Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Nimegundua za waarabu zimechorwa na wazungu ni picha halisi.za waarabu watu wanaziamini zaidi kuwa niza kinyama kuliko zile za wazungu ambazo ni picha halisi.
Nahisi mwarabu anasingiziwa.
Kumbe na wewe umeona mkuu! Ila waswahili humu hawatakuelewa, ni chuki tu dhidi ya hao waarabu yani imewakaa kwenye damu.

Binafsi siamini na sintoamini kama waarabu walitesa/waliuwa babu zetu..hilo nakataa mpaka siku ya hukumu.
 
Wazungu wamewatesa sana Watu weusi wa Africa,Warabu wafika mwanzo Katika bara Afrika kabla Wazungu,Ukienda nchi za Afrika Magharibi sehemu nyingi watu wake ni Waislam dini iliyopelekwa na Warabu,cha kushangaza nchi hizo hazikutawaliwa na Warabu,Kama umeangalia movie ya "Kunta Kinte" watumwa wote walikotoka Afrika Magharibi kwenda Marekani na Caribbean walikuwa waislam

Nchi ya "Musa Bin Baik" (Mozambique) nchi hii watu wake walikuwa waislam dini iliyopelekwa na Warabu,Mreno alipigana na Warabu nchi akaichukua yeye,kwa vile Wareno walikuwa hawezi kutamka jina la "Musa Bin Baik" wakawa wanasema Mozambigue

Nchi alizokwenda Mwarabu wakati huo hakwenda kwa Kutawala,wao walikwenda kutangaza dini na kufanya Biashara,na ndio maana utakuta nchi nyingi zenye waislamu wengi hazikutawaliwa na mwarabu,tafauti na Wazungu,hawa watu walitawala nchi,waliwafanya wenyeji wa nchi hizo watumwa,waliwauwa wenyeji ,na nchi kuzifanya zao..

Marekani,Canada,Autralia nk,,Wenyeji wa nchi hizi wameuliwa na Wazungu,kuna makabila yametokomezwa kabisa hayako tena duniani,katika hizi nchi

Katika Uislam kuna sahaba(saint) anaitwa Bilal,Bilal alikuwa mtumwa,mtu mweusi kutoka Ethiopia,alinunuliwa na Mtume akawa huru,ni mtu wa mwanzo kuadhini kuwaita waislam kusali,ni mtu wa mwanzo Mtume kumbashiria Pepo...

Ilikuwa tabu kwa warabu kuwafanyia unyama watu weusi kwasababu ya imani yao ya kidini,bila shaka kuna warabu wamewafanyia unyama watu weusi lakini huwezi kufanananisha na Wazungu
Umeshaanza kuwatetea mabwana zako waarabu pumbavu kabisa
 
Sasa tumeshajua waliwatesa babu na bibi zetu kwa nini yunaendelea kuwathamini hawa jamaa (wazungu na waarabu), kwa sababu wakija kwetu wao wanapewa nafasi ya juu katioka ajira, uwekezaji wanapewa na mishahara minono wanapewa wao hivyo basi bado mpaka sasa Waafrika hatujaamka na hatupaswi kuwalaumu babu na bibi zetu ambao hata hawakusoma na kujua lugha za kigeni ambazo zingwawezesha kugundua uopvu kabla ya kufanyiwa.
 
Halafu mbantu anaona sifa kujiita jina la kiarab ama la kiyaudi/kizungu.....mtu usipojuwa historia yako ni sawa na mtumwa wa kujitakia. Mimi ndiyo maana sizipendi kabisa hizi dini zao.
 
1538013136918.png
1538013171328.png
 
Hii kitu hata mimi nashangaa iliwezekanaje? Maana hata kukimbia tu walishindwa! Africa tuna shida sana.
Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
sasa hivi mnapewa mikopo ambayo kwa hakika ni sawa na hiyo minyororo matokeo yake mtayaona baadae. Jamiiforum idumu ili kizazi kinacho kuja watushangae kama sisi tunavyo dhangaa hao babu zetu ISIS
 
Umeshaanza kuwatetea mabwana zako waarabu pumbavu kabisa
Ni bora ungekaa kimya kuliko kujiaibisha hapa kwa kucomment pumba,haya ni mambo ya msingi ila unaonekana hujui lolote bali unacomment kwa mahaba tu kama vile unashabikia ligi ya uingereza! nilitegemea uijibu hiyo comment ya chabuso kwa fact.
 
Naona huu Uzi umeendea kuwa wa kidini...

