Hili koti la kitwanga linaonekana lilipiga shughuli si haba.
Kuwa ana adabu wewe ......huyo ni mheshimiwa raisi......na analingana na baba yako mzazi........ungefurahi au ungejisikiaje baba yako mtu amkashifu hivyo.......[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Likoti lilivyo vuruvuru,marangi rangi vuruvuru
Sasa n'jomba umeelewa lakini nilichokiandika??1992 JPM hakuwa Mwanasiasa alikuwa zake viwandani, kagombea ubunge kwa mara ya kwanz 1995.
Kweli safari ilikuwa ndefu: Huyo aliyevaa miwani katupia Koti, tai, makanda, viatu rangi moja. Halafu mshonaji wa kibush.
Kitwanga alikuwa mtanashati tangu zamani, hakuwa mrugarugaHillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.
Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...
Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..
Ili tuone wee vp weweUnaonyesha picha hiyo ili iweje sasa bwam ew
Bendera ya Taifa ina Rangi nne.... Bendera ya Taifa ina rangi nne... Ie ya katikati... ile ya chini yake, Nilishasahau!Naona kifungo/kishikizo original cha koti chekundu kilitoka akaamua kurudishia cheupe, safi sana hii!!
Hizi phd za kudefine catalyst kwenye mikutano ya kimataifa nachoka sana. Nikija hapo kwenye kibomu cha Sadamu alikua rais wa kuwait mbavu zinachanika.Wa mizuka katika ubora wake Saddam Rais wa Kuwait.
hahahahaaa daah hiyo code hatari tupu.....jmaa inaonekana hta kwenye kuvaa hataki kushauriwa hata na mama jesc.a.
Siyo style ila mtumbani sio rahisi kupata kipimo utakacho kama una haraka.Kumbe style yake muheshimiwa ya makoti makubwa yenye mikono mirefu iliyopwaya alianza nayo toka longi.
Wardrobe mishap!
madikteta wengi hutoka familia masikiniSiyo style ila mtumbani sio rahisi kupata kipimo utakacho kama una haraka.
Hiyo nembo kwenye mkoba ni ya ccm.....Mbona huyo haelekei kuwa ni Kitwanga, na hapo si mwaka 1992, hapo inaonekana ni bungeni Dodoma wakati mheshimiwa tayari ni naibu waziri....
We huoni huo mkoba wake wenye chata ya serikali na nyuma anaonekana Jackson Makweta aliyekuwa waziri sijui wa nini enzi hizo.....