Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,692
- 30,970
Unakijua chuma cha moto wewe?Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
Sema wengine walisalitiwa na waafrika wenzao.