDM maana harakati za kuelekea uhuru wa pili wa Jamuhuri hii lazima haya yatokeee
 
Wanaodhani Zitto atapotea simple simple kwa propaganda mfu za mitandaoni na vikao vya familia ya mtei wasahau kabisa.
 
Haya hizi hapa afu ina elekea umri wako na mambo yako haviendani. Umri upo mbele ila akili ipo nyuma kiaka 10
Ni kweli mimi ni mzee, lakini nafikiria kama kijana wa miaka 48, hapo vipi? Ulitaka niwe kama Jummanne baba yake na willey.
 
Analysis za maliberali huwa siku zote za kijinga, CC ya CDM lazima iharakishe kumtema Zitto kwa maslahi mapana ya Watanzania wapenda mabadiliko...otherwise tujiandae na miaka mingine 7 ya kushudia kuangamia kwa Tembo na madini yetu ...
 
Ni kama una demu Malaya sana harafu hujui, siku moja ukamfumania, NI RAHA SANA MAANA UNAPATA NAMNA YA KUMWACHA, ZZK akitoka nafanya usabodo kwa CDM kwa mara nyingine
Duhhh, hii ni kali. Ila umfukuze kimya kimya usichekwe.
 
mbuge yeyote yuko huru kuongea na wananchi wake wakati wowote ule. Si lazima kusubiri chama ndio uongee na wananchi wako.
Tupe kipengele kwenye katiba ya nchi au ya chama chochote kinacho mkataza mbunge kuongea na wananchi wake.

Sijasema hayuko huru kuongea na wananchi wa jimbo lake muda wowote lakini unadhani nina akili fupi ya kuamini maandalizi yote kuanzia kigoma mjini lengo nikuongea na wananchi tu? Tena akisindikizwa na mabango yenye maneno "maalum" Kwanini asiende straight jimboni kwake akaongee na watu waliomchagua?

Chadema mna inferiority complex ndio maana mna weweseka muda huu.

Duh! inferiority complex? Taasisi haiwezi kuwa na inferiority complex over personality mkuu labda Taasisi iwe na inferiority complex kwa Taasisi nyingine! Sidhani Zitto amefikia level ya kuwa sawa au zaidi ya Taasisi!!!


Kwanini ni haki Dr.W.Slaa kufanya mikutano lakini si hali kwa Zitto kufanya?

Dr Slaa anaheshimu ratiba na miongozo ya Chama ndio maana hata ziara yake ya Kigoma juzi ipo kwenye ratiba toka July mwaka huu.Tatizo nyie watu mnafikiri kila mtu humu ni mtu wa propaganda.Hapa nyeusi ni nyeusi tu hata kama ni Mbowe.


Hivi mtajenga nchi gani hiyo kwa kukandamiza wengine?

Hivi umewahi kuhoji haya kwa serikali yako ya CCM pamoja na machafu yao? Hivi unajua maana ya kukandamizwa kweli? Yaani ukandamizwe while una option? Kama Chadema inawagandamiza si waondoke tu mbona ni rahisi sana?


Uoga wenu bavicha ndio unawafanya mfikiri zitto anataka kushindana nanyi.

Wakati mwingine uoga ni kitu chenye faida maana mwoga huwa na tahadhari nyingi sana kuliko asiyeogopa.Kwa mazingira ya siasa za CCM defence mechanism ni kitu cha msingi hata kama utaitwa mwoga! Yuko wapi Dr Aman Kabourou? Yuko wapi Lamwai? Kwanini usiwe mwoga kwa mtu mwenye harufu ya mahusiano yasiyoeleweka na CCM?

Unapopendwa sana na adui yako alafu wewe huoni kama ni tatizo basi umeamua kwa hiari yako kutojali wapiganaji wenzako watafikiri nini juu yako na kupelekea uasi kwako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom