Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
Hahahaha,upo?Kuwaita ****** watoto wa Wakulima ndio kuwapigania gani huko.Huyo Mungu unayemuomba ambariki ungeanza kumuandika kwa Kuanza na herufi ndogo tu yaani "mungu" na sio huyo Mungu anayeabudiwa na wale watoto wa wakulima aliowatusi na kuwadhalilisha.
Ukuta vipi?