Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
walikuwa wamerogwa na haya maneno" ..akupigae kofi la kushoto" mgeuzie na shavu la kulia",..... kisasi ni haki ila kusamehe ni bora zaidi ..

Mungu ndiye mpangaji wa yote". inshaallah atanilipia tu
 
1) inawezekana watu walikuwa wanapewa adhabu kwa kufanya makosa Fulani. We unaweka picha ya adhabu

2) yaliyofanywa zamani ndiyo yafanywayo sasa na serikali za Africa. Jamaa mmoja kahoji humu mababu hawakuchukua hatua,siku hizi mambo hayo yapo na watu hawachukui hatua. Polisi wananafanya torture za ajabu mpaka nyingine hupelejea kifo(ila Mara nyingi hujiridhidha kuwa huyu stakuwa amefanya). Ikiwa ni mbinu yao ya kuhoji.
 
Kanye West anasema waafrica walijitakia tu kutawaliwa muda wote huo huku wao wakiwa ni wengi na wenye nguvu,hahah
 
Wazungu wamewatesa sana Watu weusi wa Africa,Warabu wafika mwanzo Katika bara Afrika kabla Wazungu,Ukienda nchi za Afrika Magharibi sehemu nyingi watu wake ni Waislam dini iliyopelekwa na Warabu,cha kushangaza nchi hizo hazikutawaliwa na Warabu,Kama umeangalia movie ya "Kunta Kinte" watumwa wote walikotoka Afrika Magharibi kwenda Marekani na Caribbean walikuwa waislam

Nchi ya "Musa Bin Baik" (Mozambique) nchi hii watu wake walikuwa waislam dini iliyopelekwa na Warabu,Mreno alipigana na Warabu nchi akaichukua yeye,kwa vile Wareno walikuwa hawezi kutamka jina la "Musa Bin Baik" wakawa wanasema Mozambigue

Nchi alizokwenda Mwarabu wakati huo hakwenda kwa Kutawala,wao walikwenda kutangaza dini na kufanya Biashara,na ndio maana utakuta nchi nyingi zenye waislamu wengi hazikutawaliwa na mwarabu,tafauti na Wazungu,hawa watu walitawala nchi,waliwafanya wenyeji wa nchi hizo watumwa,waliwauwa wenyeji ,na nchi kuzifanya zao..

Marekani,Canada,Autralia nk,,Wenyeji wa nchi hizi wameuliwa na Wazungu,kuna makabila yametokomezwa kabisa hayako tena duniani,katika hizi nchi

Katika Uislam kuna sahaba(saint) anaitwa Bilal,Bilal alikuwa mtumwa,mtu mweusi kutoka Ethiopia,alinunuliwa na Mtume akawa huru,ni mtu wa mwanzo kuadhini kuwaita waislam kusali,ni mtu wa mwanzo Mtume kumbashiria Pepo...

Ilikuwa tabu kwa warabu kuwafanyia unyama watu weusi kwasababu ya imani yao ya kidini,bila shaka kuna warabu wamewafanyia unyama watu weusi lakini huwezi kufanananisha na Wazungu
 
Wee mwongo hawa so warabu..
Hii ilikua no zoo kwa ajili ya watu weusi wazungu wanaenda kuwashangaa watu weusi walivyo zoo ya mwisho ilifungwa mwaka 1958.
Chicago MTU mweusi alikua haruhusiwi kuingia by then
Hapana Mkuu,hii picha ilipigwa Belgium mwaka 1958,sio miaka mingi,.....,Mzungu anaona Mwafrika ni myama tu,inasikitisha sana,halafu unamkuta mtu anawathamini wazungu kwa ajili ya dini...
zoo.jpg
 
Mwafrika amemfanyia mwafrika mabaya zaidi kuliko wazungu walivyofanya. Rwanda ndani ya siku 100 watu laki nane waliuawa na kubakwa. Congo mpaka kesho. Uganda ya Amin. Chad. Liberia hayo tunayafumbia macho. Bado huku kuna watu wasiojulukana yaani mtanzania anamuua mtanzania. Juzi tu Museveni alikua anamtesa mtu kwa kumvuta uume.
 
Huwa najiuliza sana kama kweli mungu yupo kwanini hakuwa fair
 
Mungu aliwapa waafrica kutawala lakini hao waafrica walimkataa na kumhasi Mungu
ghadhabu ya Mungu ikawa juu ya mwafrica.
Mungu akawatapanya Kila pande na pembe ya Dunia..
mwafrica akaanza kujidharau na kujiona bado ni MTU duniiiii
Mungu anakusudi jema na mwafrica lakini ttz mwafrica ana ttz&kusudi bovu na Mungu.
ghadhabu na hasira ya MUNGU kamwe haitaondoka kwa mwafrica till atakapotubia laana yake ambayo aliibeba Karne na Karne....
 
Mwafrika amemfanyia mwafrika mabaya zaidi kuliko wazungu walivyofanya. Rwanda ndani ya siku 100 watu laki nane waliuawa na kubakwa. Congo mpaka kesho. Uganda ya Amin. Chad. Liberia hayo tunayafumbia macho. Bado huku kuna watu wasiojulukana yaani mtanzania anamuua mtanzania. Juzi tu Museveni alikua anamtesa mtu kwa kumvuta uume.
Mkuu unajua waafrika millioni ngapi walivuka bahari ya Atlatic wakiwa wamewekwa kwenye majahazi kwa kupelekwa Marekani kama watumwa?Watumwa millioni 10,walipelekwa Marekani peke yake,watumwa milioni moja na nusu walikufa na kutupwa baharini

Ni sawa na kuwachukuwa watu wote wa Zanzibar kuwauwa na kuwatupa baharini,Unyama wa Wazungu hamna anaeufikia
 
Huyu alieleta hii Mada naona hajui kutafautisha baina ya Mwarabu na Mzungu,Kaweka picha za matokeo yaliyofanywa na Wazungu halafu anasema Warabu,...shule nayo muhimu sana
unachoshangaa nini kwani hujui historia ndio iligeuzwa kwa style hii ya mleta mada¡ Btn hio mijamaa mtoa mada alioyalenga kweli mengi yana maroho mabaya hasa yaliochanganya haya ya huku kwetu
 
Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao
YAN WAAFRIKA SIJUI NANI ALITULAANI.WATU WANAKUJA NA JAHAZI WANATEKA WATU NA KUONDOKA NAO.
Tena wao walikuwa wachache kabisa,hivi mababu zetu walishindwa nini kuungana na kuwauwa wote hao???
Kanye West anasema waafrica walijitakia tu kutawaliwa muda wote huo huku wao wakiwa ni wengi na wenye nguvu,hahah

Kuna dhana ya usaliti Kwa ngozi nyeusi, wakoloni hawakuwa wanawakamata watumwa Kwa kuwawinda kama swala walikamatwa na kuuzwa na waafrika wenzao . Unaweza kujiuliza kwanini misafara ya watumwa ilisafiri maili nyingi kupitia katika baadhi ya miji na vijiji lkn waafrika hawakuwaokoa waafrika wenzao, hii inatofautiana vipi na sasa ambapo utawala wa kimabavu unakandamiza haki za raia wake na wengine kama vipofu wanautetea? Nchi yetu ni kama inaongozwa na watoto , sio bure waafrika tunapaswa kupimwa iq zetu
 
Back
Top Bottom