PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Hawaitaki bendera ya Chadema kwa walichomfanyia kijana wao, chezea wapiga kura weye...

si muwashauri waanzishe chama chao cha kigoma? Ungekuwa na akili ungejiuliza kwa nini Dr.Slaa alipata kura nyingi kuliko Zitto katika jimbo la kigoma kaskazini? Mwacheni atapetape na hao maccm wazidi kumpoteza kwenye siasa!
 
hata khamis kagasheki akijipanga vizuri ktk matembezi yake ya kawaida kwenda kwao kagera sambamba na kutangaza kujiuzuru,atapokelewa kama SHUJAA na watu wa jimbo lake.it's an obvious thing
nothing to wonder at.
 
kiukweli zito namkubali sana,ni mtu gani aliesafi chadema mpaka kumuhukumu zito...politics is politics..uongo,unafiki,usaliti vitu vya kawaida tu
 
Nani zaidi wapi? Malizia Kigoma basi!! Aje Dar au aende Mbeya kama atapokelewa hivo. Siasa za ukanda ndo hizo anazoendesha Zitto.

Kigoma wala sio kanda nzima,ni ka mkoa 1 kenye population ndogo sana hapa tz! CDM ITAWATESA SANA MAGAMBA MWAKA HUU.
 
Gharama zote hizi za nini?
Ni lazima afukuzwe huyu, haheshimu taratibu za chama, Je Chama kinasemaje kuhusu hili?
Kwenda jimboni kwake ndo iwe shida; yaani mtu uombe ruhusa kwenda kwenu? Dah, hii nayo ni itifaki au urasimu usiokuwa na tija?
 
kiukweli zito namkubali sana,ni mtu gani aliesafi chadema mpaka kumuhukumu zito...politics is politics..uongo,unafiki,usaliti vitu vya kawaida tu

Usaliti chama,ufanye mipango ya kuua chama then uache kwa sababu ni kawaida? mkaribisheni kwenye chama chenu cha wasaliti na mamluki kama kipo.CDM lazima afukuzwe tu!
 
Haya mambo ndiyo yaliomshinda Said Arfi kupangiwa marafiki, wamecheza wote na Pinda kule mpanda halafu anakuja Dr.Slaa na Mbowe wanamwambia hatutaki kukuona unaongea na Pinda, Zitto kwenda jimboni kwako mpaka aombe ruksa Tengeru hizi siasa za makengeza.
 
Usaliti chama,ufanye mipango ya kuua chama then uache kwa sababu ni kawaida? mkaribisheni kwenye chama chenu cha wasaliti na mamluki kama kipo.CDM lazima afukuzwe tu!

Mbona una jazba ndugu? Mwenyewe alisema na ninamukuu " nimekitumikia chama hiki tangu nikiwa na umri wa miaka 16...na ningpenda mwanangu aje kuwa mwanachama wa chama hiki...sitatoka CDM kamwe labda waamue kuniondoa".......mwisho wa kunukuu.
 
Mtoi
nisome vizuri utanielewa tu,sijasema kuwa mashitaka 11 yamesemwa ktk jimbo lake,nilichokisema ni kwamba kama ilisemwa moja ya sababu ya kumvua uongozi wake ktk jimbo lake na ndio hivyo hivyo zitto atakapokwenda kuweka sawa hilo lililosemwa,ama hukusikia hotuba wakati moja wa kiongozi akiwa kigoma? ama hata kama uliskia hutaki kusema kwakuwa upo ndani na unaogopa kuchukuliwa hatua? kabla ya hii post umeyasema mengi kuhusu uvccm kuandaa mkutano ule na ukasahau kuwa hata wewe posho unayoipata toka ktk chama chako inatoka ktk serikali inayoongozwa na ccm,sasa iweje mkutano kuandaliwa na uvccm ni haramu,ila wewe kupokea pesa zinazotoka ktk serikali inayoongozwa na ccm si haramu?


Pesa ya serikali si CCM....ccm pia inapata ruzuku toka serikalini.

Hivi hiyo prefix kwenye jina lako stand for Engineer?I Believe not ..and if so you not acting to that capacity
 
1017221_635304536531621_1219813934_n.jpg
1511350_635304456531629_1156613423_n.jpg
1511284_635303789865029_302401546_n.jpg
1012792_635303879865020_2109801516_n.jpg
996985_635303939865014_623020908_n.jpg
1477968_635304149864993_150542700_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
1517527_635300853198656_907706415_n.jpg
1476353_635300916531983_1629442226_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
379709_635297983198943_1177054915_n.jpg
1521340_635298133198928_77370159_n.jpg
1475958_635298186532256_328583333_n.jpg
1526419_635297946532280_536845726_n.jpg
1501759_635296873199054_603343034_n.jpg
1528579_635269026535172_1142880841_n.jpg
1493147_635298913198850_219639048_n.jpg
1489037_635296829865725_2059314623_n.jpg

Mhh!Mbona hawa ni wana ccm tunaowajua hapa Kigoma???
 
Amepokewa kishujaa siyo kama ikivyokuwa kwa Dr. Wa kubaka wake za watu.
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia


Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Ben niliwahi kukwambia siku moja kwamba una chuki na zitto na ndiyo maana ulitumwa kumuu kwa sumu na ukakubali,lakini kwa bahati mbaya tu hukufanikiwa,leo hii unathibitisha hili!

Ben kumbuka kwamba haya yote yana mwisho na siku zako zinahesabika katika kuthibitisha hili kwamba una chuki na zitto!

Ben kwa mtu kama wewe ambaye umekuwa ukijipambanua kama msomi hukupaswa kuingia kwenye majaribu kama haya,hapa ndipo umethibitisha kwamba wewe ni chuyaL

Ben zitto anakuzidi wewe kila kitu,anamzidi slaa kila kitu,anamzidi mbowe kila kitu,na anawazidi takataka wote wanaoomgozwa na wewe kwa kila kitu!

Mimi si mfuasi wa zitto lakini uonevu mnaomfanyia ikiwemo kumsaka kwa sumu ili kumuua haunipendezi hata kidogo,hakuna thread humu ndani imayomsifia zitto ambayo wewe huingii na kuponda hata kama kuna ukweli ndani yake?!

Hivi Ben Dk Slaa anaweza kuwa maarufu kuliko Zitto kigoma?!

Hivi Ben Slaa anaweza kuwa maarufu kuliko Zitto Mwanza?!

Hivi Ben Slaa anaweza kuwa maarufu kuliko Zitto,Tabora?!

Hivi Ben Slaa anaweza kuwa maarufu kuliko Zitto Geita?!

Hibi Ben Slaa anaweza kuwa maarufu kuliko Zitto Singida,Dodoma,Morogoro,Mtwara,.................?!!

Jaribu kutumia akili yako vizuri ili kuonesha usomi wako,vinginevyo tutaamini kwamba kweli wewe unatumika kutaka kumuua zitto kwa sumu kwa huu mwenendo wako Mkuu Ben!!

Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
Kigoma wala sio kanda nzima,ni ka mkoa 1 kenye population ndogo sana hapa tz! CDM ITAWATESA SANA MAGAMBA MWAKA HUU.
Leo hii yamekuwa hayo kwa nini sasa Dr Slaa alikwenda huko Kigoma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom