chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Inawezekana Mkuu,lakini hayo ni mawazo na fikra zangu tu,vile vile ukumbuke Mungu haikotrool Nafsi ya binadamu,yaani unalipwa kutokana na unachokifanya,mabaya motoni mazuri peponi..Sipingani na wewe mkuu, ila nadhani yote yanayotutokea watu weusi ni mipango ya yake.. Kama anajua kila kitu chako hata kabla hujazaliwa, basi wakati anafanya uumbaji wa mtu mweusi alipanga kuwa ayapitie yote yanayomtokea...
Ninachofikiria mimi watu weusi tusome kwa wenzetu wanao tunyanyasa,imefika wakati na sisi tuwanyanyase kama wanavyotunyanyasa na kutuonea...
Cha kufanya tujifunze,tuwafunze watoto wetu na kizazi kijacho kuchukia(hate),tukikijifunza kuchukia hakuna mtu atakae mnyanyasa mtu mweusi "We have to learn how to hate"...,watu weusi tunapenda kunyeyekea na kusifia watu wasio weusi tukiacha hiyo tabia,tukianza kujielewa hamna atakae tunyanyasa...