Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
Angalia movie moja ya Kunta Kite au Tobi ndo utajua kama walikuwa mazoba au laa
 
Hii kitu hata mimi nashangaa iliwezekanaje? Maana hata kukimbia tu walishindwa! Africa tuna shida sana.
Watanzani ni waoga hadi leo huo uoga wanao hao waarabu hata wakiamua kuanzia leo wafanye mambo hizo wanaweza kiulainiiiii 2
 
Mungu aliwapa waafrica kutawala lakini hao waafrica walimkataa na kumhasi Mungu
ghadhabu ya Mungu ikawa juu ya mwafrica.
Mungu akawatapanya Kila pande na pembe ya Dunia..
mwafrica akaanza kujidharau na kujiona bado ni MTU duniiiii
Mungu anakusudi jema na mwafrica lakini ttz mwafrica ana ttz&kusudi bovu na Mungu.
ghadhabu na hasira ya MUNGU kamwe haitaondoka kwa mwafrica till atakapotubia laana yake ambayo aliibeba Karne na Karne....
Naomba kueleweshwa aisee,laana kivipi na tulimkataa Mungu kivipi!?
 
Hata mtu mweusi roho mbaya anayo.usikii kila siku hapa Tanzania watu wanauana?wanachinjana?
Hizi roho mbaya mnajua kama bado zipo kwa wazungu na waarabu?

Msije mkajidanganya kuwa saizi ndiyo wamekuwa wema kwetu.
 
Mkuu unajua waafrika millioni ngapi walivuka bahari ya Atlatic wakiwa wamewekwa kwenye majahazi kwaa kupelekwa marakana kama watumwa?Watumwa millioni 10,walipelekwa Marekani peke yake,watumwa milioni moja na nusu walikufa na kutupwa baharini

Ni sawa na kuwachukuwa watu wote wa Zanzibar kuwauwa na kuwatupa baharini,Unyama wa Wazungu hamna anaeufikia
Iko hivi , kwanza huwezi amini baadhi ya machifu ndo walikuwa madalali wa kuwakamata watu wao na kuwakabidhi kwa waarabu, ambao ndiyo walikuwa wakamataji wakubwa huku bara. Waarabu wakifika kwa machifu wanakuta mzigo tayari wanamkabidhi chifu nguo, shanga etc then wanachukua mzigo. Pale ambapo mzigo hautoshi chifu anawapa waarabu maaskari kwenda kusaidia kukamata watumwa. Hawa machifu wangekuwa kama akina Mkwawa au Mirambo mbona waarabu, ndo walikuwa maajeti wa wazungu, wasingetia mguu?? Sasa turudi kwa watawala wetu baada ya uhuru.... Kama ingetokea independent investigation ya namna viongozi hawa wameuwa na kuleta mateso makubwa kwa raia wao, ili tuu waendelee kubaki madarakani au tuu kwa sababu za kiukatili tuu (mfano mauwaji ya Rwanda ambapo mpaka vitoto vilikula risasi, au recent BBC documentary ambayo iko twitter where askari katili wanne wanawaongoza mama mwenye mtoto mgongoni na mwingine wa miaka kama sita mpaka kwenye kichaka kidogo na kuwamiminia risasi wote!!!), believe me wanaweza kukaribia waliochukuliwa utumwani.
 
unachoshangaa nini kwani hujui historia ndio iligeuzwa kwa style hii ya mleta mada¡ Btn hio mijamaa mtoa mada alioyalenga kweli mengi yana maroho mabaya hasa yaliochanganya haya ya huku kwetu
Ni hivi hakuna hata mzungu mmoja aliyekuwa anakamata watumwa huku kwetu East Africa, ni waarabu tuu waliokuwa wanakamata na kuwasafirisha mpaka Bagamoyo then Zanzibar kuwauza kwa wanunuzi wazungu, ambao baadae wanawapeleka Ulaya na Marekani. Tujiulize nani baadae alikuja kupiga marufuku biashara ya watumwa?
 
Naona kuna picha za Wazungu pia...
Ngoja waje Waarabu Weusi....
Umekosea. Picha zote ni za wazungu hakuna ya muarabu hata moja hapo. Naogopa kukufunuli ukweli kuhusu ilivyokuwa biashara hii ya utumwa usije ukaniita muarabu mweusi ingawa fat ni kwamba hizo picha ni za west Afrika ambako wazungu walikuwa wanawawinda na binduki watu weusi na kuwakamata tofauti na huku kwetu waarabu walikuwa wakiwanunua watu weusi kutoka kwa mchifu wao. Najua inaweza kuwa ngumu kwako na mleta uzi kuamini kwasababu wengi wengu mnatumia hisia na imani zaidi kuliko logic. Na sijui ni kwanini watu wa namna hii wengi wanatokea maeneo ya chattle , kolomije and alike na nasikia hata albino mikasa yao ilianzia hukohuko nasikia pia wanawake wakizeeka wakiwa na macho mekundu wanauawa. So sad ukiwa unatafsiri vitu kwa kutumia hisia au imani utachelewa sana kustaarabika
 
Ni hivi hakuna hata mzungu mmoja aliyekuwa anakamata watumwa huku kwetu East Africa, ni waarabu tuu waliokuwa wanakamata na kuwasafirisha mpaka Bagamoyo then Zanzibar kuwauza kwa wanunuzi wazungu, ambao baadae wanawapeleka Ulaya na Marekani. Tujiulize nani baadae alikuja kupiga marufuku biashara ya watumwa?
Hakuna muarabu hata mmoja aliyewahi kukamata mtumwa huku kwetu bali walikuwa wanawanunua kutoka kwa machifu wao na hakuna mwarabu hata mmoja aliyemuuzia mzungu mtumwa. Wazungu wao walikuwa wanawawinda kwa bunduki huko West Afika na kwenda kuwauza Amerika. Kuhusu kupiga marufuku utumwa, inaonekana mwalimu wako hakuweza kukufafanulia vizuri sababu zilizosababisha biashara hii kupigwa marafuku
 
Mleta mada naona umekurupuka tu aidha kwa kutokujua au kwa kua na chuki binafsi tu
Sijui una umri gani aisee!
Heading yako na picha ulizoweka haviendani kabisaa!
Huoni kua umeweka picha za wazungu?!
Mkuu watu wa kolomije na chattle huwa hawawezi kutofautisha mzungu mwarabu na mhindi. Halafu wao ustaarabu wao uko nyuma kidogo nadhani karne mbili tatu zilizopita maana kwanza sifa yao ya kwanza ni chuki pili ubaguzi na tatu ni sadism. Angalia hata viongozi wa awamu hii
 
Back
Top Bottom