Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Halafu Chadema wanamlalamikia Magu kuwa hasafiri kwenda huko Ulaya Kuomba fedha.
 
Ikiuma unachomoa tu mwarabu koko


Usijitie mstaarabu wakati babu zako ni mashetani mxiiiiieeeew
Dah Mwarabu alikufanya nini lakini? Binafc siamini na sintoamini mpaka kufa kwangu kama ni kweli babu zangu waliteswa na hao waarabu
 
Mkuu dini ya Kikristo ina hata "saint" ambae ni mweusi? Dini ya kislam wanae Saint mweusi anaitwa Bilal alikuwa anatokea nchi ya Abyssinian(Ethiopia) alikuwa Mtumwa alipata uhuru wake kwa kununuliwa na Mtume Mohamad,Bilal ndie mtu wa kwanza Kuadhini,Bilal nimtu wa kwanza kubashiriwa pepo..

Dini ya kiislamu katika kitabu cha Kuran Mingu anaeleza kuwa binaadamu wa mwanzo aliemumba alikuwa mtu mweusi,surail Hijiri ambayo ni sura ya

15 :26 "And We did certainly create man out of clay from an altered black mud." ...kwa kiswahili "Kwa hakika tumemuumba binadamu kwa udongo mweusi wa ufinyazi"

Je katika dini yako mnae sahaba(Saint) mweusi,Mungu wenu ni mweupe,pisha zake zimejaa makanisani,Je dini yako inaeleza vipi binadamu kaumbwa,!??

Mkuu sio zamani sana makanisa yalikuwa yanatengwa kwa mtu mweusi na mweupe tafauti.,,chakushangaza watu wote wakristo wanaabudu Mungu mmoja lakini makanisa tafauti,makanisa yanabaguliwa kutokana na rangi ya ngozi, kitu kama hicho hakijawahi kutokea katika dini ya kiislam..

Mkuu unajua kwa Jina la Yesu,dini ya kikiristo imefanya nini katika nchi za Amerika kusini hasa Peru,soma historia ya dini yako utaona unyama waliowafanyia binadamu....
Mkuu tatizo umeleta ufia dini mimi sijaikosoa imani ya mtu ila nachotaka kujua nani kaleta dini ya kiislam afrika na nimwaka gani??
NB: Christianity tusiiweke hiyo nayo inamjadala wake
 
Wazungu wamewatesa sana Watu weusi wa Africa,Warabu wafika mwanzo Katika bara Afrika kabla Wazungu,Ukienda nchi za Afrika Magharibi sehemu nyingi watu wake ni Waislam dini iliyopelekwa na Warabu,cha kushangaza nchi hizo hazikutawaliwa na Warabu,Kama umeangalia movie ya "Kunta Kinte" watumwa wote walikotoka Afrika Magharibi kwenda Marekani na Caribbean walikuwa waislam

Nchi ya "Musa Bin Baik" (Mozambique) nchi hii watu wake walikuwa waislam dini iliyopelekwa na Warabu,Mreno alipigana na Warabu nchi akaichukua yeye,kwa vile Wareno walikuwa hawezi kutamka jina la "Musa Bin Baik" wakawa wanasema Mozambigue

Nchi alizokwenda Mwarabu wakati huo hakwenda kwa Kutawala,wao walikwenda kutangaza dini na kufanya Biashara,na ndio maana utakuta nchi nyingi zenye waislamu wengi hazikutawaliwa na mwarabu,tafauti na Wazungu,hawa watu walitawala nchi,waliwafanya wenyeji wa nchi hizo watumwa,waliwauwa wenyeji ,na nchi kuzifanya zao..

Marekani,Canada,Autralia nk,,Wenyeji wa nchi hizi wameuliwa na Wazungu,kuna makabila yametokomezwa kabisa hayako tena duniani,katika hizi nchi

Katika Uislam kuna sahaba(saint) anaitwa Bilal,Bilal alikuwa mtumwa,mtu mweusi kutoka Ethiopia,alinunuliwa na Mtume akawa huru,ni mtu wa mwanzo kuadhini kuwaita waislam kusali,ni mtu wa mwanzo Mtume kumbashiria Pepo...

Ilikuwa tabu kwa warabu kuwafanyia unyama watu weusi kwasababu ya imani yao ya kidini,bila shaka kuna warabu wamewafanyia unyama watu weusi lakini huwezi kufanananisha na Wazungu
Umenifanya nimkumbuke Tippu tippu na Seyyid sayyid
 
Mkuu tatizo umeleta ufia dini mimi sijaikosoa imani ya mtu ila nachotaka kujua nani kaleta dini ya kiislam afrika na nimwaka gani
NB: Christianity tusiiweke hiyo nayo inamjadala wake
Mkuu walioleta dini ya kiislam katika bara la Afrika na Asia ni vijana wadogo wa kiarabu,mfano aliepeleka Uislam Pesia(Iran) alikuwa kijana wa miaka 20,Wakati Uislamume pamba moto Mtume alikuwa anawatuma vijana kwenda kueneza dini ya kiislam sehemu tafauti za dunia

Mkuu mimi siko kidini kila mtu ana imani yake katika dini,ninachua mimi dini zimetumika sana kuwapumza(brain Wash) wat,hasa wafrika.,
 
Umenifanya nimkumbuke Tippu tippu na Seyyid sayyid
Tippu Tippu alikuwa mswahili wa Zanzibar inawezekana alikuwa na damu ya kabila la Kimanyema,Seyyid Seyyid alikuwa Mwarabu wa Oman aliitwa Zanzibar kuja kuwaondoa Wareno katika visiwa vya Zanzibar...