Hivi hao jamaa mbona mnawatetea sana?
 
Ni bora ungekaa kimya kuliko kujiaibisha hapa kwa kucomment pumba,haya ni mambo ya msingi ila unaonekana hujui lolote bali unacomment kwa mahaba tu kama vile unashabikia ligi ya uingereza! nilitegemea uijibu hiyo comment ya chabuso kwa fact.
Huyo jamaa ana fact gani zaidi ya kutetea waarabu! Kwa mujibu wa historia biashara ya utumwa ilihusisha Wazungu, Waarabu ambao walikua kama middle men ingawa na wenyewe walichukua watumwa kama vijakazi wa kwenda kuwasaidia majumbani, pia ilihusisha baadhi ya machief na viongozi wakiafrika ambao kwa sababu mbalimbali waliruhusu watu wao wakatumikishwe.
Sasa huyu chabuso anajitahidi kuwatetea waarabu kwa misingi ya dini ndio maana namuona mnafiki tu.
 
Kumbe na wewe umeona mkuu! Ila waswahili humu hawatakuelewa, ni chuki tu dhidi ya hao waarabu yani imewakaa kwenye damu.

Binafsi siamini na sintoamini kama waarabu walitesa/waliuwa babu zetu..hilo nakataa mpaka siku ya hukumu.
Huwezi amini kwa sababu akili zako tayari zimeshakua za kitumwa! Mfano mzuri ni hapo Libya waarabu bado wanaendeleza biashara ya utumwa kimya kimya
 
Huyo jamaa ana fact gani zaidi ya kutetea waarabu! Kwa mujibu wa historia biashara ya utumwa ilihusisha Wazungu, Waarabu ambao walikua kama middle men ingawa na wenyewe walichukua watumwa kama vijakazi wa kwenda kuwasaidia majumbani, pia ilihusisha baadhi ya machief na viongozi wakiafrika ambao kwa sababu mbalimbali waliruhusu watu wao wakatumikishwe.
Sasa huyu chabuso anajitahidi kuwatetea waarabu kwa misingi ya dini ndio maana namuona mnafiki tu.
Unaona sasa,kumbe majibu unayo kabisa,
umejuaje kua anatetea waarabu kwa misingi ya dini? bila shaka wewe ndio unatetea upande fulani kwa misingi ya dini ndio maana ukahisi hivyo.
 
Huwezi amini kwa sababu akili zako tayari zimeshakua za kitumwa! Mfano mzuri ni hapo Libya waarabu bado wanaendeleza biashara ya utumwa kimya kimya
Siku hizi mbona watu wanajipeleka wenyewe tu tena wengine wana risk maisha yao kwa safari ya hatari ya baharini? hujaona hilo?
 
Huyo jamaa ana fact gani zaidi ya kutetea waarabu! Kwa mujibu wa historia biashara ya utumwa ilihusisha Wazungu, Waarabu ambao walikua kama middle men ingawa na wenyewe walichukua watumwa kama vijakazi wa kwenda kuwasaidia majumbani, pia ilihusisha baadhi ya machief na viongozi wakiafrika ambao kwa sababu mbalimbali waliruhusu watu wao wakatumikishwe.
Sasa huyu chabuso anajitahidi kuwatetea waarabu kwa misingi ya dini ndio maana namuona mnafiki tu.
Mkuu sitetei Warabu,wala sitoi Comments zangu kutoka na hisia zangu,comments zangu nazitoa kutokana na tafiti na ukweli wa mambo yalivyo,

Iangalie Dunia ilivyo,anzia Afrika kusini,Canada,Marekani,Autralia halafu soma historia ya vipi Mzungu walifika huko,nini walifanya mpaka wakaweza kuanzisha maisha huko,je wenyeji wa nchi hizo wanaishi vipi hivi sasa nk

Jiulize fanya utafiti vipi watu weusi wamefika,Brazil,Marekani, visiwa vya Caribbean na sehemu nyengine Duniani,soma magazeti peruzi kwenye Internet angalia vipi mtu mweusi anavyoadhibiwa kwa mateso tafauti katika nchi za watu weupe....

Halafu angalia nchi za Kiarabu anzia saudi,Oman nchi za Emirates angalia warabuweusi wanaishi vipi na warabu weupe,Mkuu kuna tafauti kubwa sana vipi wamerekani weusi wanaishi na ndugu zao weupe na warabu weusi wanaishi na ndugu zao weupe
 
Back
Top Bottom