Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Hapa waarabu na wazungu wakipiga picha ya pamoja baada ya kufikiana dau la kununua mababu zetu
british-with-slave-trader.jpeg
 
Tippu Tippu alikuwa mswahili wa Zanzibar inawezekana alikuwa na damu ya kabila la Kimanyema,Seyyid Seyyid alikuwa Mwarabu wa Oman aliitwa Zanzibar kuja kuwaondoa Wareno katika visiwa vya Zanzibar...

Mkuu hawa watu umewakumbuka vipi?
Seyyid said alikuja kukuza biashara ya utumwa afrika mashariki
Screenshot_20180926-195111.jpeg
 
Wazungu wamewatesa sana Watu weusi wa Africa,Warabu wafika mwanzo Katika bara Afrika kabla Wazungu,Ukienda nchi za Afrika Magharibi sehemu nyingi watu wake ni Waislam dini iliyopelekwa na Warabu,cha kushangaza nchi hizo hazikutawaliwa na Warabu,Kama umeangalia movie ya "Kunta Kinte" watumwa wote walikotoka Afrika Magharibi kwenda Marekani na Caribbean walikuwa waislam

Nchi ya "Musa Bin Baik" (Mozambique) nchi hii watu wake walikuwa waislam dini iliyopelekwa na Warabu,Mreno alipigana na Warabu nchi akaichukua yeye,kwa vile Wareno walikuwa hawezi kutamka jina la "Musa Bin Baik" wakawa wanasema Mozambigue

Nchi alizokwenda Mwarabu wakati huo hakwenda kwa Kutawala,wao walikwenda kutangaza dini na kufanya Biashara,na ndio maana utakuta nchi nyingi zenye waislamu wengi hazikutawaliwa na mwarabu,tafauti na Wazungu,hawa watu walitawala nchi,waliwafanya wenyeji wa nchi hizo watumwa,waliwauwa wenyeji ,na nchi kuzifanya zao..

Marekani,Canada,Autralia nk,,Wenyeji wa nchi hizi wameuliwa na Wazungu,kuna makabila yametokomezwa kabisa hayako tena duniani,katika hizi nchi

Katika Uislam kuna sahaba(saint) anaitwa Bilal,Bilal alikuwa mtumwa,mtu mweusi kutoka Ethiopia,alinunuliwa na Mtume akawa huru,ni mtu wa mwanzo kuadhini kuwaita waislam kusali,ni mtu wa mwanzo Mtume kumbashiria Pepo...

Ilikuwa tabu kwa warabu kuwafanyia unyama watu weusi kwasababu ya imani yao ya kidini,bila shaka kuna warabu wamewafanyia unyama watu weusi lakini huwezi kufanananisha na Wazungu
Swadakta. Yaani umegonga kichwani kwa nyoka na atakuwa anakaribia kukata roho
 
Mbona hata sasa mambo yako hivyo hivyo tofauti ni ndogo sana.Style na mbinu za kisasa zinatumika na watumwa wa sasa wanavaa suti na kuongea lugha moja na mabwana zao. watumwa wamewekwa kwa gredi
 
Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
Mbona wewe pamoja na nguvu zako lakini umefungwa na umasikini?
 
Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
Mkuu kwenye bunduki hata ukiwa na nguvu lazima utulie maana wote waliofanya kama unavyosema waliuliwa hadharani.
 
Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
Tuwaulize wanaouza madini yetu kwa mikataba mibovu
 
Back
Top Bottom