Mkuu hawa watu umewakumbuka vipi?
 
Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
Hata wewe wajukuu watakushangaa uliachaje liccm likakutawala miaka yote kinyonyaji na elimu yako kubwa upo tu unafuga kitambi
 
Mkuu walioleta dini ya kiislam katika bara la Afrika na Asia ni vijana wadogo wa kiarabu,mfano aliepeleka Uislam Pesia(Iran) alikuwa kijana wa miaka 20,Wakati Uislamume pamba moto Mtume alikuwa anawatuma vijana kwenda kueneza dini ya kiislam sehemu tafauti za dunia

Mkuu mimi siko kidini kila mtu ana imani yake katika dini,ninachua mimi dini zimetumika sana kuwapumza(brain Wash) wat,hasa wafrika.,
History inatuambia uislam ulienezwa kwanza pwani za afrika mashariki kilwa, bagamoyo, Zanzibar, lamu, mombasa na kule somalia walikuja kutuletea dini wakafanikiwa na kututawala
Kama utakumbuka "THE RISE AND FALL OF PORTUGUESE IN MOMBASA" walikuja wakampiga mwarabu akarudi kujipanga akaichukua ngome yake tena
Swali je hao vijana waliieneza dini kwa njia gani kama sio kwa ukoloni?
 
Kiukweli mwarabu ni mtu nisiempenda hata kugusana nao naonaga kama ni shombo tu siwapendi kufwa hao watu

Kuna mwarabu koko flani alikuwa anataka mzigo kufikia hatua ya kulia chozi ila dharau nilizompa ni kama mbwa koko anavyofukuzwa jalalani

Ni ya heri mzungu kuliko mwarabu shenzi zenu waarabu

Naona povu limewatoka kweli waarabu hahahahaha mbwa nyie
Mkuu usioneshe hisia za chuki baina yetu,Utakuja kuchukia hii kauli unayoisema kwani sio kauli nzur hta kidogo japokua mabibi zetu walitokea huko na kuolewa na mababu zetu na walikua weusi.
Je mababu zetu pia walibakwa?
 
Mkuu hayo uliyoandika yote ni kweli,vita vya baadhi ya makabila ya kiafrika yamefanya rahisi kwaWarabu na Wazungu kuwachukuwa Waafrika kama Watumwa,...Lakini unyama aliofaya Mzungu hakuna mfano wake,hakuna binadamu yeyeto yule duniani anaweza kuwafikia hawa watu..

Kuhusu Rwanda unafikri nani kachochea Wahutu na Watutsi kuuwana kama wanyama!?Unafikri kwanini Kagame kajitoa kwenye Francofone(nchi zilizotawaliwana Mfaransa)!??Mzungu huwezi kumfananisha na binadamu yeyeto kwa Ukatili,Mpaka hiii leo nchi ya Marekani watu weusi wanasakwa na kuuliwa na Polisi kama Mbwa..

Mzungu kawawekea watu weusi picha ya Isa(Yesu) yenye mfano wa wao,ili ukiamka ukimkumbuka Mungu unaona picha ya Yesu aliefanana na Mzungu mbele yako.......Isa(Yesu) alikuwa Myahudi sijui imekuwaje kuwaje Picha ya Yesu ikawa ya Mtu aliefanana na Mzungu,Tafakari
Ila wewe mvaa sendozi naona propaganda za madrasa zimekukaa vizuri mnooo
 
Mkuu walioleta dini ya kiislam katika bara la Afrika na Asia ni vijana wadogo wa kiarabu,mfano aliepeleka Uislam Pesia(Iran) alikuwa kijana wa miaka 20,Wakati Uislamume pamba moto Mtume alikuwa anawatuma vijana kwenda kueneza dini ya kiislam sehemu tafauti za dunia

Mkuu mimi siko kidini kila mtu ana imani yake katika dini,ninachua mimi dini zimetumika sana kuwapumza(brain Wash) wat,hasa wafrika.,
Nawewe ukiwa mmoja wapo, wamekubrush na propaganda za madrasa
 
Mababu zetu walikua wahovyo sana
io-sla68s.jpeg
 
Kwa hizi picha sijaona mwarabu. Labda kama una chuki na dini yao umeamua kuwachafua ila kwa mtu mwenye akili hawezi kudanganyika. Mfano huyo mtoto aliwekwa kwenye maonesho ya sokwe huko Ubelgiji na alipelekwa na wabelgiji mjini Brussels akawa anaishi na manyani analishwa ndizi.
 
Back
Top Bottom