Picha: Rais Magufuli na Kitwanga 1992

Picha: Rais Magufuli na Kitwanga 1992

Kumbe ndio maana huwezi kuongoza nchi! Unaposhindwa kuongoza mwili kmavazi si rahisi kuongoza watu kiakiri
 
1469897663619-jpg.373521
[/QUOT
E]
Huyo ni Mbunge wa zamani wa Kishapu, Paulo Makolo na JPJM!
Nyuma ni Marehemu Makwetta.
 
hahah
Hillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.

Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...

Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..

1469897663619-jpg.373521
ahahaha alinyuka pamba
 
Kumbe wana CCM toka zamani, naona nembo katika mkoba.
 
Sasa hivi sishangai yeye kumaliza UDSM bila totos.
Watu genious au mastermind wanafanya kitu kilichowapeleka shule wengi starehe hawapendi. Lakini wenye kushika namba za mwisho darasani kila party za shule lazima waende.
 
Hillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.

Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...

Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..

1469897663619-jpg.373521
Nyuma yao namuona Mzee Jackson Makweta.
 
Back
Top Bottom