mbuge yeyote yuko huru kuongea na wananchi wake wakati wowote ule. Si lazima kusubiri chama ndio uongee na wananchi wako.
Tupe kipengele kwenye katiba ya nchi au ya chama chochote kinacho mkataza mbunge kuongea na wananchi wake.
Chadema mna inferiority complex ndio maana mna weweseka muda huu.
Kwanini ni haki Dr.W.Slaa kufanya mikutano lakini si hali kwa Zitto kufanya?
Hivi mtajenga nchi gani hiyo kwa kukandamiza wengine?
Uoga wenu bavicha ndio unawafanya mfikiri zitto anataka kushindana nanyi.
upuuzi hata ukiunga mkono na dunia nzima utaendelea kuwa upuuzi tu.
...kwa wenye uwezo wa kusoma hizo picha watagundua kuwa ilikuwa lazima Zitto apige deal za kila aina! Umasikini ni mbaya tena sana, Umasikini huepelekea mtu kama Zitto kuchukua milungula ya kila aina ili angalau apate fedha za kuagwa viroba sijui zanzi na kuwawezesha vijana wake angalau kwa pikipiki... No wonder wale makada wa CCM waliochukua fedha za epa sijui Maranda alipokelewa kwa style hii ya kishujaa...something is wrong kwa hawa watu!... Zitto fanya hima uhamie CCM kwa maslahi mapana ya chama chako na wananchi wako! Magufuli amepaboresha sana pale kwake Chato kwakuwa waziri wa ujenzi! Nawe pia unanafasi kubwa ukifanikiwa kuwa waziri wa maliasili na utalii...
bavicha mnachojua ni matusi tuu na mmeshikwa pabaya.
Zitto ana akili kuliko wanachadema wote
Moods mbona mmeondoa thread yangu?
...kwa wenye uwezo wa kusoma hizo picha watagundua kuwa ilikuwa lazima zitto apige deal za kila aina! Umasikini ni mbaya tena sana, umasikini huepelekea mtu kama zitto kuchukua milungula ya kila aina ili angalau apate fedha za kuagwa viroba sijui zanzi na kuwawezesha vijana wake angalau kwa pikipiki... No wonder wale makada wa ccm waliochukua fedha za epa sijui maranda alipokelewa kwa style hii ya kishujaa...something is wrong kwa hawa watu!... Zitto fanya hima uhamie ccm kwa maslahi mapana ya chama chako na wananchi wako! Magufuli amepaboresha sana pale kwake chato kwakuwa waziri wa ujenzi! Nawe pia unanafasi kubwa ukifanikiwa kuwa waziri wa maliasili na utalii...
Watu wengi CDM awako huru kifikra,wanapenda kusema yale wanayopenda Slaa na Mbowe,Zitto sio mtumwa yupo huru anamkosoa yoyote uwe CCM au ChademaMtorela!
Kwanza pole maana najua ulikuwa huamini kuwa swahiba wako angeweza kuchukuliwa hatua hasa kupitia maandiko yako kule mtaa wa pili.
Pili, acha kufanya propaganda za kijinga kupitia maandiko yako! Swahiba wako hajazuiwa kukutana na wapiga kura wake na wala hakuna siku baada ya yeye kuvuliwa nyadhifa zake chadema waliyotamka kuwa haruhusiwi kwenda jimboni kuongea na wapiga kura wake. kama una ushahidi wa yeye kuzuia kwenda kigoma uweke hapa. Acha kupotosha!
Yeye akiamua anaweza kufanya mikutano mpaka Lumumba akisubiria stahili yake inayomfaa kwa namna kamati kuu itakavyo amua.
Usema kuwa tuhuma 11 zilisemwa kwenye jimbo lake?! zilisemwa na nani na lini?! tumia usomi wako na exposure uliyoipata kwa kuongea kwa facts usiwe unazomoka tu kama mtu ambaye hajui mlango wa darasa. Hayo mashtaka unayosema yasemwa jimboni kwake niyapi?!
Pole sana, ungekuwa unampenda sana rafiki unge mshauri asi betray coarse. Sikio likesha kufa halisikii tena dawa.
Kwakua Sio mchaga né?toka lini nawe umekuwa chadema??
Kijana hujitambui na laiti ungelikuwa unajitambua usingefika huko uliko huu upuuzi ulioandika hapo juu kawaeleze pale ufipa sio kutuletea utumbo wako hapa sijui wewe ni msambaa gani usiyejitambua.
Kutokana na mambo kumwendia ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.
My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake.
Nadhani hakuna tatizo na nyie kakaeni na wana kaskazini wenu.
Aisee, unanitukana? Mie nimekupa tetesi kutoka meza mduara. Wewe utakuwa na pepo la matusi.Utakuwa unaumwa mdondo wewe, wa kujitoa CHADEMA ni Mbowe