Mkuuukichukulia kidini,hasa dini ya Kiislam inamini kuwa Mungu anajua kabla hakijatokea,jaani kabla hujazaliwa tayari Mungu anajua vipi utaishi,vipi utakufa,hizo ndio imani za Kiisalm,vile vile katika kitabu cha Kuran,Mungu anasema katika suratil Hijra aya ya 15,kuwa kamuumba mtuwa mwanzo kwa udongo mweusi wa ufinyazi,kwahiyo mtu wa mwanzo dunia ni mtu mweusi
Tuje kwenye Mada,kwanza unatakiwa ujue ustaarabu wa mwanzo umeanzia Misri,halafu ndio ukatapakaa,Rome,Greece nk,Sasa kwanini mtu mweusi anapata tabu zote hizi zakuchukuliwa kama watumwa nk..
Katika tafiti zangu naona Mungu ana sababu zake za kufanya Mtu mweusi yamkute yote hayo,...Mkuu ,sio zamani sana labda miaka 10-20 iliyopita,wazungu walikuwa wanawacheka waafrika kwa kuwa na midomo mikubwa,wanawake wa kiafrika wanamatako makubwa,mchezo wa mziki wa kukatika viuono kama wanavyocheza wanawake wa kiafrika ilikuwa ni "disgusting" aibu..
Mkuu,hizi sasa Kila mzungu mwanamke anafanya "Plastic surgery" operation za kufanya Midomo yao iwe kama ya kiafrika,wanakuzisha matako kwa operation,wanacheza kama wanavyocheza wafrika viuno wenywe wanaita "Twerk"..
Nchi ya Iran,Venezuela wanaongoza kwa kufanya operation za kubadilisha puwa zao nk
Ni mapinduzi makubwa,wazungu na watu wengine wasiokuwa wafrika wanaanza kuona uzuri wa mtu wa mwanzo aliemuumba Mungu,yaani Muafrika,Mungu hafanyi makosa,wafrika wakianza kujijua watatawala Dunia na hicho ndio ambacho Mzungu anakiogopa...!!tafakar,i napita tu