Mbunge wa Kishapu enzi Hizo shinyanga vijijini Mr Makolo
Atoe salary slips zake tujue kiasi cha kodi anacholipa...siyo kuhimiza tu siye tulipe kodiMbowe kwa Magufuli ni chapati.... Magufuli hana porojo na kubebelezana kaka. Yeye ni kutenda tu
Nilitaka kusema ivo ivo...[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe style yake muheshimiwa ya makoti makubwa yenye mikono mirefu iliyopwaya alianza nayo toka longi.
Wardrobe mishap!
Mwaka '92 nusu ya wana JF walikuwa bado wamo kwenye testes lakini ona wanavyokosoa sasa. Sisi tuliokuwepo huo mwaka na akili zetu timamu tunapata picha ni jinsi gani Mkulu alivyotokelezea.
You are talking the event that happened 25yrs ago.
Afu we Leo unadhihaki,ovyooo
Enzi hizo alikua hechibii ila hilo koti oversizeJF balaa watu wana library ya picha za mh Rais za mwaka '92
Ngoja namimi nitunze image yangu vizuri pengine 2025 ikawekwa ya kwangu humu😀😀
Hahaha.....yaani ni hatariEnzi hizo alikua hechibii ila hilo koti oversize
Dah,Siyo cheupe mkuu, hiyo ni reflection ya mwanga wa jua.