Mkuu Maelezo yako na picha havishabihiani.
hao waarabu weusi" waone huruma tu", ni athari ya mabaki ya ukoloni toka kwa mabwana zao wakiarabuNaona kuna picha za Wazungu pia...
Ngoja waje Waarabu Weusi....
Hii kitu hata mimi nashangaa iliwezekanaje? Maana hata kukimbia tu walishindwa! Africa tuna shida sana.Hivi haya majamaa yalikuwa yamerogwa na nani mijitu ina nguvu halafu imefungiwa kama kondoo? Naona kama kulikuwa na tatizo vichwani mwao